RC Mwanza unajitafutia ajali kwa Uzembe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RC Mwanza unajitafutia ajali kwa Uzembe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chakaza, Oct 27, 2012.

 1. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,534
  Likes Received: 15,865
  Trophy Points: 280
  Ofisi ya RC Mwanza iko kati ya jengo la Polisi mkoa,TRA na Mahakama na mbele ya kuna barabara moja ya one way traffic kutokea upande wa jengo la CCM kwenda Mahakama. Ukitoka ofisi ya RC lazima ukate kulia kuingia barabarani.

  RC huyu wa Mwanza kwa yeye kwa kuona kupita kulia ni usumbufu kwa vile ni njia ndefu anakata kushoto ma kuvunja sheria za barabarani na kuweza kusababisha ajali mbaya. Gari hilo likigongwa na kusababisha madhara au upotevu wa Maisha sheria itafata mkondo au? Trafic wapo na hawamwelezi hatari hiyo au gari ikiwa na bendera inapita popote?

  RC fata sheria za barabara ili kuepusha ajali inayoweza kukudhuru wewe au wengine.
   
 2. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,170
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Nafikiri Ma-RC kule Ngurudoto waliambiwa kuwa wako juu ya sheria kwasababu wengi wako hivyo hata kuamuru Polisi kuua ni wao chanzo
   
 3. m

  mdunya JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  achana naye
   
 4. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 21,534
  Likes Received: 15,865
  Trophy Points: 280
  Mbaya ni kuwa anaweza kusababisha ajali ikanihisisha mimi,wewe au mwingine. Na kulingana na siasa za nchi hii kosa litakuwa sio la kwake.
   
 5. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 10,609
  Likes Received: 2,407
  Trophy Points: 280
  Anajua wazi 2015 sio rc maana ccm imeshindwa kila kitu.
   
 6. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wao ni maraisi, na sheria ipo chini yao mpaka wapate ajali
   
 7. Z

  Zimamoto JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 464
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Hayo ni matokeo ya nidhamu ya woga. Anayeendesha gari ni dereva aliyefuzu masomo ya udereva ikiwa ni pamoja na sheria za usalama barabarani. Kwa nini akubali kuzivunja? Nakuhakikishia siku ikitokea ajali RC hatahusika hata kidogo, atakayewajibishwa ni dereva tu.
   
 8. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo inawezekana Dereva anaamriwa na mkuu wake naye anvunja sheria kwa kuogopa kupoteza kazi.Nchi hii imekuwa ya ki imla.
   
 9. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 466
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Akipata ajali atakwenda kwa mganga na kuambiwa nani kamloga. Huyo ni dili kwa waganga wa jadi.
   
 10. m

  mashila Senior Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pia wamewekwa kwa kujuana zaidi xo hawaoni haja ya kuheshimu sheria kwani hata yakitokea ya kutokea aliyewaweka atawalinda
   
 11. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  acha afe kwani hana umuhimu kwa jamii ya wana-mwanza.Rpc wa mwanza tushamsahau
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,298
  Likes Received: 14,536
  Trophy Points: 280
  anamrudisha mwalimu nyumbani kwake..si ndio style yao? refer rpc
   
 13. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,146
  Likes Received: 1,957
  Trophy Points: 280
  Ma-RC wa nchi huu mkuu wala huwa hawazungumzi kama wanataka kumwelekeza dereva akate upande gani! Wanatumia fimbo tu mkuu hapo dereva lazima ajiongeze kwamba kaambiwa nini? Sasa huo muda wa kumwelewesha RC sijui utautoa wapi??!! Kaazi kweli kweli!!
   
 14. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 972
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 60
  Hiyo barabara kama na malori yanapita basi ujue siku zake zinahesabika.
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kama alikuwa anaendesha mwenyewe, lazima apande kizimbani, na ingekuwa enziiiii zileeee za Nyerere, tayari leo jioni alitakiwa anakabidhiwa barua ya kumtakia maisha mema huko aendako
   
 16. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Asubuhi hiii tena? sio usiku wa mamane?
   
 17. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo watakufa na wasiokuwa na hatia.
   
 18. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Na Traffic police huwepo coz hy barabara inatokea round abt na jiran na central police! RC katiba ya nchi nafikiri inamruhusu kuvunja sheria! Maskini TZ..."
   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,877
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Kuongoza ni kuonesha njia! Lakini hapa kwetu inaelekea kuogoza na kupoteza wananchi njia.

  Hivi kwanini viongozi wetu wanakuwa VINARA wa kuvunja SHERIA badala ya kuwa mafano mzuri wa kufuata sheria! Mwananchi wa kawaida atajifunza nini kutoka kwa huyu RC tena eti ni Engineer Evarist Ndikilo! Au ndiyo ma-engineer type ya Stella Manyanya (RC Rukwa).

  Katiba mpya tuondokane na watu hawa RCs, DCs They are hopless people with no job to do.
   
 20. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,014
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Tatizo n i kuwa sisi hatuna viongozi, bali tuna watawala
   
Loading...