Wazanzibari wanaona kwao ni master bedroom na Tanganyika ni chooni wanaingia na kutoka wanavyotaka

ambagae

JF-Expert Member
Mar 2, 2009
3,241
1,301
Hawa wazanzibari wameona huku kwetu Tanganyika ni chooni ambapo wanaweza kuingia na kutoka lakini kwao huko ni master bedroom haingii Kila mtu. Sasa mimi najiuliza wabara wangapi wako huko na wazenji wangapi wako bara. Kila mtu akiambiwa kurejea kwao nani upande gani utakuwa umepoteza zaidi.
 
Sumu ya panya...dawa ya mende....kunguni....viroboto....utitiri....dawa ya m-ba....meno....fangasi na nyenginezo!!!
 
Hawa wazanzibari wameona huku kwetu Tanganyika ni chooni ambapo wanaweza kuingia na kutoka lakini kwao huko ni master bedroom haingii Kila mtu. Sasa mimi najiuliza wabara wangapi wako huko na wazenji wangapi wako bara. Kila mtu akiambiwa kurejea kwao nani upande gani utakuwa umepoteza zaidi.

kabla yamuungano zanzibar ilikuwa juu kuliko nchi zote za afrika mashariki kwa vile mzanaki na baba wa kitanganyika ameliona hilo ameunganisha muungano na kuzifsha nyaraka za muungano.wazanzibar wote wabara na visiwani,masikini na tajiri,mweupe na mweusi hawautaki muungano kwasababu ni muungano huo huo ndo ulo wafanya wapemba kuhama kwao na kwenda tanganyika baada ya zanzibar kuachwa masikini na muungano feki.mwisho nasema tunahitaji zanzibar huru hatuutaki muungano
 
kwa hiyo wabara wawaache mupumuwe???
 
Back
Top Bottom