WORKING PERMIT/Foreigners | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WORKING PERMIT/Foreigners

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by patricia Kichao, Oct 27, 2012.

 1. patricia Kichao

  patricia Kichao Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mimi nataka nijue sheria inasemaje kuhusu makampuni kuajiri foreigners.

  Kama jana tumepata habari kampuni ya Sanctuary lodges (iko chini ya Abercombie & kent) kule Swala Camp manager ambaye ni Kaburu kumpiga mfanyakazi hadi kuzirai. Wafanyakazi wote wamegoma kufanya kazi.

  Je, serekali uwa inaangalia sheria za kuajiri wafanyakazi. na huoni kama huyu kaburu ana jiamini sana mpaka kumpiga mtanzania hadi kuzirai? inamaana sheria iko chini yake. Bila uwoga na anajua kabisa yuko nchi ya watu. huyu jamaa anafaa apewe 24hrs to get out of our country. unakuta kampuni moja inaajiri foreigners zaidi ya 20. Kazi hizo hizo wabongo wanaweza kufanya. Na wanaotoa permits ni immigration wanakiuka kbisa sheria.

  Hii nchi imenichosha jamani, sheria iko wapi? kama ni hivo basi wasitunge sheria kwasababu wanazitunga na wao wao hazitendei haki ndio maana tuanka chama kingine kiingie ikulu tuone mabadiliko.

  Watanzania tusiogope kujaribu, makampuni mengi sana hapa Arusha ya kitallii wanaajiri wazungu. Je hakuna watanzania wao weza kufanya hizo kazi? Na sheria inasemaje kuhusu kuajili foreigners? lazima kuna limit no ya kuwaajili? Kazi ya camp manager supervision kweli watanzania hawaiwezi kweli????
   
 2. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hebu tulia kwanza halafu ipange vizuri mada yako. Una point ila umekurupuka mno kwa hasira
   
 3. J

  Jadi JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,403
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  ina maana hao staff wengine wamesahau bongo huwa tunamchangia anayempiga mwenzetu,hawakukulia uswazi?yaan anapigwa na wameangalia tu halafu wanagoma,yaani ilikuwa kupiga kiberiti ofisi ya kaburu akiwa ndani.
   
 4. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,743
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Hawakuwa na kitu kizito karibu? hapo ndio nimechoka kabisa ilikuwaje anachiwa ampige mwenenu mpaka azimie ninyi mnatazama tu?
   
 5. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,876
  Likes Received: 2,824
  Trophy Points: 280
  Wa-TZ sijui tuna mtindio wa ubongo?

  Yaani mwenzenu anapigwa na mgeni nyie mnaangalia tu mkisubiri kugoma? Nyamb...ff!! Nimepandwa na hasira kwa ajili ya haya matilatila!! Nakumbuka shuleni tu mwanadarasa mwenzenu akipigwa na wa darasa jingine mnajipanga kumchangia sembuse na Mzungu!! Tumb..ff kabisa hawa jamaa!!
   
 6. josefast

  josefast JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  mtoa mada na wenzako waliogoma ni majuha kweli, Mtanzania anapigwaje na kaburu nyie mnaangalia? Pumbavu zenu
   
 7. M

  MC JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Hakuna watu wapumbavu kama watu wanaohusika na uingiaji wa wageni na foreingers employment in Tanzania, I mean it, come what may. Jamaa yangu amekataliwa kazi Kenya, wakati yuko very competent, naongelea kitu ambacho nina uhakika nacho.

  Serikali chini ya CCM hamna kitu kabisa, Ukitaka kuamini angalia ilivyo vigumu kwa Mtanzania kwenda nje ya nchi either kufanya kazi au kutembea, lakini kwa wageni kuingia TZ, ........ Shamba la bibi...
   
 8. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mimi naona umefika wakati muafaka wa kuwa na thread maalum kwa ajili ya kuanika unyanyasaji na ukiukwaji wa taratibu za ajira katika kampuni za wanaojiita wawekezaji. Hii itaonesha taswira ya wawekezaji na sheria zetu zinavyowalinda au nani anawakingia kifua. Wasitupeleke mahali ambapo tutafanya maamuzi ambayo yatapelekea uvunjifu wa amani kwani wataumia waliokuwemo na wasiokuwemo.
   
 9. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kupiga wafanyakazi sio makaburu pekee yao..hata wabongo wengi tu mabosi hua wanawachapa wafanyakazi wao...inabidi kue na hivi kama employment tribunal ya kusuluhisha au kushtaki kwa wafanyakazi wanaoonewa
   
 10. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  naona kama umetoa cheo, sioni kama kuna tatizo kwa wageni kuweka watu wao kwenye management sehemu walizo wekeza.

  Tatizo liko kwenye BLUE , regardless ya yeye ni mtu wa rangi gani hilo ni kosa?
  sheria husika zinapashwa kuchukuliwa, lakini ili sheria zifanye kazi lazima wafanyakazi muwe na umoja, serikali au polisi hawawezi KUOTA tu kwamba kuna watanzania wanachapwa makonde mpaka kuzimia kama nyie mnakaa kimya, mkichapwa makonde semeni/shitakini kwa polisi, ikiwezekana kusanyeni na ushahidi, maana msije kuwa mmezidiwa nguvu na jamaa wakati mlipojaribu kumchapa akawachapa ninyi,
  Lazima kuwe na haki pande zote,
   
 11. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  safi sana you said it wall, Tatizo hapa ni Watanzania kuchapa makonde na mabosi wao kisha kukaa kimya, Nadhani ni kwa sababu tunadharau TRADE UNIONS kama wafanyakazi wakisimamia TRADE UNION zao na kuhakikisha wana katiba na viongozi imara basi manyanyaso yatapungua.
  Na kwa kuanzia ingekuwa ni kanuni kabisa kwenye hizi TRADE UNION kumlipia LAWYER, MFANYAKAZI aliyenyanyaswa kazi na hakafungua KESI, wangeweka terms and conditions ya kesi ambazo wangelipia kwa kila mfanyakazi, pia Trade Union zingeshinikiza Serikali kutunga kanuni yakwamba atakayeshindwa kesi analipia gharama zote za kesi husika
   
 12. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nafikiri kuna haja ya ku-review hizi Work Permit kwa wageni, lasivyo tutazidi kunyanyasika katika nchi yetu. Lakini ipo siku Watanzania watachoshwa na huu ujinga wa hawa Wageni na kuanza kuwatafuta na kuwapiga kama wanavyofanya kule South Africa. Ipo siku, huu ujinga tutaokomesha kama Serikali inashindwa kuukomesha, Hatuto vumulia kuona hawa wanaoitwa na serikali wawekezaji kutupigia ndugu zetu.
   
Loading...