Ushauri kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman A. Mbowe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by democratic, Oct 26, 2012.

 1. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sina uhakika kama wewe ni member humu kwenye jamvi letu (jf),ila naamini kwa viongozi wa chama taifa tulionao humu mfano Dr.W.Slaa, Z.Z.Kabwe na mjumbe wa halmashauri kuu taifa Dr. Kitila Mkumbo watausoma huu ujumbe na kuufanyia kazi kwa kuufikisha kwako.Ikumbukwe pia huu ni mtazamo wangu na maoni yangu kaatika lengo letu lilelile moja la kuimarisha chama chetu (chadema).

  Ndugu mwenyekiti ushauri wangu ni kuhusu huu utumiaji wa vazi la kombati.Ninachoweza kukumbuka ni kwamba kabla cdm hawajaanza kutumia hili vazi la kombati, hawa watu wa ugambani a.k.a nyinyiemu walikuwa ama hawana taarifa na vazi hilo au kama walikuwa nayo ni kaatika kipindi cha enzi za mwalimu.

  Shida imekuja baada ya uchaguzi mkuu wa 2010 kumalizika na hilo vazi kuonekana kuwapandisha chati cdm ndo hawa nyinyiemu wanaonekana kulishobokea sana hili vazi.Sasa hivi siyo shein wala shigela,si nape wala kikwete eti mpaka lusinde,mkama na pinda nao wanashona kombati aiseee, yaani ni full kombati umagambani.

  Sasa ndugu mwenyekiti,mimi sijawahi kuwa na hofu juu ya uwezo wa ugunduzi au designing tulionao chama chetu a.k.a chama kubwa (cdm),mimi nilikuwa nashauri tupitishe mchakato wa kupata vazi jingine la kazi kwani nauona uwezekano wa hili vazi la kombati na malengo yake yote kufail.Kwa maana hakuna kitu kinachoweza kufanywa na hawa nyiyiemu halafu kikaendelea kumantain status ileile ya kuheshimika katika jamii yetu.Karibia sasa watu watashindwa kunotice tofauti na maana halisi ya matumizi ya kombati kama ilivyodhamiriwa mwanzo na cdm na hawa nyinyiem labda rangi tu kwamba za hawa ni za kijani na yetu kaki.

  Mwisho nikutakie majukumu mema wewe pamoja na uongozi wote taifa na makamanda wote popote walipo iwe ndani au nje ya nchi hii,freedom is coming tommorow............peeeeeooooooppplllleeesss.....................
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Kombati litabaki pale pale maana NYINYIEM hawawezi kushona la rangi tofauti na kijani hivyo waachwe waendelee kuiga namwisho wake watajikuta wanavaa kombati halisi kwa kuhamia CDM.
   
 3. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Mkuu, kwahiyo sababu kuu ya kubadilisha vazi ni kwa vile wale watu wa "majani" wanavaa pia?
  i take it, as wanakikubali CHADEMA toka moyoni ila kulinda maslahi tu!

  Maana what if vazi likibadilika, halafu waliige tena, ..then libadilike then waige?..and so will the cycle continue! Huoni kama much emphasis itakuwa katika kubadilisha vazi?
   
 4. p

  promi demana JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu comat ndio kila kitu hamna haja ya kubadilisha.
   
 5. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haiwezekani kuibadili kaki ile ishakuwa vazi la Taifa.
   
 6. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Kwangu mimi sioni ubaya wa wao kuiga kwani inaonesha sasa polepole wanaanza kufuata nyao na muda si mrefu wataanza ktupigia salute. Wahenga walisema mti wenye matunda matamu ndiyo hutupiwa mawe, wee subiri utaona makubwa zaidi. Ushauri wangu vazi liendelee hilohilo kwani kushona kwao hivyo kutakuwa kunaipaisha cdm na kuonekana ina support ya watu wote.
   
 7. m

  mchaichai JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 650
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwana jf naheshimu sana mawazo yako..lakini hatutakiwi kurudi nyuma na kuwaogopa..mbona wameiga chopa hukutoa mbadala?ok hivi hakibadilisha tena kama unavyo suggest itakuwaje? na pia wewe unashauri nini...LABDA USEME ZIWEKEWE NEMBO YA CHADEMA na kila mvaaji awe na skafu ya chama ya kung'aa...hakila combat mimi naikubali kutoka moyoni iendelee tena kama zinapungua waseme tuchangie kutia nakshi
   
 8. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi ukimuona Dr. Slaa kavaa kijani utapata picha gani??? ...Waache watinge kombati hao, wana mahaba na CDM mioyoni mwao, tusiwakwepe.
   
