Mhimili wa nne bila taarifa jee tanzania tunaipeleka wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhimili wa nne bila taarifa jee tanzania tunaipeleka wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dhahabuinang'aa, Oct 27, 2012.

 1. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona kuna mhimili wa nne umekuja bila hodi Kibaya zaidi ni pale nnaposhuhudia huu mhimili kuwa na nguvu kuliko hii mingine Hapo awali kulikuwa na mihimili mitatu
  1,Serikali/Rais
  2,Mahakama
  3,Bunge
  Kwa sasa
  4,Rushwa/Ufisadi
  Naamini sitakosea nikisema huu una nguvu kuliko yote kwani wote tumeshuhudia Rais wa jamhuri
  Akiishia kulalamika tuu!!
  Hapo utaamini huu mhimili una nguvu kiasi gani hata hii taasisi ya urais inashindwa kuuzima huuMhimili usio rasimi.
  kwangu mimi hii ni aibu kubwa sana
  Bila kuuma maneno mimi kama Charless Chacha Chadema
  Naiunga mkono hoja ya
  Mh John John Mnyika kwa 100%
  Juu ya kauli yake kuwa Rais jk ni dhaifu tena ni dhaifu kupita maelezoKuna
  Swali mtanisaidia kupata jibu ni hili hapa Hivi Lowasa ni nani ndani ya hii nchi!!?
  Huyu Lowasa ametembeza hela nchi nzima kupitisha wajumbe wa kambi yake ili aweze kujisafishia
  Au kujiahakikishia kupita ili aweze kugombania kiti cha urais 2015
  Kila sehem ndani ya chama cha mapinuzi palipofanyika uchaguzi kuna malalamiko ya rushwa na mhusika ni lowasa huyu mtu hizo hela anamwaga kwa maslahi yapi!?
  Na huu mhimili umekuwa na nguvu baada ya kupata mfadhili hondari wa kumwaga mipesa
  Swali lowasa hizo hela atazirudishaje au kuna nini kimejificha nyuma yake!!?
  Jee ikulu anafuata nini!?
  1,ni kwenda kulipa visasi?
  2,anataka tuu sifa?
  3,anataka kwenda kurudisha hela zake?
  4,au ni ndoto tuu za kuwa rais na kujiosha mbele ya umma dhidi ya uchafu alioufanya?na jee mtu akiachia ngazi kwa ufisadi bado ni mstafu?tunaipeleka wapi hii nchi?
   
 2. DEMBA

  DEMBA JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 7,295
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  raisi hana uthubutu wa kuchukua hatua kwa sababu hata yeye si msafi, ccm hakuna wa kumnyooshea mwenzie kidole kaka wacha huuu mhimili uingie kwenye katiba.
  kaka umenipa shida sana kusoma uwe una edit na kuzingatia matumizi ya alama za uandishi kabla ya kupost
   
 3. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimerekebisha kamanda.
   
 4. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  5. nae kwenda ulaya kutembea, kwa kisingizio kutafuta wawekezaji
   
Loading...