PICHA:CHADEMA vs CCM - kwenye hitimisho la kampeni za udiwani kata ya Daraja II | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA:CHADEMA vs CCM - kwenye hitimisho la kampeni za udiwani kata ya Daraja II

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mungi, Oct 27, 2012.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkutano wa kampeni za uchaguzi zimehitimishwa leo katika kata ya daraja mbili.
  Kwa upande wa chadema mkutano ulihudhuriwa na viongozi Godbless Lema (kiboko ya magamba), Katibu wa mkoa Amani Golugwa, mwenyekiti wa wilaya Ephata Nanyaro, katibu wa wilaya Martin Sarungi na viongozi wengine waandamizi wa chama mkoa na wilaya ya Arusha.

  Kwa upande wa ccm mkutano ulihudhuriwa na Stephen Wassira, mgeni rasmi Ole Sendeka, Marry Chatanda, mwenyekiti na katibu wa mkoa na wilaya ya Arusha.

  Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents.

  Picha:
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. sifongo

  sifongo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 4,593
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri kwa hamu hayo mapicha mkuu.....ubarikiwe
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ccm lazima 90% wamevalia sare na wengi wao wamesombwa na malari kutoka hukoo
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Yap mkao wa kula!!
  .
   
 5. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa halmashauri yangu ya moyoni mwangu, na kwa mujibu wa wana-Daraja mbili HAKIKA diwani ni kutoka CHADEMA.
   
 6. g

  gagonza JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 309
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  je kulikuwa na usalama kwenye hitimisho hilo?
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu umepitwa na buku kumi leo watu tumewezeshwa hahaaaa! Ama kweli tunakula za wajinga
   
 8. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  picha wapi????
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Usalama ulikuwepo japo nilishtukiwa wakati nachukua picha za ccm, bahati nzuri niliwaona marafiki zangu waliokuwa wamebebwa kwa ujira wa buku kumi waliponiona tukachangamkiana green guard nikawapotezea kihivyo. In fact Mkuu wa gombe alijionea jinsi ccm ilivyoteketea Arusha. Atajuta kuwa mlezi wa ccm Arusha
   
 10. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  picha tunasubiria
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wakumbuke kulinda kura zao maana magamba ni mabingwa wa uchakachuaji.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Mkuu picha ntaweka muda si mrefu.
  Kwa sasa tupo kwenye logistics kwa ajili ya uchaguzi wa kesho
   
 13. S

  Soki JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu amesema atatupia akifika home!!
   
 14. S

  Soki JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ikiwa hata wao wameona kwamba kwa njia ya haki hawawezi kushinda basi lazima kujua watajaribu kila jinsi kuiba, so take care. Bila shaka mmejianda vema hapo kudhibiti mbinu zao chafu.
   
 15. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Habari ya upande mmoja wa shilingi. khaaa......
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  kaka nakuwekea mapicha baadaye kidogo halafu useme mwenyewe
   
 17. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #17
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  safi sana,,ni habari njema sana hii.......
   
 18. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #18
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Tunataka taarifa toka kwa mtu asiyeegamia upande wowote sio wewe mungi pro-lema, au kwa lugha nyepesi independent observer
   
 19. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #19
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mkuu yaelekea hom kwako ni mbali sana, au umepitia sehemu unapata trupa kidogo.
   
 20. D

  Diga Diga Senior Member

  #20
  Oct 27, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wee Gamba, si kesharipoti hali ilivyokuwa katika mikutano yote miwili, au unajifanya hujaelewa? Okey, ni hivi:
  "Mkutano wa chadema watu walifurika sana, ambapo kwa ccm pamoja na kuwabeba watu kutoka maeneo mbalimbali kwa ujira wa elfu kumi kumi, watu walikuwa wachache sana, sana sana watu waliweza kuenea kwenye viti vilivyoandaliwa kwenye tents". Kama hizi habari bado unaona ni za upande mmoja basi na wewe post za upande huo mwingine tuzione! Gamba bwana? Likishakomaa hata macho hayaoni achilia mbali akili kusimama ghafla kama mgonjwa wa brain concussion!
   
Loading...