JK atakuwa Same-Kilimanjaro, wapare muombeni maji

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Ujio wa mweshimiwa Rais wa jamuhuri wa Tanzania wilayani same ni furaha kwangu, kwani wenyeji wa huku tutapata fursa ya kumuelezea matatizo yetu ikiwepo shida ya maji,,,, kwani mbunge wetu Matayo yuko bize sana na Uwaziri..... wapare na wanasame jitokezeni na kero zenu!?
NAPITA
 
Kimsingi hawezi kuwasaidia lolote anamiaka saba sasa haja wasaidia 2..anaweza kuwapa maji ni mungu na siyo J.k
 
Ujio wa mweshimiwa Rais wa jamuhuri wa Tanzania wilayani same ni furaha kwangu, kwani wenyeji wa huku tutapata fursa ya kumuelezea matatizo yetu ikiwepo shida ya maji,,,, kwani mbunge wetu Matayo yuko bize sana na Uwaziri..... wapare na wanasame jitokezeni na kero zenu!?
NAPITA

teh teh kwani kazi ya mbunge ni nn.hadi mkamweleze j.k.hata yeye hata weza kuwaletea hayo maji.
 
Ujio wa mweshimiwa Rais wa jamuhuri wa Tanzania wilayani same ni furaha kwangu, kwani wenyeji wa huku tutapata fursa ya kumuelezea matatizo yetu ikiwepo shida ya maji,,,, kwani mbunge wetu Matayo yuko bize sana na Uwaziri..... wapare na wanasame jitokezeni na kero zenu!?
NAPITA

Je? atafika jimbo la Anna Killango,kwani naye ni mpare.Nahisi anakuja kuwapoza wapare walio nyuma ya Anna Killango wasije hamia upinzani,kwani kila uchaguzi CCM huwa kunakuwa na mpasuko.
Kwa vile Anna Killango hajaongea chochote mpaka sasa kuhusu kushindwa kwake uchaguzi wa jumuia ya wanawake pale Dodoma,Presida hajui Killango ana mpango gani baada ya matokeo ya dodoma.!!!
 
Yaani bado mpaka leo hujajua jamaa ni msanii? mtaendelea kuwa masikini maisha yenu yooote kwa kumkumbatia huyo jamaa na chama chake cha mafisadi
 
Je? atafika jimbo la Anna Killango,kwani naye ni mpare.Nahisi anakuja kuwapoza wapare walio nyuma ya Anna Killango wasije hamia upinzani,kwani kila uchaguzi CCM huwa kunakuwa na mpasuko.
Kwa vile Anna Killango hajaongea chochote mpaka sasa kuhusu kushindwa kwake uchaguzi wa jumuia ya wanawake pale Dodoma,Presida hajui Killango ana mpango gani baada ya matokeo ya dodoma.!!!

Huko ndiko anako elekea,,, anaenda zindua kiwanda cha tangawizi.
 
Nimeishi Same Miaka sita mpaka sasa shida ya maji haijakwisha, ccm inatumia ujinga wao kama mtaji wa kisiasa na kuendelea kuwatawala na kuwa ngome yao, huku ikishindwa kuwatatulia shida ya maji ambayo ndio tatizo kubwa linaloikabili wilaya hiyo.
wakati wa kampeni ccm inawapa wanchi pilau na soda halafu inawaomba kura, na wapare walivyoimiss nyama maana wamezoea kula ugali na picha ya samaki, kesho yake kura zote kwa ccm.

Kamwe kikwete hatoweza kuwasaidia chochote zaidi ya kutoa ahadi tu kama kawaida yake.

Hii wilaya inahitaji M4C ije kuwakomboa kifikra kwa kuwaelimisha juu ya umuhimu wa kuleta mabadiliko ya kweli katika taifa hili.
 
Tangulia Kikwete ukale makande na wapare. Nenda wakukirimie macho badala ya kuogopa utawafilisi. Nenda ukaonje adha yao na ubahili wao. Nenda Kikwete uone upuuzi wa akina Maghembe. Tangulia ukaone hata kwa Said Mwema kivyele chako nenda nenda nenda tangulia nenda mwana kwenda nenda nenda nenda.
 
...wapare tarajieni ahadi nyingine nyingi kutoka kwa mgeni wenu mweheshiwa saaana mr dhaifu..."1.serekali sikivu ya CCM itawajengea uwanja wa ndege mkubwa wa kimatifa na wakisasa kusuni mwa jangwa la sahara,2.nitawaleteni meli kubwa ya kisasa kama Taitaniki,3.barabara za juu kwa juu kutoka Moshi,Arusha mpaka Same,4.kabla sijaondaka madarakani nitaufanya mji wa Same uwe kama Dubai"...
 
Ujio wa mweshimiwa Rais wa jamuhuri wa Tanzania wilayani same ni furaha kwangu, kwani wenyeji wa huku tutapata fursa ya kumuelezea matatizo yetu ikiwepo shida ya maji,,,, kwani mbunge wetu Matayo yuko bize sana na Uwaziri..... wapare na wanasame jitokezeni na kero zenu!?
NAPITA

Ameamua kunfuata Anna Kilango ampooze kidogo kwa machungu ya uchaguzi wa UWT na yaliyojilia kwamba asife moyo.
 
ahad za maji same hazitekelezek miaka nenda rudi tokea tukiwa msingi hadi leo tuko makazin ahad ni zilezile
 
atajumlisha kwenye fungu la ahadi zake
Ndugu yangu usitie kejeli.kuna kazi inafanyika chini kwa chini na naamini wameamua kuikwepa publicity mpaka karibu na uchaguzi. Katika kijiji cha Mwembe ambapo kuna shida kubwa ya maji tayari mradi unaofadhiliwa na WB umeshaanza. Ukienda wilaya kama Handeni barabara ya lami Mkata mpaka Chanika tayari.Barabara ya kutoka Chanika mpaka Korogwe itamalizika kabla ya 2014. Vijiji ambavyo vimepata umeme ni zaidi ya kumi katika miaka hii mitatu. Kwa ufupi ni kuwa kuna kazi inafanyika na uwezekano mkubwa ni kuwa CHANGAMOTO za upinzani zimesaidia sana na pia hofu ya kuwa kuondolewa madarakani inafanya kazi.
 
Back
Top Bottom