Pesa za Pembe za Ndovu Hongkong, ziletwe ili kuhamasisha upigaji Kura, wanachuo walipwe!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa za Pembe za Ndovu Hongkong, ziletwe ili kuhamasisha upigaji Kura, wanachuo walipwe!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Oct 22, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,631
  Likes Received: 904
  Trophy Points: 280
  Wao wanatorosha wanyama hai, wanapora pembe za Ndovu, wanaiba Gas na madini kwa mikataba feki, wanapeleka Pesa Uswiss, Watanzania tunakosa mikopo, too long to mention....... you can add.

  Nashauri hizo Pembe za Ndovu walizopelekwa Hongkong, pesa zake ziletwe ili watu walipwe wanafunzi wa Vyuo.

  Kila mwanafunzi anaweza kulipwa Laki moja, halafu kwa mwezi anapiga kura kama 10 hivi kwa email tofauti.

  So Kutengeneza vipeperushi tuuu haisaidii. Watu wanavikejeli na kutukana. Eti huku site watu wanasema wao wale pesa sisi tupige kura.....
   
Loading...