Maji Marefu awataka wananchi wasiwape ridhaa wapinzani!

Mboko

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
1,095
293
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani amehoji uadilifu wa viongozi wa vyama vya upinzani akisema, bado wananchi hawapaswi kuwapatia ridhaa ya kuongoza kwa madai kuwa hawataweza kuwa waaminifu katika kulinda rasilimali za umma.

Alisema wagombea wa CCM mara baada ya kushinda nafasi hizo wanapoingia madarakani bado wanaendelea kuwa na usimamizi imara chini ya chama chao alichokieleza kuwa na sera ambazo zinatekelezeka.

Kutokana na hali hiyo, Maji Marefu alisema kwamba muda wa kuwapa wapinzani ridhaa ya kuwaongoza wananchi bado haujafika kwa vile nafsi zao hazijatosheka.

Hhhaaa Magmba bana,lakini tatizo ni wananchi iweje wampe huyu mchawi ubunge hahhahaha Cousin wangu walisafiri kwenda Korogwe kwa jimbo la huyu Mganga wa kienyeji yani gari lao lilizama mpaka basi then walimuona yule Mganga wa kienyeji huyu kapita fasta watu wako Mbunge huyoooo so Cousin wangu kasema Lol tuliteseka sana na hawa ndugu zetu ni mataahira sana iweje wampe kura huyu mganga wa kienyeji ngoja nicheke mie
 
hebu eleweka basi na wewe? dah si bora hata huyo profesa maji marefu? uzi gani huo haueleweki kichwa ama miguu??
 
hapo ni kiswahili, ingekuwa lugha ya "Mulugo" ingekuwaje? Jaribu kuhariri habari yako tafadhali!
 
tanzania inatakiwa kuingia kwenye Guiness book of records,
(1) kufahaulisha mwanafunzi asiyejua kusoma na kuandika
(2) kubadilisha jina la rushwa kuwa takrima
(3) Kuchagua mganga wa kienyeji a.k.a mchawi kuwa mbunge
(4) wananchi wake kuwa mafukara huku wamekalia rasilimali lukuki
(5) wajawazito kulala hospitali wawili wawili yaani mzungu wa nne
(6) wanafunzi kukaa chini katika karne ya 21, n.k
 
Hivi unategemea kitatoka kitu gani kwenye kinywa cha mtu ambaye mara baada ya kumaliza darasa la saba, muda wake wote aliwekeza kwenye upigaji ramri na kafara? Anyway ndio Tanzania yetu hiyo tena, kila kitu kinawezekana tu!

Lakini pia nalazimika kutokua na imani na hayo maneno kama kweli yanatoka ndani ya moyo wake, kumbukumbu zangu zinaonesha, wakati wa kampeni za ubunge wa kule Arumeru zilizomuweka ndogo janja madarakani, huyu bwana alitumwa kwa kazi moja tu ya Kuroga, alipoona uchawi wake unaelekea kushindwa, yeye na yule masai Ole Sendeka walionesha nia ya kumchangia dogo Tsh 500,000/= na walimthibitishia dogo kwamba yeye tayari ni Mbunge bado kuapishwa tu, hii ni kwa mujibu wa gazeti moja enzi hizo, uzi huu, hata humu jamvini pia ulibandikwa, kwa tabia hiyo inaonesha magamba wengi huwa wanazungumza vitu wasivyo viamini wawapo majukwaani!
 
MBUNGE wa Jimbo la Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani amehoji uadilifu wa viongozi wa vyama vya upinzani akisema, bado wananchi hawapaswi kuwapatia ridhaa ya kuongoza kwa madai kuwa hawataweza kuwa waaminifu katika kulinda rasilimali za umma.

Alisema wagombea wa CCM mara baada ya kushinda nafasi hizo wanapoingia madarakani bado wanaendelea kuwa na usimamizi imara chini ya chama chao alichokieleza kuwa na sera ambazo zinatekelezeka.

Kutokana na hali hiyo, Maji Marefu alisema kwamba muda wa kuwapa wapinzani ridhaa ya kuwaongoza wananchi bado haujafika kwa vile nafsi zao hazijatosheka.

Hhhaaa Magmba bana,lakini tatizo ni wananchi iweje wampe huyu mchawi ubunge hahhahaha Cousin wangu walisafiri kwenda Korogwe kwa jimbo la huyu Mganga wa kienyeji yani gari lao lilizama mpaka basi then walimuona yule Mganga wa kienyeji huyu kapita fasta watu wako Mbunge huyoooo so Cousin wangu kasema Lol tuliteseka sana na hawa ndugu zetu ni mataahira sana iweje wampe kura huyu mganga wa kienyeji ngoja nicheke mie

Ile sheria ya mbunge awe na degree ilishapitishwa?
Nadhani itakuwa mwisho wa kusikia upuuzi.
Na kuongozwa na mashetani.
 
Mchawi kapewa nafasi ya kuongoza umma? Mna tegemea mtapata baraka toka kwa mungu?....muumini washetani tangu lini aongoze watu wa mungu?...kweli tumemuacha mungu acha tuangamie
 
Naskia kigezo kikubwa kilichotumika kumpa kura huyu jamaa ni tukio lake la mwaka 2009 alilofanya huko. Naskia alikuja na treni yake (walioshuhudia wanasema ilikuwa na urefu takriban viwanja viwili vya mpira) akaipaki ndani ya gheto kama hii hapa chini, akapiga shuhuli iliyomleta, akasepa zake. Hapo ndo alipojichukulia kura za vilaza.

mudhut.jpg
 
[ QUOTE=Mboko;4909583]MBUNGE wa Jimbo la Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani amehoji uadilifu wa viongozi wa vyama vya upinzani akisema, bado wananchi hawapaswi kuwapatia ridhaa ya kuongoza kwa madai kuwa hawataweza kuwa waaminifu katika kulinda rasilimali za umma.

Alisema wagombea wa CCM mara baada ya kushinda nafasi hizo wanapoingia madarakani bado wanaendelea kuwa na usimamizi imara chini ya chama chao alichokieleza kuwa na sera ambazo zinatekelezeka.

Kutokana na hali hiyo, Maji Marefu alisema kwamba muda wa kuwapa wapinzani ridhaa ya kuwaongoza wananchi bado haujafika kwa vile nafsi zao hazijatosheka.

Hhhaaa Magmba bana,lakini tatizo ni wananchi iweje wampe huyu mchawi ubunge hahhahaha Cousin wangu walisafiri kwenda Korogwe kwa jimbo la huyu Mganga wa kienyeji yani gari lao lilizama mpaka basi then walimuona yule Mganga wa kienyeji huyu kapita fasta watu wako Mbunge huyoooo so Cousin wangu kasema Lol tuliteseka sana na hawa ndugu zetu ni mataahira sana iweje wampe kura huyu mganga wa kienyeji ngoja nicheke mie[/QUOTE]
MODDS MLINIPIGA BANN WACHA NI MCHANE MBUNGE MAGAMBA,HIVI TWIGA KAUZA NANI KMA SIO MGAMBA?PEMBE ZA NDOVU ZILIZOKAMATWA HONG KONG? NI NANI KMA SIO MAGAMBA? MIKATABA HOVYO YA MADINI NANI KAMA SIO MAGAMB?HIVI HUYU NAYE NI MBUNGE? WABUNGE WAKO CHADEMA,MBUNGE MMOJA NI SAWA NA WABUNGE 50 WA MAGAMBA.HII NI FAIDA YA KUINGIZA MASANGOMA BUNGENI NA WATU WASIO NA ELIMU YA KUTOSHA ANAFIKIRI TWIGA NA MADINI SIO ASILIMALI.SHAME ON YOU GAMBA MP.
 
Hii ndiyo hasara ya kuongozwa na walozi, embu angalia fikra za kishirikina kama hizi. Yeye arudi kwenye kuimba madogoli pamoja na kugawa tunguri. Hiyo ndiyo taaluma yake na wala sio uongozi.
 
Kama alishindwa kudhibiti magonjwa hadi akapelekwa karakana India ndio ataweza kuzuia kimbunga cha cdm?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom