PICHA: Kampeni za udiwani za CCM - Kata ya Daraja mbili Arusha; cheki huo umati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA: Kampeni za udiwani za CCM - Kata ya Daraja mbili Arusha; cheki huo umati

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by MTENGETI, Oct 14, 2012.

 1. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Huu umati wa watu ! Yaani hamna hata haja ya kwenda kwenye vituo vya kura mnashinda kilainiiiiiii!!!!!!!!

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kidumu chama cha ...
   
 3. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Tunatezama wingi wa watu au wingi wa wapiga kura?mrema aliaibika kwa wingi wa watu 1995 kumbe walikuwa hawajajiandikisha kupiga kura mwisho wa cku aliangukia pua,so cha msingi tutezame wing wa watu waliojiandikisha kupiga kura au waliopo kwenye daftar la wapiga kura na mwisho wa cku wajitokeze cku ya kupiga kura na wapige kura kumchagua mgombea wamtakae hapo ndipo ushindi unapopatikana
   
 4. dhahabuinang'aa

  dhahabuinang'aa Senior Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  siasa zimebadilika we mpaka leo unaleta mifano ya kina mrema pandikizi la ccm!?
  soma alama za nyakati mkuu.
   
 5. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  CCM oyeeeeeeee:poa
   
 6. s

  sambamba Senior Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  reference za kina mrema iz invalid in todayz politics. CCM ishaelekea kibla tayari kuchinjwa
   
 7. K

  Kanundu JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 891
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh! Hii kali!!!!!!!!! Kwa hali hii Si Si Emu iliye tuuu!!!!!
   
 8. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kidumu chama cha magamba! Magamba hoyeeeeeeeee!
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  hivi unafananisha 1995 na 2012?
   
 10. C

  Concrete JF-Expert Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Ninachokiona hapo ni jukwaa la hotuba kwa mbali na turubai la viongozi likiwa limezungukwa na vijana wanachungulia kama kuna ubwabwa au wasanii pendwa wa bongo flavour.

  Pia ninamwona mwendesha baiskeli akiwa anakokota baiskeli yake pasipo kujua chochote kinachoendelea.

  Mwisho ninamwona mama na mwana wakiongozana na deli la ice cream na ndoo kwenda kufanya biashara katika fungu la watu waliokusanyika.
   
 11. C

  Concrete JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Nahisi huu ulikuwa ni mkutano wa ndani!!
  Maana sioni hadhara yoyote hapo.
   
 12. k

  kipimo JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 830
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  arusha nadhani ndo ccm wajipime juu ya kukubalika, na hayo matokeo ni taswira kwa nchi nzima iwapo uchaguzi utakuwa huru
   
 13. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,161
  Likes Received: 10,507
  Trophy Points: 280
  Mbona ni kama wale watu wanaotizama Mazingaombwe barabarani..?
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Hujui unachoongea kaa kimya
   
 15. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  CCM ni cha Upinzani kwa Arusha mjini.
   
 16. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Diamondi na marlow hawakuwepo kwani┬┐
   
 17. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Ni kweli si wote waendao kwenye mikutano ni wa mrengo wenu..kuna mambo mengi ya kwenye mikutano...si ishara ya ushindi kamwe.
   
 18. G

  Gangi Longa Senior Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  acha kujipa moyo kaka hata kama hawa waliohudhuria wamejiandikisha na 1/10 ya wanaohudhuria kampeni za CDM bado CCM itaangukia pua! endelea kujiliwaza tu....
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM ilishakufa ina hang by a thread tuu
   
 20. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Hii ni kata yangu na shaidi ni Mungi.
  Ccm wakishinda hapa mie najitoa jamii forum.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
Loading...