Serikali kuingilia biashara ya usafirishaji kutaka kuboresha huduma ya treni sio haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali kuingilia biashara ya usafirishaji kutaka kuboresha huduma ya treni sio haki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by R.B, Aug 3, 2012.

 1. R.B

  R.B JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 6,168
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  Nimesikitishwa na uhamuzi wa Mh Mwakyembe.

  wa kuanzisha usafiri wa trani jijini Dar es Salaam;

  1. Hii ni serikali kuanza ukiritimba wa kufanya biashara ambayo ilishindwa toka kipindi kile.tunarudi socialism

  2. Ni uhamuzi wa kisiasa zaidi badala ya kitaalamu (zima moto)

  3.Kunenepesha matumbo ya watu fulani wkt wa tenda ya kusafirisha ; tunarudi kwenye MATATIZO YA UDA

  4. Kuna watu wanamikopo ya biashara ya Daladala kwenye mabenki ; sijui watailipaje kutokana na kupato kupungua na abiria wenye kukimbilia usafiri wa trani.

  5. Foleni inasababishwa na magari binafsi sio DALADALA; Sijui hizo takwimu wamezitoa wapi. wangetakiwa kufungu mageti ya kuingilia mjini kwa kucharge gari binafsi shillingi 5000; ili kudiscourage foleni.

  6.Biashara ya mafuta itaongezeka kwa kuiba ya kwenye trani km tunavyo shuhudia
   
 2. PPM

  PPM JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 839
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tumia akili na wewe, kuna mtu alikumbia ununue daladala. Hizo daladala zako peleka Kibiti
   
 3. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Daladala nchini si biashara bali ni vurugu na kero hususan wanavyojaza kupita kiasi, kukatiza route, kuongeza nauli bila mpango nk. Kuna haja ya kurejesha usafiri huo kwa chombo cha umma, siyo shirika la umma km mwanzo bali kila halmashauri za jiji zianzishe na kusimamia usafiri wa mji wake.
   
 4. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwanza mtu mwenyewe hata kiswahili hujui
   
 5. k

  kijereshi JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Mimi binafsi nadhani sio vibaya kwa serikali ilivyoamua kufanya ww kama "entreprenuer" huna budi kuondokana na traditional ways za kufanya biashara yako hasa ya daladala unapaswa kubuni mbinu mpya ya kupata wateja wako/abiria mfano katika kuboresha huduma zako unaweza kulenga watu wa maofisini kama abiria wako cha msingi ni ww kuwa na uhakika na vyombo vyako vya usafiri na unaweza kuweka utaratibu maalumu wa malipo eg swap card technology kila abiria anapopanda gari yako anaswap kadi yake na account yake inakuwa credited ni investment inataka maandalizi ya kutosha lakini inalipa sana.Kwa mtindo huo hakuna mfanyakazi atataka kutumia usafiri binafsi kwenda ofisini wakati daladala za uhakika zipo,nauli inaweza ikawekwa fixed amount kama tshs 50,000/- kwa mwezi kwa kila kichwa kinachopata hiyo swap card cha msingi ni gari zako kuwa safi na za uhakika soko ni kubwa kuliko unavyoweza kufikiria mdau.
   
 6. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo wewe unaona usafiri wa daladala unatufaa? Usafiri wa daladala ni usafiri hatari kwa maisha ya binadamu awaye yeyote. Unachukuwa watu wachache wachache, madaladala yanaongoza kwa uvunjaji wa sheria za barabara, yanahatarisha usalama wa abiria, hygienically poor, you name it.

  Jiji la Dar linakua kwa kasi sana, lazima serikali ianzishe huduma ya mass transit. Meaning usafiri unaosafirisha wakaazi wengi kwa wakati mmoja, treni ni moja ya solution mkuu!

  FYI, miji yote mikubwa usafiri wa abiria lazima uwe subsidized ndugu yangu, and so serikali ni mdau namba moja kwenye hili, ili watumiaji washawishike kupata huduma nzuri kwa bei nafuu sana! Huduma ya treni ikianza, itapunguza movements za magari mengi sana and so less congestion! Wataanzisha pia na secure parking Ubungo, mtayaacha mgari yenu ubungo mwende na treni mjini. Wakianzisha huduma ya ferry toka ununio mpaka town ndo mambo mswaano kabisa!!

  Wewe kama ulikopa, peleka dala dala lako miji mingine ya TZ utapata leseni ufanye business kwa Dar pole sana!!! Tanzania ni kubwa mkuu si lazima dar, dar lazima ibadilike kukabiliana na ongezeko kubwa la wakaazi.
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mimi namshukuru sana Mwakyembe kwa kurudisha treni...tumechoka na tunanyanyaswa sana na waendesha madalala huku barabarani, wanaonaga kama wao ndio wenye haraka na barabara ni za kwao, tunapewa matusi fujo na kejeli. Naomba daladala zote zife zitoke barabarani tuweze kuendesha magari yetu kwa amani na pia itapunguza sana foleni. Hapo serikali nawapa BIG FIVE.
   
 8. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Wewe takwimu zako kwamba daladala hazisababishi foleni umezitoa wapi?
  Duniani kote Usafiri wa maana mijiini unamilikiwa na serikali.
  UK, USA kote ni serikali.
  Hii kucharge watu si suluhisho.

  Fedha za wizi na uharamia ndiyo chanzo cha vurugu za usafiri Dar.
  Unalaumu matokeo na kukiacha chanzo kinatamba!

