Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Arusha Mambo itaendelea kukuletea vipindi vya Bunge kwa Njia ya Sauti hadi vitakapomalizika. ILI kusikiliza bonyeza hapa Arusha Mambo FM - Arusha - Listen Online
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Posted: 29 Oct 2012 05:35 AM PDT Awali ya yote niwatikie nyinyi wanahabari kheri ya sikukuu na kupitia kwenu nifikishe salamu kwa ndugu zetu waislam na watanzania wote katika kuadhimisha Iddi...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
The Life of Iranian President Ahmedinejad I am sending this exclusively to you with a personal request to forward this to all/any of the politicians however their ranks be at the...
21 Reactions
125 Replies
12K Views
Siku moja baada ya Jeshi la Polisi kutoa taarifa ya awali ya uchunguzi wa mauaji ya kifo cha aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Liberatus Barlow, ujumbe mfupi wa simu ya mkononi kwa ajili...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
A SAFARI ZA TRENI JIJINI DAR ES SALAAM, DR. MWAKYEMBE AFANYA UZINDUZI HUO TAZAMA PICHA 19 ZA UZINDUZI WA SAFARI ZA TRENI JIJINI DAR ES SALAAM, DR. MWAKYEMBE AFANYA UZINDUZI HUO...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wanajamvi mambo yameanza kuwa moto uchaguzi wa wazazi Dom na waya zilizopatikana zinasema mgombea nafasi ya mwenyekiti taifa, Abdalla Bulembo amekurupushwa na maofisa wa TAKUKURU akijiandaa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
UKWELI KUHUSU UTEKWAJI WA SHEIKH FARID - ZIMEPATIKANA KUTOKA KWA MNENE MMOJA SERIKALINI Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Tanzania tumekuwa na utitiri wa TUME zinazoundwa kuchunguza mambo mbalimbali lakini majibu ya TUME hizo hayawekwi hadharani. Tume inpoundwa inatangzwa na pia muda wa uchunguzi unawekwa wazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu. Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda...
6 Reactions
267 Replies
19K Views
Wakuu, Nimepata hii taarifa muda si mrefu, nawashirikisha.
3 Reactions
113 Replies
24K Views
Wanabodi Heshima Mbele Inawezekana kwa haraka ukajua ni gossip lakini ni kweli bila chembe ya shaka. Jana tarehe 29/10/2012 Rais Jakaya Mrisho Kikwete alifanya ziara ya kuweka jiwe la Msingi la...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamii naomba kuleta hoja maana hizi mbio za nchi za magharibi kutoa mikopo kwa Tanzania inanitisha. Kufafanua zaidi tukumbuke mwaka 2008 kulipotokea matatizo ya uchumi duniani sababu kuu...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
ukifatilia kwa makini kabisa utagundua Kuwa Tanzania ndio nchi pekee ulimwenguni inayosifika kuwa na viongozi ktk eneo nyeti(Serikali) ambao ni majuha kuanzia top hadi bottom. hebu imagine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Membe jana ametembelea mpaka wa Tanzania na Malawi eneo la Kasumulu na kupata maelezo ya wazee waliozaliwa maeneo ya ziwa hilo wakiwamo waliozaliwa katika eneo ambalo sasa limeshamezwa na maji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
POLISI katika mji mdogo wa Himo, mkoani Kilimanjaro, wamefanikiwa kulikamata gari aina ya Toyota Noah, linalomikiwa na askari mmoja wa polisi likiwa na shehena ya pembe za ndovu. :flypig:
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukweli husemwa: Tanzania imeingia miaka ishirini (20) toka mageuzi makubwa ya kisiasa yalipoanziswa. Tumeshuhudia kufanyika chaguzi kuu tatu zikiambatana na chaguzi ndogo nyingi mbalimbali, na...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Habar wanaJF! Napenda kutoa maoni yangu haya kwa faida ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), ni ukweli kwamba baraza la vijana (BAVICHA) limeshindwa kufanya vizuri kuwainfluence...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu. Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Toa maoni yako juu ya katiba mpya kupitia mtandaoni kwa kubonyeza hapa: http://www.katiba.go.tz/index.php/toa-maoni-yako/wanaoishi-ndani-ya-nchi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimesoma na kusikiliza maelezo Ya MANUMBA. kuwa polisi wamefanikiwa kuwapata wahalifu kwa kutumia mawasiliano ya simu. Inavyoonesha Muuaji..alitoweka na simu ya Mwl. kisha alitoa laini ya simu ya...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom