Nawashangaa vijana wanaoibeza CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawashangaa vijana wanaoibeza CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tky, Oct 21, 2012.

 1. Tky

  Tky JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Kumekua na vijana wachache tena wanajiita wasomi wenye ndoto zakua viongozi baadae, kupitia chama cha magamba na kubeza CHADEMA lakini wamesahau kuwa ili baadae uwe kiongozi kupitia chama cha magamba lazima baba, mama, mjomba, shangazi lazima wawe wamewahi kushika nyazifa mbalimbali kwenye chama cha magamba. Swali la kujiuliza kwa wewe unaye ibeza CHADEMA, kuna ndugu yako yoyote amewahi kuwa mbunge, waziri, diwani au mwenyekiti wa kitongoji?
   
 2. S

  Shembago JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waambie hao!!!
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kijana yeyote anayeibeza CDM ana matatizo ya kiakili.
   
 4. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ana mtazamo wake na maslahi fulani kwenye kile
  anachokifuata au kukiamini, tusilazimishe kila mtu aamini
  kile tunachokiamini au kudhani ndio bora...
   
 5. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,612
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kubeza jambo la kawaida katika siasa mkuu Tky, na kila mtu ana mtazamo wake na nivizuri kuwaheshimu wao na maamuzi yao...Cha muhimu ni kufanya TOFAUTI itayoweza kubadilisha mtazamo na msimamo wa hao wanaowabeza!
   
Loading...