Jakaya,mbowe,lowasa na zito lao moja. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jakaya,mbowe,lowasa na zito lao moja.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Handsome, Oct 25, 2012.

 1. H

  Handsome Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika pitapita zangu bimepata taarifa z kutosha kabisa kuwa vingunge hapo juu ni kitu kimoja na mkakati endelevu unasukwa ili kurahisisha kumkabidhi Mh.Lowasa nchi mapema 2015,Mbowe na Lowasa na Kikwete lao moja since 2005 kwani taarifa za zinadai kuwa mh.Mbowe alikubali akitoswa Jk aende Chadema agombee huko,wadau ver kindly,nahisi Ukombozi wa kweli Tanzania bado sana kama tuu hizi Taarifa ni za Kweli,nakaribisha maoni,
   
 2. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wao wawe na lao na watanzania tuna letu!
   
 3. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ninasema hivi sio lazima wote tupost jamvini. source
   
 4. Mbonica VJ

  Mbonica VJ Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Next tym jipange
   
 5. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,312
  Likes Received: 778
  Trophy Points: 280
  yawezekana ikweli maana kwa taifa maskini kama letu kuwepo na siasa za vyama vingi ni hasara kwa taifa,uongeza mianya ya kifisadi kwa visingizio mbalimbali na senema za hapa na pale.mwaka 1992 tulipoamua kujiingiza katika mfumo huu hatukuwa sawa yawezekana ilikuwa ni uoga na hofu tu kutoka nje tuliokuwa nayo,sasa tapata miaka 20 tangu kuingia katika mfumo huu.Kiukweli taifa lolote lenye msingi imara ni lile tu ambalo lina chama kimoja tu cha siasa ambacho kimeundwa kwa sheria/katiba yake yenye meno makali sana juu ya wale wote wanohujumu ama kuchezea rasilimali za taifa hilo ambapo ikithibitika hakuna mjadala ni adhabu kali.Pengine wakuu hawa wa vyama wafike mahali waache ubinafsi,uroho wa madaraka na nafasi walizonazo waje na mbinu mpya ya kisasa ya kuunganisha vyama vyao kwanza ili siku zijazo waungane na CCM kuushangaza ulimwengu ukizingatia kwamba kadi za (TANU& ASP) CCM bado wanazo hawajazirudisha.Pengine tufike mahala tuwaulize hawa viongozi wa vyama kama kadi za chama chao kilichowalea walikwishazirudisha? na upande wa pili tuwaulize viongozi wa CCM kama kuna yoyote yule katika viongozi wa vyama vya siasa waliyekwisha pata kadi yake.Maana tusije tukawa na viongozi wa vyama ambao wana mdimi mbili,yatupasa kuchagua rangi moja tu maana hizi nyingine zinaumiza macho.Tanzania ya kweli ni ile yenye chama kimoja kikubwa cha siasa,sheria kali za kulinda amali ya jamii,uajibikaji,ustahimilivu,ujasiri wa vingozi,huruma (hofu ya mungu),upendo,amani,maendeleo endelevu na ustawi wa jamii isiyo kuwa na adui maradhi,ujinga,umaskini na utegemezi katika shibe.CHAMA KIMOJA CHA SIASA TANZANIA KINAWEZEKANA,WINGI WA VYAMA SI MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU.
   
 6. 53930

  53930 Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Nahisi wewe ni gamba. Tena gamba lililokauka.... Gambaaaaaaaaaaaaaaa tangu lini maji yakajichanganya na mafuta ya taa???
   
 7. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Gamba linapigia kampeni chama chao cha magamba. Mkuu linda unapika wako bwana
   
 8. aminiusiamini

  aminiusiamini JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,416
  Likes Received: 1,298
  Trophy Points: 280
  Upuuzi
   
 9. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Nonsense
   
Loading...