Kikwete: Omanis of Tanzanian origin may be eligible for dual citizenship | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete: Omanis of Tanzanian origin may be eligible for dual citizenship

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EMT, Oct 21, 2012.

 1. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  A constitutional review that is underway in Tanzania may lead to the passage of a bill that would enable Omanis who have roots in that country avail dual citizenship, according to President Jakaya Mrisho Kikwete, whose visit to Oman concluded on Friday.

  Speaking at a press conference on Thursday, Kikwete said Oman is the only country in the world whose citizens are related to many in Tanzania. “I meet somebody from Oman and he says my relatives are in Tanzania. No country I have visited has such a relationship. Oman is a very special country for Tanzania, which is why consolidation and advancing of these relations is the top priority of the diplomacy of Tanzania,” Kikwete said.

  He said his country is conducting a constitutional review during which dual citizenship will be considered. “We are now in the process of doing a constitutional review and dual citizenship is one of the things that will be discussed. We have so many people of Tanzanian origin who have acquired citizenship of other countries. If the dual citizenship bill is passed, Omanis of Tanzanian origin can now have the liberty to reclaim the citizenship of their ancestral home country.”

  Omanis of Tanzanian origin maybe eligible for dual citizenship - Muscat Daily
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  duh Jk umeamua mpaka kupiga dili za kuwapa waarabu uraia wa tanzania sio hayaa...na sie huko tukitaka uarabu tutapewa? mheshimiwa rais unatuuza kwa waarabu mbele ya macho yetu na sie tunaangalia..
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  inaelekea baada ya urahisi anataka kutimkia Oman, awe bepari la gas Tanzania liishilo Oman.
   
 4. A

  AbasMzeEgyptian JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 406
  Likes Received: 288
  Trophy Points: 80


  Hizi ndio moja ya mambo tuloachiwa na hao wa Oman
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ameona huko Uswiss hapafai tena!!! Sasa amepata mahali pa kuficha mali ya wizi kwa mgongo wa uraia... Dr. Slaa alionya mapema kwamba huyu Kikwete ni janga la taifa hatukusikia. Sasa utajiri wote wa gesi ya Tanzania utaishia Oman. Poleni watanzania!!!!!
   
 6. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  <Kwanini <wa <Oman tu<<? <Kapata <URAIA wa Oman nini?
   
 7. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Watakosekana vipi Waoman huku wakati Capital City ya Sayyid Said ilihamishiwa Zenj enzi za biashara ya utumwa? Toka hapo mchanganyiko wa kuingiliana watu pwani ya bahari ya Hindi haikukoma.
   
 8. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Huwa najiuliza iwapo JK angekuwa anakunywa pombe angekuwa mtu wa namna gani kimaamuzi! Tafakari
   
 9. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Unaijua sababu iliyomleta Sultani Zanzibar?...kabla hujajibu rudia historia ya Kilwa kwanza.
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Biashara ya utumwa iliposhamiri pwani hii na kuonekana Zenj kuwa kitovu kinahoinufaisha sana hierarikia yao. Palipo hazina yako ndipo na moyo wako ulipo.
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hivi ametembelea Malawi; Kenya, Uganda, Comorro, na kuona kama hatokutana na watu ambao wanadai Tanzania kama asili yao vile vile na wana ndugu? Watoe tu huo udual citizenship waone kama ni watanzania walioko nyumbani watakaonufaika.
   
 12. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii ni kali. Yaani nchi inawaka moto yeye ni uraia wa Oman?
   
 13. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mi mpita njia tu.
   
 14. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Huu ndiyo unafiki na utumwa wa watawala wetu. Wanaabudia wageni huku wakiwadhibu wazalendo. Wamekuwa wakikwepa kuwa na uraia wa nchi mbili. Tunao wahindi wengi wenye uraia wa nchi nyingi tu na si mbili. Tukiutaka sisi wanatuwekea mikiriti na mikingamo ya kipuuzi. Kweli mtumwa hamsahau bwana wake. Shame on you Kikwete!
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Does this have anything to do with muungano?
   
 16. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,496
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Mie nina ushahidi alikuwa anakunywa safari bia! Labda kaacha!
   
 17. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Mr. President,

  it is not healthy for you to start commenting on the constitutional review process. Remember you concieved the idea, you caused the bill to be submitted to parliament under cerificate of urgency a bill which vests upon you very wide powers including but not limited to: appointing the commissioners, giving them terms of reference, going through the recommendations and many others.

  Your act of commenting on the review may not be taken positively by some as it is interpreted as influencing the commission, for the obvious reason that who pays the piper chooses the music. You appointed the commissioners and pay the commissioners ( handsomely), there is no way they can neglect your wish made in Oman.

  Let the commission be independent and let it be seen to be independent.
   
 18. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  akiingia muarabu kutoka saudia arabia na kuomba uraia huku akijifanya yeyey ni myemen, utagunduaje? Hii ndio ajenda ya sirii ambayo Gadafi alitaka kuingiza waarabu wengi kutoka mashariki ya kati kwa kisingizio cha United states of Africa. Hivi sasa waarabu wana njaa sana ya kununua Ardhi, ukiwapa tuu uraia hawa wa oman, basi kila mwarabu ataingia hapa nchini na kujinya yeye ni muoman.

  Hivyo oman citizen watakuwa na haki ya kufaidi ardhi ya Tanzania, na sisi tutafaidika na nini huko oman? Halafu katika mikataba tulioingia na serikali ya oman, , moja wapo upo wa ushirikiano wa kilimo! Jamani, Oman ina mafanikio gani ya kilimo , kiasi cha sisi kuomba ushirikiano nao kam siyo kuwauzia ardhi na kuja rundikana humu nchini?

  Jamani Ethio[ia imeisha uza ardhi kubwa sana kwa saudi arabia. saudi arabia imewajaza waarabu wa saudia katika ardhi walionunua na wanafuga wanyama na kulima kam vile ni mali yao. Jamani watanzania, tuwe macho na huu ushirikiano na mataifa ya kiarabu. Yaliowakuta wahindi wekundu marekani, yatatukuta sisi hapa africa.
   
 19. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nina ndugu wengi sana London, nadhani kwa mtindo huu itabidi nao wapewe dual-citizenship.
   
 20. Ngaliba Dume

  Ngaliba Dume JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,604
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Mtumwa hawezi kamwe kumsahau Bwana wake..bali Bwana huweza kumsahau Mtumwa wake....!haya ni mawazo ya kitumwa,kuamini kuwa una undugu na mtu aliyepata kuwa Bwana wako,akakuuza kama bidhaa sokoni,akakusafilisha bara mpaka pwani kwa mijeredi na mizigo mizito!Yeye aliyekuona wewe kama bidhaa wewe unamuona yeye kama ndugu...
   
Loading...