Kikwete aanza kukimbiwa

Status
Not open for further replies.

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Kuna News ya Uhakika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw.Majjid Mwanga kaachia kazi ya U DC na inasemakana atakayeshika hiyo nafasi ni DC wa Korogwe Bwana Mrisho Gambo...

U DC ni kazi ya kugombanishwa na watu kila siku na hii ni sababu ya mfumo wetu wa kulindana sana hadi mizizi imeota kwa kila idara ya serikali viongozi hawajali kitu hata wakizembea wanalindwa tu sasa hata akiwekwa kiongozi mtiifu naye ataonekana mbaya tu...

LE MUTUZ nenda kaombe nafasi ya upendeleo kwani mambo ya kuchaguliwa huyawezi
 
Siamini hii habari si kweli, kwani mkuu wa wilaya ana kazi gani mpaka mtu aachie pesa za bure,gari ya bure, nyumba ya bure na miposho ya bure?
 
nini Le Mutuz bana?!

kuna Cyprian Musiba Junia. ana njaa kali, na amerambwa mkono kwenye chaguzi za ccm, sasa anaweza kutokea huko kwa sababu alikuwa kwenye kambi ya mwana-mfalme.
Du JF safi, umenikumbusha kitu......huyu ni mtoto wa RIP Elvis Musiba? yule mtu wa TCRA?.....
 
Siamini hii habari si kweli, kwani mkuu wa wilaya ana kazi gani mpaka mtu aachie pesa za bure,gari ya bure, nyumba ya bure na miposho ya bure?

Inawezekana hakimbii technical party ya kazi, geographical environment wala uhaba wa financial benefits bali anamkimbia mwajiri na social costs za kazi hiyo.
 
Dr kikwete na mimi nipo hapa mkuu usinisahau hako ka post nitakuwa nakusifia kila siku endapo utanichagua ,naomba uni PM
 
Siamini hii habari si kweli, kwani mkuu wa wilaya ana kazi gani mpaka mtu aachie pesa za bure,gari ya bure, nyumba ya bure na miposho ya bure?

mbona mkuu wa wilaya ya mbozi alinawa mwaka jana? we utaweza kufanya kazi na mtu wa majungu kama JK?
 
Siamini hii habari si kweli, kwani mkuu wa wilaya ana kazi gani mpaka mtu aachie pesa za bure,gari ya bure, nyumba ya bure na miposho ya bure?

Mkuu sina uhakika pia.

Lakini tuendako ni kugumu sana raia wanafunguja na kuzijuwa haki zao.

Kuwabanabana na kuwanyima haki zao ilikukidhi matakwa ya chama tawala (CCM) inahitaji uwe dictator na kuwa dictotor

maana yake uhuai wako upo rehani- kwanini usiachie ngazi kama kuna mashaka? uhai hauna spare na kwanini uishi kwa mashaka.
 
Kuna News ya Uhakika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw.Majjid Mwanga kaachia kazi ya U DC na inasemakana atakayeshika hiyo nafasi ni DC wa Korogwe Bwana Mrisho Gambo...

U DC ni kazi ya kugombanishwa na watu kila siku na hii ni sababu ya mfumo wetu wa kulindana sana hadi mizizi imeota kwa kila idara ya serikali viongozi hawajali kitu hata wakizembea wanalindwa tu sasa hata akiwekwa kiongozi mtiifu naye ataonekana mbaya tu...

LE MUTUZ nenda kaombe nafasi ya upendeleo kwani mambo ya kuchaguliwa huyawezi

Bro kuwa makini na maneno yako..DC wa Lushoto kaenda HIJA na nafasi yake amekaim DC wa Korogwe:bange:..take it from me..hakuna mtu wa kuachia hii nafasi ya kupiga hela za bure kaka..
 
Kuna News ya Uhakika kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto Bw.Majjid Mwanga kaachia kazi ya U DC na inasemakana atakayeshika hiyo nafasi ni DC wa Korogwe Bwana Mrisho Gambo...

U DC ni kazi ya kugombanishwa na watu kila siku na hii ni sababu ya mfumo wetu wa kulindana sana hadi mizizi imeota kwa kila idara ya serikali viongozi hawajali kitu hata wakizembea wanalindwa tu sasa hata akiwekwa kiongozi mtiifu naye ataonekana mbaya tu...

LE MUTUZ nenda kaombe nafasi ya upendeleo kwani mambo ya kuchaguliwa huyawezi

Mbona habari yenyewe haina mshiko hii!
Sasa Kikwete anakimbiwa vipi hapa?

Kama anayejiuzulu ni mgonjwa je?
Mtoa mada hujaeleza ni vipi anayejiuzulu anamkimbia Kikwete, na zaidi ya hapo ulichokiandika ni mwazo yako ambayo hayana mantiki yaoyote na habari au kichwa cha habari.

Ugreti thinka kaaaazi kwel kwel!!!
 
Japo mimi sio maarfu sana ila nilisoma na riziwani.............kwa hiyo kikwete usinisahau kabisaaaa
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom