Waandishi wa habari wakacha mkutano ulioitishwa na naibu waziri wizara ya uchukuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari wakacha mkutano ulioitishwa na naibu waziri wizara ya uchukuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinyongo, Oct 26, 2012.

 1. k

  kinyongo Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  leo muda huu waandishi wa habari wameondoka katika mkutano ulioitishwa na naibu waziri wa uchukuzi kwa kile walichokidai kuwa wamedharauliwa na kuwa naibu waziri haendi na muda.

  source maasinda
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  safi sana, manaibu wenyewe mmewazidi kila kitu hadi kuongea kingereza na ku present speech halafu wanajifanya wakubwa hapa.. Ala.. Kama ni tren kuanza si ianze tu kwani lazima waitishe mkutano kutaka misifa???
   
 3. k

  kinyongo Member

  #3
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi pia nimefurahishwa sana na kitendo walichokichukua waandishi wa habari kwani huwa hawa viongozi wanajiona wapo juu sana yani na wanaweza wakafanya wanavyotaka wanafikiri kila mtu ni wa kumpelekesha. safi sana waandishi kwa mlichokionyesha leo
   
 4. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,787
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Dr Tizeba ni Nshomile pure! anatabia za kishomile! safi sana waandishi wa habari!
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,906
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  I like that, keep it up
   
 6. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,263
  Likes Received: 703
  Trophy Points: 280
  Wangeambiwa kuna "vibahasha" wangeondoka????
   
 7. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #7
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,292
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Good question!
   
 8. H

  Hume JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Unataka kutuambia kuwa waliambiwa kuwa vibahasha hakuna ndo maana wakaondoka na siyo waziri kuchelewa?
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  hakukua na bahasha za khaki
  pathetic/
   
 10. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,830
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  heheheh hahahaah safi sana hii waandishi wajue kwamba taaluma yao ni muhimu sana so hakuna mtu wa kuwaburuza na vibahasha vya alfu tano tano
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  a critical tag!
   
 12. M

  MADORO Senior Member

  #12
  Oct 26, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 199
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bado mzee wa Magogoni naye haendani na muda kila anapowaita waandishi
   
 13. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,235
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kumbe huyu jamaa ni Nshmile! sikujua.
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,437
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Walikuwa wanawahi sehemu nyingine ambayo ina vibahasha.
   
 15. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,513
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  Mgomba tatzo ni waziri na si unshomile ..hit the point itself!
   
 16. b

  blueray JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2012
  Joined: Sep 15, 2012
  Messages: 2,219
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Safi sana, ni fundisho viongozi waheshimu na kufuata muda
   
 17. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
 18. Bosco Ntaganda

  Bosco Ntaganda JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu naibu waziri si ndiyo yule mwenye beef na kaka yake? Jamaa ana roho ngumu sana
   
 19. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Kama hawa jamaa kazi yao ni kuleta habari, kwanini wasisubiri hata kama jamaa akichelewa siku mbili ?

  Kwa mwendo huu sidhani kama hawa watu wanaweza kwenda kuripoti issue za vita (kwa kuhofia kupigwa risasi).., mi naona ni vema wangebaki na kuripoti jinsi waziri asivyojali muda among other things
   
 20. d

  delako JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 1,817
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hata wa ccmbc nao waliondoka???Mhhh tbc hawana huo ujasir
   
Loading...