Mess
JF-Expert Member
- Mar 2, 2009
- 661
- 181
Kuwe na mdahalo wa wa wagombea wa urais ili wananchi waweze elewa nani anauwezo wa kuwaongoza na nani yupo kwa sababu kawekwa na rafiki zake. Tupendekeze midahalo mitatu kabla ya uchaguzi na wasimame waulizwe na waulizane. Kwa sababu ukiwa rais pamoja na ushauri pia akili yako ni ya muhimu sana pale ili ku reach decision. Nawasilisha