Ujenzi wa soko la Mwanjelwa umekamilika kwa asilimia 99 na kazi iliyobakia ni jinsi gani au mtindo gani utatumika kuliwezesha soko hilo lianze kazi tena. CHADEMA ina nguvu sana Mbeya Mjini na...
Wakazi wa bangata wamelala masikini wameamka tajiri...mamvi amemwaga mafuso ya mbuzi wa maziwa kwa wakazi wa bangata usa river kwa malipo ya kupigia mgombea wa udiwani ccm,ivi mamvi ukikosa uraisi...
HABARI
Spika wa Bunge, Anne Makinda
Posted Monday, October 29 2012 at 21:37
IN SUMMARY
"Kitendo cha kuchambua na kuchapisha maudhui ya taarifa hiyo katika vyombo vya habari ni kinyume...
Wakuu taarifa ambazo nimepata katika pita pita zangu nimeambiwa kiongozi wa kikundi cha Uamsho Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar. Mwenye taarifa zaidi atujuze ni lini aliacha utumishi...
"UJISIKITIE NA KUJIHURUMIA WEWE KWA UBINAFSI NA NJAA YAKO"
Baada ya uchaguzi wa kata 29 kuisha juzi (jumapili) yamesemwa mengi hunu, hasa wengi wakiiraumu CDM kwa kushindwa kuchukua kata nyingi...
Wadau,
Tuwe wakweli, kwa hali ilivyo sasa ya kutokuwepo kwa mvua na kusababisha mabawawa yetu kukosa maji, bila shaka hivi sasa tungekuwa hoi tukiogelea kwenye lindi la mgawo mkubwa wa umeme...
Katika siku ambayo mwili umesisimka kwa uzalendo ni leo baada ya kusoma msimamo wa mzee wa Upako kuwa Tanzania ni BORA KULIKO UKRISTO NA UISLAM. Ahsante kwa kutukumbusha.
Ni ukweli usiopingika (undeniable truth) kwamba tofauti ya kiuchumi baina ya CCM na CDM inachangia sana CDM kutofanikisha baadhi ya malengo yake kisiasa. Vilevile CCM imejenga coalition na taasisi...
Chaguzi baada ya chaguzi, ipo mikoa tunaona jinsi inavyotamalaki ushindi wa CDM kila chaguzi zinapofanyika, na zile ambazo zina bank kura nzuri pamoja na kwamba tunashindwa na zile ambazo...
Kwanza tumshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kuilinda nchi yetu mpaka sasa ni tulivu tu ingawa kunawanaotaka isitawalike. Pili nachukua nafasi hii kuwapongeza wana CCM kwa kuendelea...
CCM walikuwa hawaamini kama watachomoka kwenye huu uchanguzi , ndo maana wanaona wameshinda wakati wamepoteza baadhi ya kata; Hii ni ishara nzuri kwamba kisaikolojia wana CCM na viongozi wao...
Chama cha mapinduzi,kimetufanyia haya,ambayo kwa hakika yameonekana mazuri machoni mwa wengi ndiyo maana leo wanapambana kukutetea.
1. umetuuwa fikira zetu ,kwa kutupa Elimu tegemezi ambayo kila...
Wanachama wa chadema waliwashambulia wanachama wa ccm kwa marungu na kuwajeruhi kwa kuwakata kwapanga usiku wa tarehe 28 kuamkia tarehe29.baada ya kuwafuma wakiwa wanazunguka kila nyumba ya mpiga...
Kwenye Gazeti la mwananchi la leo kurasa ya 10 kuna habari inayosema Professor Muhongo alikataa kwenda kula chakula alichoandaliwa kwenye Hotel ya Mount Meru na kwenda kula kwa Mamalishe...
Jana niliangalia Malumbano ya hoja ya ITV na kufurahia sana baadhi ya hoja ya wachangiaji ambao walinifanya nilete mada hii hapa. Mada ilikuwa ni Changamoto ya maambukizi mapya ya ukimw kwa...
Nape ninayemfahamu amesimama imara sana kwenye siasa za nchini kwetu,tujikumbushe kusikiliza interview yake aliofanyiwa na Mwanakijiji mwaka 2008.Hili litakuwa somo kwa UVCCM
Ndio hamu na shauku yangu na wewe mwanachi na hasa ukiwa mfanyakazi kufahamu bunge la Tanzania linaisimamia serikali au serikali inalisimamia bunge kwa wao kusimama kidete kupinga sheria ya fao...
binafsi huwa nawashangaa sana viongozi wetu waliokaa kisiasa zaidi na ndomaana maendeleo yapo polepole sana. Leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya star tv, nape nauye msemaji wa ccm...
SIFA ZA LOWASA
Katika histori ya tanzania,
hajatokea mwanasiasa mtoa rushwa kama lowasa.
Hajawahi kutokea mwanasiasa Aliyeonyesha tamaa kubwa ya urais kama lowasa.
Ametengeneza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.