Dr Shein asema uvumilivu kwa wanaosababisha vurugu basi

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Akihutubia katika swala ya eid el haji, amesema serikali imechoka kuwavumilia wanaoanzisha vurugu na uchochezi wa kidini. Amesema serikali itamchukulia hatua mtu yeyote atakayejihusisha na vitendo hivyo kwani havihusiki na dini ya kiislamu

source: Channel Ten
 
wakisema wamechoka ina maana walikuwa wanajua all along kuwa jamaa wanavunja sheria lakini hawakuchukua hatua yeyote?
 
Inamaanisha mwanzo walikuwa wakiwaachia makusudi. Kwa faida ya nani!?.Kinyago walichokitengeneza wenyewe sasa kina wa tiisha!
 
Kweli anayosema Dr. Schein lakini asisahau na wanachi wana haki zao. Haki za binaadamu zimekiukwa na serikali ya Dr. Schein na akiendelea na vitisho na mauaji ya wazanzibari , hatua madhubuti zitachukuliwa. Kuwatisha wananchi sio ufumbuzi wa matatizo ya uongozi. Matatizo yazuka pale wanapo geuza matakwa ya wananchi. Kura za BUBUBU wameiba na huyo kinara wao aliye jinaki kwa kuiba kura wamempa cheo zaidi. Sasa wananchi wanapoidai haki yao, wanakosa gani?.
Dr. Schein, lazima awe muadilifu na kuheshimu haki za wananchi wake.
 
Naona mnataka haki ya kuua askari sio.... Nyoa ndevu, tupa kule hakuna dhamana hadi mibasha ya gerezani iseme sasa Sheikh Farida kanyooka.
 
Asije naye yeye akawa na yeye ni mtu wa maneno kama alivyo wa kwetu huku Bara, ngoja tuone matendo sasa
 
kwa kweli kama serikali zetu hazitasimama kidete kwenye hili. Hawa wakina Ponda na wenzake wataigarimu amani yetu. Tena watawapoteza Waisilamu zaidi kiimani kuliko hata kuwajenga..miaka sii michache mtaanza kuona watu wanajitoa mhanga kisa ni chuki zinazopandikizwa na watu wenye maslahi yao banafsi...
 
ukipanda bangi unategemea nini? wakubali kuvuna bangi waache ujinga kama walifuga leo wanajidai kutoa kauliza vitisho vya kijinga hapa..
 
Kweli anayosema Dr. Schein lakini asisahau na wanachi wana haki zao. Haki za binaadamu zimekiukwa na serikali ya Dr. Schein na akiendelea na vitisho na mauaji ya wazanzibari , hatua madhubuti zitachukuliwa. Kuwatisha wananchi sio ufumbuzi wa matatizo ya uongozi. Matatizo yazuka pale wanapo geuza matakwa ya wananchi. Kura za BUBUBU wameiba na huyo kinara wao aliye jinaki kwa kuiba kura wamempa cheo zaidi. Sasa wananchi wanapoidai haki yao, wanakosa gani?.
Dr. Schein, lazima awe muadilifu na kuheshimu haki za wananchi wake.

Sijui nani anamtishia/kumuua nani? maana vurugu zilikuwa kikundi cha wananchi(uamsho) kinatishia vikundi vingine (maskani za CCm,makanisa na wenye mabaa) vya wananchi na serikali ikaingilia kati ili kuwanusuru wanaotishiwa,roho zao na mali zao.
 
wakisema wamechoka ina maana walikuwa wanajua all along kuwa jamaa wanavunja sheria lakini hawakuchukua hatua yeyote?

hapo hata mi ndio sielewi au shein alikua anasubiri order kutoka kwa boss wake JK nini, alafu cha kushangaza wamechinja polisi na kuanza kufanya vurugu mtaani ndio wameamka...wakati wanachoma makanisa walikaa kimya hawakujigusa...
 
kweli anayosema dr. Schein lakini asisahau na wanachi wana haki zao. Haki za binaadamu zimekiukwa na serikali ya dr. Schein na akiendelea na vitisho na mauaji ya wazanzibari , hatua madhubuti zitachukuliwa. Kuwatisha wananchi sio ufumbuzi wa matatizo ya uongozi. Matatizo yazuka pale wanapo geuza matakwa ya wananchi. Kura za bububu wameiba na huyo kinara wao aliye jinaki kwa kuiba kura wamempa cheo zaidi. Sasa wananchi wanapoidai haki yao, wanakosa gani?.
Dr. Schein, lazima awe muadilifu na kuheshimu haki za wananchi wake.
atawanyoa tu! Nasikia wameagiza vifaa vipya maana zile za farid zilikuwa ngumu mno zimeharibu mashine zote.
 
kwa kuheshimu haki amuachie mtu ambaye anajiteka mwenyewe,halafu wasaidizi wake wanahamasishana wafanye vurugu,watu wanapata hasara na uvunjifu mkubwa wa amani unatokea kama rais akae kimya akiact anavunja haki za binadamu are you serious or are you uamsho?
 
Farid sio wa kuachiwa ukiangalia picha zake zote alikuwa hacheki /hatabasamu ila baada ya kunyolewa KATABASAMU na kutoa PEACE naona hajaamini kuwa kuna wanaume walioweza kumkamata na kumuweka mung'anda kusiko na kitanda
Na bora Dr Shein alipofuta Usajili wa Uamsho maana kilikuwa hakijulikani ni cha kisiasa kidini au cha kuuvunja Muungano
Hao waarabu wasionyoa na kutukana DINI za wenzao au Kuchoma Maskani warejeshwe kwao Oman maana hujifanya wana Uraia 2 zisizo na Passport
 
Back
Top Bottom