Uongozi wa CHADEMA- Tabora wawafunza wasomi kujiamini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uongozi wa CHADEMA- Tabora wawafunza wasomi kujiamini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapya, Oct 22, 2012.

 1. k

  kapya Senior Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Tabora ndg.Kansa Mbarouk pamoja na viongozi wengine wa wilaya kama vile Saimon Lameck(m/kiti BAVICHA wilaya), Ally Iloyce(k/tibu mwenezi wilaya) na mwenyekiti BAVICHA mkoa, wakiongozwa na viongozi wa SAUT Tabora. Wamewashauri wanachama na wasomi wote kuwa chanzo cha mabadiliko, na kuwataka kutokuwa waoga. Wameshauriwa kuondokana na tabia ya kuwa nani kafanya nini na wakati wao hawajitumi kusaidia jamii.kila mmoja ameshauriwa kufanya kazi ya kuisaidia jamii kwa nafasi yake kwanza.

  Mwenyekiti alisema"
  "ndani ya chama kila mtu ni jembe,usingoje mtu aje akutume kuwa fanya kitu fulani, kila mtu afanye kazi anavyoona inafaa.chadema haifugi mizoga,yeyote anayefikiri anaweza basi achukue nafasi.tusiwe watu wa kulalamika na kusubiri wengine wafanye,halafu wengine mnabaki nyuma.chadema inategemea sana mchango wa wasomi wa kada zote katika harakati za ukombozi wa taifa hili.sisi tunasema vijana ndo taifa la leo na wazee ni hazina ya chama,na ninyi ndo vijana,waelimisheni wale wasojua,kwa nini ungoje kula wakati una njaa?kumbukeni hata ukombozi wa taifa hili toka mikononi mwa wakoloni uliletwa na vijana k.v.nyerere.kwanini tudanganywe kuwa vijana ni taifa la kesho ilhali vijana ndo nguvukazi ya taifa?
  peeeples......power............m4c..............twanga kotekote........hakuna kula,kulala mpaka kieleweke.
   
 2. L

  Lwesye JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 5,297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hii nzuri sana inahitaji kuwahamasisha wasomi wajue wao wanaweza kusaidia gurudumu la mabadiriko kwa haraka zaidi kueneza ujumbe huo popote walipo
   
 3. 1

  19don JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sisi tunasema vijana ndo taifa la leo na wazee ni hazina ya chama,
  hapa ndio ninapo ikubali chadema sio wale wanaotaka tusubili kesho wakati wanajua kesho haifiki na kama ikifika basi wamewaandalia wake zao na watoto wao
   
Loading...