Kwa kampeni hizi za CCM,itakuwa ngumu sana ku conqure the summit hapa daraja mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa kampeni hizi za CCM,itakuwa ngumu sana ku conqure the summit hapa daraja mbili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mianzini, Oct 25, 2012.

 1. m

  mianzini Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inanisikitisha kuona watu wanapanda jukwaani badala ya kunadi sera wanaishia kuongelea watu.nilikua sijawahi hudhuria kampeni za hawa mabwana but what i observe is total a concotions. Wanadai mgombea wa cdm si mwanaume kamili,mara anamiliki bastola.
  Kweli hizi ni siasa muflisi kabisa,naomba kuishia hapo maana hawa wananitapisha
   
 2. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,811
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  pole, sisi tulishaacha kuhudhuria vikao vya ccm na kuangalia tbc, ni muflisi
   
 3. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Badooo tuuu mnahudhuria campeni ccm maana hao ni wajambawazi waa ufisadiiii
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  hawawezi kujenga hoja. wanatumia nguvu zaid
   
 5. g

  gagonza JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  na wewe ndugu ulifata nini? unaona sasa wamekuchafua roho achana nao,umeongeza idadi ya watu kwenye mkutano wao bila kujua.
   
 6. m

  mbayaaa Senior Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 132
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kilichokutuma kwenda huko n nini?
   
 7. B

  Bahati Risiki JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 531
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM zi ilishazikwa Arusha?
   
 8. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,804
  Trophy Points: 280
  siyo ARUSHA TU sema ccm ilisha zikwa MBEYA,IRINGA, SHINYANGA, MWANZA, MARA,KAGERA, MANYARA, KILIMANJARO, RUVUMA,KIGOMA, RUKWA, SIMIYU, NJOMBE, NA SINGIDA. Bado huko sijui bwagamoyo na chalinze.
   
 9. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ccm hata kujenga hoja ni shida!
   
 10. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uliona wakati wanatushambulia kwa mawe?
   
Loading...