Chadema wafanaya maandamano makubwa Namanyere Nkasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wafanaya maandamano makubwa Namanyere Nkasi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PROF PHILOSOPHY, Oct 24, 2012.

 1. P

  PROF PHILOSOPHY Senior Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko katika mji wa Namanyere. Umati mkubwa sana wa watu ukiongozwa na CHADEMA wanafanya maandamano kulalamikia hali mbaya ya maji na ahadi za uongo kuhusu umeme.

  Hivi sasa wanaelekea kwa mkuu wa wilaya, ni maandamano ya amani.

  Ntaendelea kuajuza
   
 2. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hapo sasa polisi na hasira za kuuliwa kwa afande wao wtakufa na mtu wa CDM Namanyere. Wamesahau yaliyomkuta Daud Mwangosi?
   
 3. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Kamuhanda hayupo?
  Make naogopa asitokee Mwangosi mwingine.
   
 4. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Very soon tutaanza kusema R.I.P.
   
 5. commited

  commited JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,617
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo ndio polisi utawaona, lakini kwenye chaguzi zao za nyinyiemu mpaka watu wanapigana na viti na kufukuzana mitaani kama huko mara na dodoma na mwanza walaaaa polisi hawana habari lakini wasikie tu chadema wako sehemu fulani nyswele mpaka za kwapani zinawasimma, she,,,zi zao wapuuzi wakubwa hao,,, watu wanagawa rushwa za pesa na ngono katika mauchaguzi yao sasa hoivi lakini si matakoo makuu walam polisi unaowasikia wamechukua hatua, yanaboa sana haya mavyombo ya sheria
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wanakibari? wasije tuletea maafa!
   
 7. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wawe makini na vitu vyenye ncha kali.
   
 8. P

  PROF PHILOSOPHY Senior Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naam. Wanakibali
   
 9. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  JWTZ wameshaingilia maandamano?? CDM wawe makini na vitu vizito!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Angalieni vitu vizito.......
   
 11. P

  PROF PHILOSOPHY Senior Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi wapo. Lakini wanalinda kwa amani kabisa. Shida zilizopo za umeme na maji zinawahusu nao pia. Wanatoka lindo wanakuta maji hakuna nyumbani. Hapigwi risasi mtu hapa. Hakuna kitu kizito chenye ncha kali kitakachorushwa hapa.
   
 12. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  JWTZ wameshaingilia maandamano?? CDM wawe makini na vitu vizito!
   
 13. smallvile

  smallvile JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 60
  tanzania huwa hatuna maandamano ya amani, police wakiamua baada ya kupata tamko kutoka kwa wakubwa zao wenyewe wakiambiwa ua wanaua tu inshaAllah Mungu awalinde
   
 14. J

  John W. Mlacha Verified User

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  wanajeshi waingize gari zao barabarani.
   
 15. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni haki kikatiba kuandamana kudai huduma za jamii
   
 16. Blessed

  Blessed JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 2,488
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  aisee picha zitatufaa sana pia!
   
 17. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Inshaallah!!Allah atawalinda makamanda woote walioshiriki maandamano hayo kudai haki zao za msingi kwa mwanadamu ambazo magamba yamezipora na wanagawa kama fadhila ili wendelee kutawala kwa hila,amkeni raia wa tanzania msiogope vitu vizito ni matishio ya watawala ila wamuulize Kanal Gadaffi na nguvu yote aliyokuwa nayo leo hii iko wapi??????????????
   
 18. HUNIJUI

  HUNIJUI JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2012
  Messages: 1,441
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Uzuri hao ni Wakristo, wangekuwa Waislam tungeogopa, waacheni
   
 19. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,295
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hivi uchaguzi sumbawanga lini
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Wana kibali cha polisi.
   
Loading...