Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shule za Waislam Dar kufungwa wanafunzi waende kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Wimana, Oct 27, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. W

  Wimana JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 2,453
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 145
  Gazeti la Mwananchi la leo, limemkariri Sheikh Kondo Juma akisema Alhamisi wiki ijayo, shule zote za Kiislamu, Dar, zitafungwa ili kuruhusu wanafunzi kwenda Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi ya Sheikh Ponda na Ijumaa Waislam wataandamana kwenda Ikulu kushinikiza kuachiwa huru wenzao waliokamatwa.

  Haya ndio tunayosema humu ndani, wanaharakati wa Kiislamu wanaona elimu si kitu cha maana. Huku ni kuwatia watoto ujinga, wakifeli wanatafuta mchawi. Tuone Wizara ya Elimu itatoa msimamo gani kwa shule hizo.
   
 2. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Cha maana tu harakati zao zitatupatia official close of business on mid day friday ....
   
 3. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ohhoooo, kuna nini tena?
   
 4. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,717
  Likes Received: 1,627
  Trophy Points: 280
  ni sawa tu waache waandamane elimu nayo itapigwa stop kwa muda
   
 5. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ndo shida ya watoto wa mama mdogo, muda wote wanadhani wanaonewa tu. anyway, jaribuni.
   
 6. G

  Gene Senior Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  INAMAANA WAISLAM WENGINE VICHWA VYAO VIMEJAA MAJI HIVI......... Pwaaaaaah
   
 7. C

  Concious Senior Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 105
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hawana akili hao,halafu wakifeli wanasingizia baraza la mitihani linawaonea wanafunzi wa kiislam..maamuma hawa....hawajitambui ndo maana wanaburuzwa na vilaza
  ooh jesus christ waokoe hawa wana wapotevu
  duh hakika wamejenga mchangani ndo maana harakati zao za kikuda hazijawahi kuzaa matunda wanayoyataka......nawaonea huruma kweli...na mabomu mlioandaliwa safari hii mbona mtakohoa damu
   
 8. n

  ni_mtazamo_tu Senior Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisi hatuogopi mabomu wala risasi, hivi hatuna silaha mnatuogopa subiri sasa tupate udhamini wa silaha halafu utaona nani atakayekimbia nchi
   
 9. W

  WildCard JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Matatizo ya kuzifanya DINI kama mama aliyekuzaa ndio hayo. DINI ni kama mke. Unaweza kuibadili, kuiacha, kujitenga au hata kubaki unaitazama tu.
   
 10. anjnr

  anjnr JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 483
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  du! udhamini wa silaha!!!! kama wanawapenda wangewadhamini mkawa na shule za maan, hospitali nk
   
 11. D

  Dan08 Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 67
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  nakuonea huruma,i fil sorry for u and people like u,baada ya hayo unayoyasema kufanya utaenda peponi?pepo ipi?so sorry for u
   
 12. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Sasa ndio naanza amini kuwa kweli tuanwaza kwa kutumia nini sijui.
  Yaani watoto waende kusikiliza kesi waache masomo na wataingia mahakama ipi itakayo wabeba wote hao, basi waombe hii kesi ikawe uwanja wa taifa.

  Na wazazi watakao ruhusu watoto wao wakapotee na kuzagaa hovyo watakuwa hawana akili.
  Kwa kweli hawa watoto iko siku watakuja tushtaki kwa kuwatumia vibaya!
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Kwani wanafunzi ni mawakili wa Shekhe Ponda, na je akipatikana na hatia akafungwa miaka kadhaa na shule zitafungwa jumla?
   
 14. S

  SHEMGUNGA JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 653
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Duuuuuu kweliii akiliiiii majiiiii sizaniii kuwa kuta kuwa na mabadilikooo kwa hawa jamaaaaa
   
 15. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Madhara ya suruale fupi haya. Huna familia, huna kazi, hujali kesho yako itakuaje ndo maana una ujasiri wa kusema maneno sampuli hii. Allah akusamehe..
   
 16. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Hivi viongozi wetu wa dini wakifanya makosa ya jinai,sisi waumini tuwatetee kwa kuvunja sheria? KAAZI KWELI KWELI,haya endeleeni kuchochea kuni ili moto uwe mkali sana.
   
 17. B

  Bukutonaga JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Lazima hiyo alhamisi na ijumaa tufate maelekezo ya Ma-Shekhe wetu na mtaona kama tutapigwa mabomu maana mtetezi wetu yupo amerudi mlitubahatisha tu last week kwa kuwa mkuu hakuwepo lakin muulizeni nchimbi kitimoto alichowekwa maana alitaka kuidhalilisha dini inayoongoza serikali yenu
   
 18. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Darsa tosha kabisa mkuu
   
 19. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Halafu ilipopitishwa sheria ya ugaidi mkaanza kulalama...Inaelekea hata OIC lengo lake umelitaja hapo juu...
   
 20. T

  Tabby JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 9,880
  Likes Received: 5,476
  Trophy Points: 280
  Kweli akili ni nywele. Kwa hiyo wewe unapoona watu wamenyamazia ***** wenu unadhani wamewaogopa? Ujue mtu mwenye akili timamu hawezi kufukuzana na mwehu. Vinginevyo watu hawataona tofauti kati yao. Hii ndiyo tofauti yako na watu wenye akili. Ni vizuri ukipata hizo silaha , ukawauwe wale viongozi wenu waliopandikiza ujinga wa kukataa elimu na kuwafanya muone hamna haki ya kuishi kistaarabu. Wewe umesoma madrasa, halafu unataka uwe sawa na watu wenye maarifa sahihi, si ndoto hizo? Lilieni shule na mchape kazi kwa kwenda mbele. Acheni kuburuzwa na kina ponda na farid sijui nani. Wanawatumia kwa maslahi yao. Wivu hautawasaidia na badala yake mtazidi kuwa wehu.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...