Kuelekea uchaguzi wa kesho CCM imenunua pombe kwenye vilabu vyote-makete

Skillionare

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
1,190
523
Wanajamii huku makete thamani ya kura imekuwa pombe za kienyeji baada ccm kununua pombe zote za kienyeji kwenye vilabu ,wanavijiji huku wametoka majumbani kunywa pombe za kienyeji kwenye vilabu na baadhi ya vijiwe watu wa ccm wanatoa ndoo za ulanzi kama rushwa kuwashawishi kesho waipigie kura ccm! takukuru njombe/iringa msiseme hamna taarifa
 
Mtaji mkubwa wa CCM ni umaskini wa Watanzania ndo maana CCM haiwezi kufanya juhudi za kuwaondoa kwenye umasikini.
 
Hata Arumeru Mashariki CCM walifanya kama haya na wakaangukia pua.
Issue ni wananchi kuwa na uelewa na msimamo basi.
 
Wanajamii huku makete thamani ya kura imekuwa pombe za kienyeji baada ccm kununua pombe zote za kienyeji kwenye vilabu ,wanavijiji huku wametoka majumbani kunywa pombe za kienyeji kwenye vilabu na baadhi ya vijiwe watu wa ccm wanatoa ndoo za ulanzi kama rushwa kuwashawishi kesho waipigie kura ccm! takukuru njombe/iringa msiseme hamna taarifa

Wengine hatuna UWEZO wa KUSIKILIZA Radio na TV za Tanzania SIO International

Sasa huko MAKETE ni UCHAGUZI wa NINI???? Tusaidieni Wajameni!!!
 
tatizo nyie huko mmelala, walivyokuja arumeru wakagawa hela chakula na pombe wameru wakachukua hela wakala wakanywa na bado kura wakampigia nasari...kueni na akili hela chukueni pombe kunyweni lakini ikifika kwenye ile karatasi wapigeni chini...mwaka huu 2012 bado mnadanganywa na pombe za kienyeji? aisee
 
Hata Arumeru Mashariki CCM walifanya kama haya na wakaangukia pua.
Issue ni wananchi kuwa na uelewa na msimamo basi.

mkuu wananchi wa makete siyo sawa na watu wa arusha. Huko watu hawaelewi hata haki zao. Kuna sehemu moja tu matamba ndiko wananchi wanatambua mabadiliko kwani kuna vijiji kadhaa viko cdm
 
Wanajamii huku makete thamani ya kura imekuwa pombe za kienyeji baada ccm kununua pombe zote za kienyeji kwenye vilabu ,wanavijiji huku wametoka majumbani kunywa pombe za kienyeji kwenye vilabu na baadhi ya vijiwe watu wa ccm wanatoa ndoo za ulanzi kama rushwa kuwashawishi kesho waipigie kura ccm! takukuru njombe/iringa msiseme hamna taarifa
Una uhakika na unachoongea au unataka kutuabisha? Kwa taarifa yako tupo makini kuliko unavyo unavyofikiri. Ccm hawana chao hapa. zama za kununuliwa sio hizi.
 
mkuu wananchi wa makete siyo sawa na watu wa arusha. Huko watu hawaelewi hata haki zao. Kuna sehemu moja tu matamba ndiko wananchi wanatambua mabadiliko kwani kuna vijiji kadhaa viko cdm
Nyalotsi mapembelo bwana.
 
Hata kwetu tunanunua pombe msibani.safi hiyo maombolezo ndio yanakolea.R.I.P Hayati CCM.
 
Back
Top Bottom