CHADEMA kushinda kata ya TAMOTA, Jimbo la JANUARI MAKAMBA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kushinda kata ya TAMOTA, Jimbo la JANUARI MAKAMBA?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Baba Clara, Oct 27, 2012.

 1. B

  Baba Clara Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hali ya kata ya tamota imekuwa nzuri sana tangu mchakato wa kutafuta mgombea ulipo anza mpaka sasa, watu wengi wamekuwa wakijitokeza katika mikutano ya chadema, kitu ambacho kwa CCM na CUF hawapati watu, lakini hilisi la kubeza maana kuna kampeni za aina nyingi.Kata hii ina dalili zote za kushinda kwa chadema lakini kosa linaloonekana mpaka sasa kuna mtu mmoja haonekani katani, leo ni siku ya nne mpaka sasa, viongozi wakiulizwa majibu yao inaonekana wanatofauti na chuki juu ya umarufu wa huyo mtu ambaye wanachama na wananchi wamekuwa wakimuulizia mara kwa mara kutokana na ushawishi wake kwa wapiga kura na kinamama. CCM wameingia na magari zaidi ya 13 mda huu katika kata hii wakiongozwa na Januari makamba, issue leo wanakesha kila kijiji wakicheza disco kushangilia ushindi, jamani hapa ndipo watu wa vijijini wanapoakamatiwa na kupewa kidogo, hapa ndipo bao la kisigino, jana januari makamba alifanya sherehe ya sikukuu ya EID kata jirani ya mahezangulu ambapo ili beba takribani wananchi wengi kutoka kata ya uchaguzi. lakini viongozi wanapopewa taarifa hizi wanadai hiyo ni sherehe ya waislamu, kiukweli hali ilivyo ilitakiwa ipatikane pikipiki ya kuwashitukiza wanapotoa rushwa.Kwa muda huu viongozi waache malumbano ya kutaka madaraka na kuchafuana, walichokifanya Mh. Kisandu wamemwacha Lushoto mjini hawataki afike katani kwasababu ya mabeef yao na ni mtu mhimu kwa dakika za majeruhi kama hizi na ndiye aliyefanikisha zoezi zima kuanzia mwanzo lakini sasa hayupo, nimejaribu kumpigia simu anasema mimi majungu sitaki waulize viongozi wenzangu, nimeanzisha mafanikio ya ushindi wamenitenga kwa ulafi wa vijisenti na uhaba wa elimu walionayo. tunaomba ushauri wana JF
   
 2. m

  mkigoma JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 1,182
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkuu kwani hakuna kanisa katika kata hiyo? omba msaada kwa padri.
   
 3. commited

  commited JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,619
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante sana, mnyika anapita hapa ebu tusaidie eneo hili liende cdm tafadhali, mleta uzi asante kwa taarifa wajumbe wamekusikia
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  udini utakumaliza
   
 5. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Good news
   
 6. s

  salomoe JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Kwani hali ikoje kwa Chabema kushinda, mbona unaongea kana kwamba ni CCM uliyetofautiana kimkakati na chama chako. Sijakuelewa funguka zaidi Mkuu.
   
 7. s

  salomoe JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 5, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 80
  Hoja ya Udini imeshindwa, kapewe boha unywe. Low mind!
   
Loading...