 9. M

  Molemo JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kombati haitabadilishwa.Kombati ni mambo yote mwanzo mwisho.
   
 10. M

  MC JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kuanzia kwenye title, na ulivyoanza maelezo yako ukizingatia 'itifaki' umenifanya ni-concentrate sana, kwa kweli kwa flow ilivyo nilitegemea zaidi ya combat...

  Anyway wazo si baya, lakini hakuna sababu ya kupoteza muda kwenye swala la nguo kwa sasa, cha muhimu ni kujikita zaidi katika kubadili fikra za watu ziendane na mabadiliko ya kweli na zisiyumbishwe na propaganda.

  Mfano, Nape hata avae Kombati 3 kwa wakati mmoja, anabakia kuwa nape na mawazo yake ya kinape nape
   
 11. sammosses

  sammosses JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kitu chochote chenye tija na mashiko lazima kiache athari katika jamii husika,CCM kuiga style hii ni jambo la kushukuru na kupongeza angalau sasa no wameanza na mavazi labda wanaweza kubadilika tabia na kuwa wema kwa siku za usoni
   
 12. r

  richone Senior Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ushauri wako sii wa kuijenga CHADEMA bali ni wa kuibomoa nahisi magamba wanakutumia ili uje kuipotezea CHADEMA utambulisho wake! ni hivi vazi tutaendelea kulivaa ukitaka wewe usivae na nimekuisi wewe ni miongoni wa magamba ambao hampendi kuona mavazi haya yakivaliwa na makamanda.
   
 13. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Nakupongeza kwa dhati kwa kutambua kinachoendelea ILA hakuna haja ya kuogopa maana cdm wanamambo ya kuigwa na kama mtu uliyekuwa anakuongoza anananza kukuiga si inamaana amesha achia uskani? Hata ADC nalo kwa makusudi kabisa wamedizaini bendera inayofanana na ya chama makini,chama kinachopendwa kwa sasa-CHADEMA,CUF nao si ulisikia eti wanachangisha fedha kwa ajili ya M4V?Tuendelee kuwaonyesha njia nao waendelee kutufuata..We produce original they chinalise!!
   
 14. Ally Kanah

  Ally Kanah JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 1,433
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Hawa ndio wanaoibomoa CHADOMO Ndoa takatifu imevunjwa na Padri
  View attachment 69417
  View attachment 69417
   
 15. m

  m_tz Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cdm wanafurahisha kweli, CCM kitambo vazi la kombati ni sehemu ya vazi lao ndio maana hata mgambo ndio vazi lao rasmi. Wakati wa vita vya uganda, CCM namba moja marehemu mwl. Nyerere alilivaa wakati mwingi wa vita. Mtoa mada anaelekea kujua hilo ila wale fata mkumbo-wavivu wa kuchimba mambo wanafkiri chadema ndio wameanzisha. Halafu kompati si vazi rasmi (official attire) la cdm ila ni vazi analopenda kuvaa Freeman Mbowe. Hivyo, kompati huvaliwa zaidi na umoja wa vijana wa CCM aghlabu zikiwwa na rangi ya kijani,njano, nyeusi na rangi ya kaki ikaachwa kwa mgambo zaidi ambapo wakati wa chama kimoja mgambo ilisimama kisiasa zaidi kuliko kiajira. CCM mara nyingi huvaa kaunda suti zenye rangi mbalimbali ikiwamo rangi ya kaki.
   
 16. MR. ABLE

  MR. ABLE JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,476
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bado kidogo watatumia alama ya "V" itumiwayo na CHADEMA. Inaonesha wanatukubali sana CHADEMA.
   
 17. A

  Aristides Pastory JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KAKI a.k.a Gwanda ndiyo VAZI La Taifa.
   
 18. m

  m.o.d.y Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: May 22, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hilo vaz ni utamulishonashauri libakie kama lilivyo
   
Loading...