1.Mtakula nyasi ndege ya rais lazima inunuliwe -Mramba
2.Foleni dar ni ishara ya maisha bora -Jk
3.Acheni wivu wa kike-Msekwa
4.Asiyeweza kulipa nauli apige mbizi-Magufuli
5.Baada ya kutumia...
Leo baadhi ya magazeti yakiwepo magazeti yenye majina makubwa yamempigia Chapua kigogo wa siasa za chama cha Mapinduzi, Edwad Ngoyai Lowasa kuwa washabiki wake wengi wameshinda.
Gazeti la...
Leo kuanzia saa Nane mchana Mhe.Zitto atakuwepo jimboni Rombo kuhitimisha Kampeni za Udiwani kata ya Nanjara Reha. Kata hii ni kati ya kata zaidi ya 13 ambazo CHADEMA ina uhakika wa kushinda KWA...
Katika hitimisho la miaka 50 tangu kuanzishwa kwa chuo kikuu wasomi mbalimbali amesifu mchango wa chuo hicho katika masuala mbalimbali yanchi lakini wameonesha kutilia shaka baadhi ya wasomi...
Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zitto Kabwe jioni hii anatarajiwa kutikisa mji wa Bagamoyo katika kampeni za kumnadi mgombea udiwani wa CDM katika kata ya Magomeni.
Mgombea udiwani huyo wa CDM anaungwa...
Mwanasheria mkuu wa serikali(AG) Jaji Werema amewasilisha muswada wa marekebisho ya mafao ya kujitoa katika ofisi ndogo ya bunge jijini Dar es Salaam ukiwa na maana utajadiliwa kwenye mkutano wa...
IJUMAA, OCTOBA 26, 2012 12:01 NA DEBORA SANJA, DODOMA
NAIBU Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ripoti ya tuhuma za ufisadi, iliyowahusisha wabunge wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini...
Kwanza niwashukuru walioleta thread ya Ikulu ikionyesha barua iliyoandikwa kwenda Vatican kumpongeza Pope Benedict kwa kile Ikulu yetu ilichokiita {Inauguration of the Pontificate of His Holiness...
Wakuu Wanajamvi,
Hili suala la Mhe. Mulugo mimi bado linanisumbua. Suala si kukosea kutamka, hili kila mtu linaweza kumtokea, bali mimi tatizo langu ni mambo aliyoyazungumzia (content). Honestly...
Friday, May 27, 2011
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA TANAPA
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
Naomba sote,tuwachambue kwa uwazi bila ushabiki;wale wote tunatarajia watakuwa ni wagombea urais kupitia vyama vyao kama kweli wanastahili kuwa rais kipindi kijacho.Wana JF, tunaweza kabisa...
Baada ya kutafakari kwa kina, nimegundua kuwa kamati nyingi zinazoundwa ama na bunge au serikali aua na chombo chochote kile cha serikali ni kwa ajili ya kula fedha za wananchi tu bure. Hata kama...
Wakati vyama vya upinzani nchini vikii lalamikia serikali ya CCM kwa kukiuka misingi ya kidemokrasia. vyama vya upinzani vyenyewe ndani ya vyama hivyo hakuna demokrasia ama niseme navyo vinakiuka...
25/10/2012
0 Comments
Awali ya yote namshukuru mwenye twitter ID ya "Mabala The Farmer" @Decenttz kwa kuni-tag kwenye tweet-video ambayo imepachikwa hapo chini.
Kwa ufupi, katika video hiyo...
Sina uhakika kama wewe ni member humu kwenye jamvi letu (jf),ila naamini kwa viongozi wa chama taifa tulionao humu mfano Dr.W.Slaa, Z.Z.Kabwe na mjumbe wa halmashauri kuu taifa Dr. Kitila Mkumbo...
Kauli mbiu (slogan) ni tungo fupi zenye falsafa ndani yakeambazo hutumiwa kuwasilisha au kujuza kwa urahisi na ufasaha falsafa inayotoamsukumo wa mtu au kikundi cha watu kufanya jambo fulani aidha...
Habari zenu wana jamvi ningependa kujulishwa sera za vyama vitatu chadema, cuf na ccm ili niweze kufanya maamuzi na sio kujiingiza katika ushabiki. Tafadhali nawasilisha.
Vijana wengi tunaitaji mabadiliko ya KIUCHUMI,KISIASA NA KIJAMII ila CDM sio chama sahihi cha mabadiliko nasema haya kwa baada kufanya uchunguzi wa kina na kugundua kuwa hiki ni chama ambacho...
Wanaotaka uongozi mpya wa uvccm uondoke madarakani wamekuja na hoja kuwa umri wa mwenyekiti wao ni zaidi ya miak 33 sasa, ameongopa katika elimu yake kuwa ana master's na vile vile alishawahi...