Taharifa nilizozipata kutoka kwa mtu aliye karibu na vyanzo vya mahakama ni kwamba ile hukumu ya rufaa ya lema itatolewa tar 29/10/2012.
Nazidi kufuatilia na nitazidi kuwapa taarifa kadri nitakavyo zipata.
itakuwa J3 nzuri kama Lema atashinda
Kinachotolewa si hukumu(Judgement)bali uamuzi(ruling).
hukuelewa ama?ni taarifa mkuu hapo kwenye red....
Kinachotolewa si hukumu(Judgement)bali uamuzi(ruling).