Tabora hakuna sumatra? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tabora hakuna sumatra?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MotoYaMbongo, Oct 27, 2012.

 1. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,858
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Leo nimekwenda kukata tiketi ya Tabora to Dodoma kwa basi la NBS, Nikaambiwa nauli ni flat rate uwe unashukia Singida, Dodoma, Manyoni ni 40,000/= eti kisa level seat, nimeshangaa sana, hivi huku Tabora SUMATRA hakuna? Na kama wapo wanafanya kazi gani? Au ndo kuwekwa mfukoni? Yani huku Tabora kila basi linapanga nauli yake. Sehem ya shs 7000/= unaambiwa 10,000/=, hutaki sepa. Yani wizi mtupu. Najua wapo wahusika wanaotembelea humu JF, ujumbe umefika. Next time natoa kwenye Gazeti.
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,036
  Likes Received: 3,068
  Trophy Points: 280
  hilo la kweli mdau make hawa jamaa wanatumia ujinga wa watu wa pale kuiba mchana kweupe ...
   
 3. SHOSHOLOZA

  SHOSHOLOZA Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sumatra watasema nini kwa waarabu wa tabora kwani huwa wanasema kabisa wamawaweka kwenye mifuko ya taiti za kike. Tulishazoea watu wa huku, maana hakuna pa kushitaki. Ruuuuushwaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...