Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

katalina

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
262
55
Jana ilikuwa sikukuu ya EID. Rais wetu wa Z'bar alikagua gwaride rasmi la Jeshi la Polisi kabla ya kuhutubia baraza la EID. Swali langu, hivi hufanya hivyo hata kwenye sikukuu za x-mas au pasaka? Au kwa vile rais ni islamu kapewa heshima hiyo na siku akiwepo rais mkristo nayeye atakuwa akikagua gwaride kama hilo kwenye sikukuu za x-mas na pasaka? Naambiwa pia rais wetu huteua KADHI.

Hata hivyo Nyerere katika moja ya hotuba zake amewahi kutamka kwamba nchi yetu haina dini lakini watu wake wana dini na kwamba aliwahi kusema maneno hayo mbele ya maaskofu DSM na kurudia maneno kama hoyo kwa mashehe Z'bar....

Wana JF hili limekaaje, mwenye elimu ndefu kwenye hili ebu atuelimishe.
 
Lol Sikukuu ya Eid imekuwa ya Kitaifa kumbe?
Na gwaride hilo ni rasmi kwa sikukuu hii au kulikuwa na jingine?
 
Navyojua Shein sio rais wetu, na mbali zaidi, si rais wa nchi (hakuna nchi inayoitwa Zanzibar kule UN)
 
Mkuu hata mie niliona jana ITV Dr. Shein akikagua gwaride na kupigiwa wimbo wa "taifa" huku akiwa amevaa kanzu na koti.. Cikuielewa.. But mambo mengi yanayotokea "zimbabwe" na Pemba huwa siyaelewi ciku hizi..
 
zanzibar ni nchi kwa mujibu wa katiba ya znz, shein kukagua gwaride ktk sikukuu ya idd ni utaratibu waliojiwekea wenyewe wa znz kwa kuwa 99%9 ni waislam.
 
Navyojua Shein sio rais wetu, na mbali zaidi, si rais wa nchi (hakuna nchi inayoitwa Zanzibar kule UN)

ZAMANI nilikuwa nadhani kwamba anayekagua gwaride la Majeshi ni AMIRI JESHI MKUU wa nchi tu peke yake au Mgeni wake na yeye akiwepo hapo pembeni!
 
Navyojua Shein sio rais wetu, na mbali zaidi, si rais wa nchi (hakuna nchi inayoitwa Zanzibar kule UN)

ZAMANI nilikuwa nadhani kwamba anayekagua gwaride la Majeshi ni AMIRI JESHI MKUU wa nchi tu peke yake au Mgeni wake na yeye akiwepo hapo pembeni! Na kwenye Sikukuu za KITAIFAA PEKEE na ukizingatia kwamba Serikali yetu HAINA DINI. Naomba wenye uelewa wanielimishe kwa hili maana nakiri wazi kwa hili mimi ni "MULUGO".
 
Siyo Gwaride tu wimbo wa Taifa la Zanzibar na mambo mengine mengi yanayostahili kupewa Raisi wa Nchi.:glasses-nerdy:
 
Utasikia wakitangaza eti Eid kitaifa itafanyikia msikiti fulani ulioko mkoa fulani.Mbona sijawahi
kusikia ibada X-mass kitaifa?
 
Jana ilikuwa sikukuu ya EID. Rais wetu wa Z'bar alikagua gwaride rasmi la Jeshi la Polisi kabla ya kuhutubia baraza la EID. Swali langu, hivi hufanya hivyo hata kwenye sikukuu za x-mas au pasaka? Au kwa vile rais ni islamu kapewa heshima hiyo na siku akiwepo rais mkristo nayeye atakuwa akikagua gwaride kama hilo kwenye sikukuu za x-mas na pasaka? Naambiwa pia rais wetu huteua KADHI.

Hata hivyo Nyerere katika moja ya hotuba zake amewahi kutamka kwamba nchi yetu haina dini lakini watu wake wana dini na kwamba aliwahi kusema maneno hayo mbele ya maaskofu DSM na kurudia maneno kama hoyo kwa mashehe Z'bar....

Wana JF hili limekaaje, mwenye elimu ndefu kwenye hili ebu atuelimishe.

wewe kweli mbayuwayu!!znz rais hawezi kuwa KAFIRI hata siku moja.
 
Back
Top Bottom