   
 9. agatony8l

  agatony8l JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hakuna mambo tuliyokuw tunayasubiri kwa muda mrefu kama hili, huo usafiri unaoupigia chapuo wa daladala ndo unaosababisha foleni, kwa namna unavyoendeshwa. Daladala imekuwa si tena usafiri ule wa kutegemewa ili limesababishwa na wenye daladala kuwa na tamaa ya kupata fedha zaidi na kusababisha kero kubwa kwa abiria na ndio sababu watu wanajibana ili tu wamiliki kabajaji kakuwapeleka ofisini na mihangaiko yao ya kila siku.
   
 10. Mnyampaa Ebrahim

  Mnyampaa Ebrahim Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mwakyembe safi kwa kweli tumechoka na usafiri wa daladala usiozingatia haki za binadamu,foleni,mbanano,wezi wa mifukoni,matusi,kejeli na vitimbi,ubabe wa makonda.Big up Mh. Mwakywmbe!!!!!
   
 11. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,960
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Unastahili pole nyingi nyingi. Ila ni vizuri ukatambua kuwa mpango huu una manufaa kwa watu wengi zaidi kuliko hiyo faida unayopata wewe kwenye dala dala zako! Maslahi ya Uma ni muhimu kuliko maslahi binafsi bana.
   
 12. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Ona usafiri wa wenzetu wa Third world kama sisi huko Bogota Colombia.
  Tena wanatumia SCANIA kama sisi.
  Hawa Panya wetu watatufikisha wapi??
  Karne ya 21 tunasafiri kwa Panya????
  We are not serious.

  Napata taabu sana kuona watu waliopigana vita muda mrefu sana nchi ikachakaa kwa biashara ya madawa ya kulevya,
  leo wamepiga hatua kubwa namna hii?
  Sidhani wajinga ni viongozi wetu tu, sisi pia ni wavivu wa kufikiri pia vichwa vyetu vimejaa ujinga.
  Huu uoza wa kutetea uwepo wa vipanya ni kama donda ndugu.
  Mapanya wenyewe wengi ni wa viongozi wa serikali wanaotubia kila siku.

  https://www.google.com/search?q=transmilenio+bogota&hl=en&prmd=imvns&tbm=isch&tbo=u&source=univ&sa=X&ei=G5UbULX_FoKEjAKLuIDABg&ved=0CF4QsAQ&biw=1252&bih=609

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 13. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,388
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  miaka ya nyumba niliwahi kufanya benki kitengo cha mikopo. mteja akaja akasema anataka kupanua biashara yake ya kupeleka ngozi nje hivyo anahitaji kama mkopo wa milioni 70 nikamuhoji mengi ikiwa ni taratibu za afisa mikopo lakini jibu la swali moja ndo lina fanana na wewe. hizo ngozi unapeleka kampuni gani india.... akajibu ni siri kwa sababu watu watajua na wao watapeleka soko litasumbua ukawa mwisho wa usahili.

  sasa ndugu yangu hivi wewe unategemea kila siku waswahili wenzako waendelee kuumizwa na maisha kisa wewe unapata? naogopa kuandika nilichotamka kwenye akili yangu ila kwa lugha rahisi sana naweza kuzema think Big. nauli ya tweni kwenda kigoma haifiki 20,000 basi karibu 70,000 unategemea nini? acha ubinafsi anza kufikiria biashara nyingine

  kwanza biashara ya daladala ni biashara ya wavivu wasiopenda kujiongeza.
  wasiowezeka kutake risk kwenye biashara nyingine.
  (keep in mind that some people can be fool some time but not all the time)
  aliyekutuma mwambie hili wadanganyika wamestuka!
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu R.B,

  Pole sana naona Mwakyembe anataka kuwaondoa barabarani na mradi wake wa treni halafu mradi wa mabasi nao umeshika kasi Wajerumani hawataki mchezo.

  Sijui kwa maoni yako ulitaka ile reli ya kutoka Station mpaka Ubungo nani apewe sidhani kama hiyo reli ina uhusiano wowote na daladala zenu.

  Watu wanapata shida sana ya usafiri kutoka makazini watu wamechoka wanataka kurudi majumbani kupumzika daladala zenu za kugombania makondaka wenu matusi kibao wakati mwingine unaona gari lipo tupu wanakuambia atupakii...mkuu acha treni ije.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua shida za watanzania kuna watu wananeemeka!
  Mwake kaza buti walala hoi wa nchi hii wako nyuma yako ingawa unaimind JF
  So watu wanavyopanda kupitia madirishani na ukatishaji wa route mtu analipa nauli mara mbili kwa safari moja mnasikia raha wenye magari
   
 16. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  We should THINK Outside the BOX and not sink outside the box
  [​IMG]
   
 17. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
 18. m

  mharakati JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Parochial interests tunaita hizi.....
   
 19. m

  mharakati JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 1,275
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Parochial interests tunaita hizi.....huduma za usafiri mataifa mengi ni za serikali kupitia halmashauri zake, we unafikiri ukiruhusu mwekezaji mmoja (a monopoly) ndiyo unawafaidisha wananchi au tusithubutu hata kujaribu kitu kipya, tubaki hivi hivi ili wenye mikopo ya dala dala walipe na watz wengine waumie na productivity iendelee kushuka kwa sababu ya foleni zisizo na msingi.. bora ungekuja na utafiti unaonyesha kua hata treni haitapunguza foleni, siyo hizi sababu zako za kitoto.

  All your points are based on assumptions that nothing works in Tz today, so there's no need of even trying to implement some changes in our obvious failed transportation system this is what u imply ..this is the epitome of fatalism that Tanzanians have become famous for..
   
 20. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,876
  Likes Received: 2,823
  Trophy Points: 280
  Mkuu mimi nakubaliana naye. Kwa kweli kama ndo "uhamuzi" huo haijafanya vizuri lakini kama ni "Uamuzi" hapo niko upande wa Mwakyembe. Hiyo biashara yako ya daladala acha ikuozee!
   
Loading...