Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima kwenu wote, sasa maofisa wa tume ya uchaguzi wameanza kuja na baadhi ya polisi nao naona wanaingia. Kupiga kura kutafuata baadaye saa moja.
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Wadau, Sawa,EL anautaka sana Urais wa JMT kwa udi na uvumba, hii inafaahamika. Na anatumia sana hela kuweka watu wake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya CCM ili kujirahisishia njia...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Salamu wakuu, nipo kata ya daraja mbili arusha najiandaa kwenda kupiga kura yangu. Hali naona ni shwari,watu wengi ndio wanajiandaa kwenda kutimiza haki yao ya msingi.nitaendelea kuleta update...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
uchaguzi wa diwan wilayan momba watia fora askari apigwa jiwe na wanachadema pia mwana ccm apigwa jiwe alazwa kamsamba n baada ya wana ccm kupita maeneo ya karibu na kampen za chadema mida ya saa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
UVCCM walivyowapokea viongozi wao wapya - kwa mabango na kichapo - katika ofisi za Makao Makuu ya Umoja huo leo. (picha, maelezo - blogu ya “Utakapojua Hujui Ndipo Utakapojua”)...
14 Reactions
137 Replies
11K Views
Nimezunguka kwenye kata mbili, Daraja mbili- Arusha mjiji na Bangata-Arumeru Magharibi. Tangu Asubuhi watu wamemiminika vituoni na katika Hali ya kutaharuki ccm walitaka kuwafanyia vurugu Lema na...
9 Reactions
69 Replies
9K Views
Jana nilipita maeneo ya Fire, kwa bahati mbaya nikakutana na kampeni za CCM zilizokuwa zikiendela maeneo ya Fire, kwa kuwa sikuwa na vitendea kazi nikabahatika kupiga tupicha hutu tuwili kama...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Ndugu Zitto Kabwe ambaye hivi sasa yuko Rombo kwa ajili ya kufunga campaign za udiwani kata ya Nanjarareha amehamasika na ukuaji wa mji wa Moshi na haswa mapokezi aliyoyapata kule Rombo na kukiri...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Ansbert Ngurumo WIKI mbili zilizopita nilizungumzia magonjwa kadhaa ya CCM ambayo nilionya wana CHADEMA wajihadhari nayo. Nilizungumzia sumu ya makundi hasimu, na matumizi mabaya ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
1.Bangata-Arusha 2.Darajambili-Arusha 3.Msalato-Dodoma 4.Mpwapwa-Mpwapwa 5.Magomeni-Bagamoyo 6.Lwenzera-Geita 7.Bugarama-Kahama 8.Mwawaza-Shinyanga 9.Vugiri-Korogwe 10.Tamsta-Lushoto...
4 Reactions
75 Replies
8K Views
Ndugu zangu, juzi niliposti ombi langu la patch/ key ya internate adownload Manager (IDM) lakin kimsingi sijapata taarifa yoyote toka kwenu. Tafadhalini sana siku ilobaki kwangu ni kesho, naomba...
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili. Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Dr Slaa atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba Queens' schools (Nursery and Primary) iliyopo Ukonga Dar es Salaam. Shule hiyo ipo karibia na kituo cha Polisi Sitakishari njia panda...
7 Reactions
132 Replies
10K Views
Wakuu, Habari nilizozipata punde ni kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA tawi la Mwawaza katika Manispaa ya Shinyanga (jina sijalipata vema) amechomwa mkuki usiku wa kuamkia leo mpaka utumbo ukatoka nje...
8 Reactions
148 Replies
14K Views
Siku ya jana ilikuwa ngumu na kipekee kwa vijana wa CCM hasa ulipowadia wakati wa uchaguzi na hasa baada ya kudondoshwa kwa kipenzi cha mtoto wa Raisi A.S HAPI. Mgombea huyu aliyetajwa kuungwa...
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Kampeni Mbeya Watu Wajeruhiwa,Wana JF nimezikuta picha na taarifa hizi kwenye mjengwa blog, kama kuna mwenye taarifa rasmi tunaomba atuhabarishe, ikiwa ni kata gani, ni mkutano upi na maeneo gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi wanaJF, napenda kufahamu ni lini taasisi ya uchaguzi Tanzania-NEC, itaanza mchakato wa kusajili na kutoa ID cards za kupigia kura? Kumekuwepo na chaguzi za dharula, na bado zitaendelea kuwepo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa kuwa Katiba ya Tanzania ya 1977 inaniruhusu kutoa maoni yangu alimradi sivunji sheria, na kwa kuwa slogan/ motto/ kaulimbiu ya JF ni "where we dare to talk openly", basi napenda kusema haya...
10 Reactions
895 Replies
96K Views
* Waislam wataka wimbo wa Taifa ubadilishwe kwani ni wa Kikristo na pia siku za mapumziko zibadilishwe ! * Wakristo nao hawataki mahakama ya kadhi, OIC na uvaaji wa hijab mashuleni. Source: Habari...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
1. Tuwe na vyama vya siasa visivyozidi 3. 2. Viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama wa nchi marufuku kuwa wanasiasa wala kuteuliwa katika nyadhifa mbalimbali ndani ya serikali. 3...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom