PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Kikwete huyoo anasaini mikataba mipya na waarabu Oman

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babukijana, Oct 18, 2012.

 1. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,811
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  TUMIKWISHA!
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  alivyotoa macho tafikiri ni mtu makini haswa...........
   
 3. salosalo

  salosalo JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 579
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Tanzania Tanzania raiti ungelijua yapasayo maendeleo na amani, ungepambana kupata majembe na mbegu badala ya mazao
   
 4. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hivi Bunge letu tukufu limeridhia hii mikataba anayosaini raisi Kikwete? Kama wabunge hawajaridhia haoni anaongeza malumbano juu ya malumbano? mpka sasa kuna utata kwenye mikataba ya umeme, madini na hata wanyama pori, hii imekaaje.
   
 5. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  OMG!tumeliwa
   
 6. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mkuu asigwa, hapo usishangae ni mabadirishano ya tende kwa ajili ya mfungo wa Ramadhani kwa mbuga yetu ya wanyama ya Serengeti! Au pembe za ndovu tulizo sikia wanataka kuzitwanga bei.
   
 7. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Bibie Ciello, "Ukitaka kula lazima uliwe" kwa sana by JK!
   
 8. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hapo hakuna tatizo mkuu wakiona uwezekano wa Malumbano bungeni, watapeleka kesi mahakamani, hapo Bi K....atatumia mbinu hiyo kuzuia hoja za wabunge. Hizo ndo mbinu za kipuuzi za ccm kuitafuna nchi hii.
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Tutavunja mikataba ya kijinga hii 2015
   
 10. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hivi hiyo mikataba mnayoisign kila kukicha inawanufaishaje wananchi wa kawaida Hasa walioko vijijini? je mnazingatia vipengele muhimu kama asilimia kubwa ya ajira itolewe kwa wazawa? Na mbona tatizo la ajira linaongezeka kila kukicha?
   
 11. G

  Gwakisa Mwandule JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 520
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rais muislam ni sawa shehe farid na ponda unategemea awabishie waarabu?
   
 12. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  naona baada ya jamaa kushindwa upepoz wa EL ameamua rasmi kufunga makufuli, liwalo na liwe
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tokea ameanza kusini mikataba ya kuuza rasilimali za hii nchi Kesha maliza box mbili za kalamu
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hata hawa jamaa wanaovaa matineti na vilemba kichwani wanatudanganya?
   
 15. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Anafuata nyayo za chifu mangungu! Dhaifu mbayaaaaaaaaaaaaaaaaa!
   
 16. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Tutajuta kumchagua huyu kuwa rais
   
 17. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Sheikh Ponda na Sheikh Farid na wafuasi wao watafutiwe kazi huko oman.
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  DHAIFU na ndugu yake wa damu Joka la mdimu Membe wamegeuka wakawa Mangungo wa Msovero..cjui Mzee Mrisho aliyewazaa nadhani alikuwa mume ***** kwa mama zao hawa..ati tumpe membd nchi thubutuuuu..
   
 19. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Inaonekana hata haelewi kinachosainiwa, huyu Chief Mangungo atatumaliza, hivi 2015 itafika lini aondoke huyu?
   
 20. mayonise

  mayonise JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 261
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  haswaaa
   
Loading...