Waziri wa Teknolojia Makame Mbarawa: ''Simu zote Tanzania zina internet''

thread critic

Member
Jul 17, 2012
71
14
Nahisi majina ya mawaziri yalipopendekezwa kwa JK kuna mtu kama avile alibadili kwa maana JM alitakiwa awe waziri halafu huyu Makame....

Soma hii article ya BBC

"Communication is everywhere in Tanzania," says Science Minister Makame Mbarawa. "All mobile phones around here have the internet.''

http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-19451044

Ina maana waziri huyu wa JK hajui hata idadi ya watu wenye internet Tanzania au ndio mwendelezo wa Muungano uliotokana na visiwa vya Pemba na Zimbabwe?

_63229853_tanzania_connectivity_304.gif

_63229853_tanzania_connectivity_304.gif

Sasa January Makamba kama unasoma hii hebu mtumie waziri wako atuonyeshe ushahidi wapi katoa hii?

Hawa ndio mawaziri wa nchi hii ambao wako out of touch na jamii nzima ya nchi hii. Nina hakika hajawahi kufika hata hapo Rufiji.
 
Nimegundua huyu waziri HAELEWI tofauti kati ya "INTERNET", na NETWORK. Huyu waziri me nilishamcheki muda mrefu ni kilaza ktk masuala ya Technology
 
kilaza mkubwa huyu, kuanzia lini Phillips Savvy ikawa na internet?
 
Nape yuwapi...
Waziri alikuwa anafafanua Network kiundani zaidi.
Vuvuzela at work....
 
Daaah ni jambo la kusikitisha sana kuwa na waziri anayeshindwa kujua maana ya internet na sifa ya simu zenye internet! Huyu ana changanya na network!

Duuuuuh mpaka nimecheka badala ya kumuonea huruma jk!
 
Wa pili huyo baada ya yule wa muungano wa tanganyika na visiwa vya zimbabwe,hawa jamaa mburula kweli
 
sio simu zote tanzania zina internet...ndio tatizo la kuandikiwa speech badala ya kuiandika mwenyewe
 
Nahisi majina ya mawaziri yalipopendekezwa kwa JK kuna mtu kama avile alibadili kwa maana JM alitakiwa awe waziri halafu huyu Makame....

Soma hii article ya BBC

"Communication is everywhere in Tanzania," says Science Minister Makame Mbarawa. "All mobile phones around here have the internet.''

BBC News - Tanzania's invisible web revolution

.
Hii Ni aibu sana kwa Waziri Kuji Expose kiasi hiko, Ndio tunajua kuwa yeye ni Mechanical Engineer, lakin kwa position yake alitakiwa kuwa japo na some ideas/Technicalities za Communications Engineering, Kwani angeenda Tigo/Vodacom/Airtell na kuomba apewe Details za how many Subscribers wanatumia Internet inge mkost nini????
Kwa Taarifa yake ni simu Chache sana ambazo zina Capability ya ku access intenernet kupitia Mtanda wa Mawasiliano ya simu za mkononi, Mfano Nokia Tochi, na simu zoote za kichina za bei rahis ambazo wa Tanzania wengi ndo wanatumia hazina uwezo wa Ku Browse
 
Mimi nashauri sana mawaziri wote katiba ijayo wawe wana toma maombi ya nafasi ambazo rais atazitangaza za kugombea uwaziri. hii niaibu kujibu swali ambalo jibu lake ni kinyume kabisa
 
Tatizo la kuwa na mawaziri vilaza ndo hili
Mimi nashauri sana mawaziri wote katiba ijayo wawe wana toma maombi ya nafasi ambazo rais atazitangaza za kugombea uwaziri. hii niaibu kujibu swali ambalo jibu lake ni kinyume kabisa
 
Back
Top Bottom