Kipi kinawezekana zaidi kwa CHADEMA mwaka 2015?

wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,681
588
Ndugu zangu kila mmoja wetu hasa mtanzania anajua hali ya nchi kisiasa pamoja na maisha duni ya wananchi kwa sasa. Kwa upande wangu ninaona ili kuondokana na haya matatizo ni kuhakikkisha cdm inapata nguvu zaida kutoka kwetu! Sasa basi ni hivi:

CDM ikipata wabunge zaida ya nusu ya wabunge wote lengo la kuwakomboa wananchi litakuwa it is a matter of days! Ila kama kuingia ikulu bila kuwa na wabunge wa kutosha nafikiri hapa kutatakiwa nguvu ya ziada zaidi!

Kama kupata yote basi ni sawa

Na kama itatokea kupata mojawapo je wana jf mnaona ni lipi kati ya hayo mawili ni bora?


Wabuyaga
 
aiseeeeeeee babaangu cdm inachukuwa ncha 2015 chakwanza ni kutaifisha mali za mafisadi cha pili ni nikuhakikisha shule zinakuwa na walimu wa kutosha madawati,vitabu cha 3 sekta ya afya itiliwe umuhimu,4 miundominu na cha 5 ni maswala ya kilimu
 
...ukiwa na dhamira ya kweli hakuna kinachoshindikana...tumedhamilia kulikomboa taifa kutoka mikononi mwa mafisadi,tunasonga mbele na hakuna cha-kuturudisha nyuma...
 
chadema wanachotakiwa kufanya sasa hivi ni kuwa na timu ya kudeal na hila za ccm na cuf kwa maaana ya kitengo cha usalama wa chama chenye nguvu si cha yule mzee tuliyekuwa wote hapa CUF pili wahakikishe wanakuwa na timu ya kuandaa mipango ya nini malengo yao katika kukomboa nchi wasiwe wote wanaelekea kuliko na mikutano mpaka wataalam no wengine wabaki kama watendaji nchi mbona watachukua tu
 
Back
Top Bottom