Gari la askari lakamatwa na pembe za ndovu mpakani Himo

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
[h=6]POLISI katika mji mdogo wa Himo, mkoani Kilimanjaro, wamefanikiwa kulikamata gari aina ya Toyota Noah, linalomikiwa na askari mmoja wa polisi likiwa na shehena ya pembe za ndovu. :flypig:[/h]
 
kwani unafikiri wale twiga walipo kuwa wanapita pale kia police hawakuwepo mbona ni mambo ya kawaida nchi hii ..unakumbuka wakati wa mahita kwa nini ujambazi ulishamiri
 
Wamuache tu. Tena noah, mbona midege ya kijeshi inafanya maajabu na inapeta tu?
 
POLISI katika mji mdogo wa Himo, mkoani Kilimanjaro, wamefanikiwa kulikamata gari aina ya Toyota Noah, linalomikiwa na askari mmoja wa polisi likiwa na shehena ya pembe za ndovu. :flypig:
Kova the Great aunde Kamati ya kuchunguza hili. Isije ikawa Noah ilikuwa ya Jambazi la Kenya, na hizo Pembe za Ndovu zilikuwa zinapelekwa kwa Gwajima kutubu au kuombewa.
 
mkuu wa wilaya, afisa usalama wa wilaya, mkuu wa polis wilaya wote wakiwa wa serengeti walikamatwa kwenye mbuga ya serengeti wakkichimba madini...hivi mnajua wako wapi?
 
Nchi ya ujanja ujanja,viongozi wajanja wajanja,kwani shimbo kafanywa nini?
 
Manyara,babati askari aliiba gari akakutwa nalo bukoba,kama baba mwizi watoto nao watakuwa wezi tu.
 
[h=6]POLISI katika mji mdogo wa Himo, mkoani Kilimanjaro, wamefanikiwa kulikamata gari aina ya Toyota Noah, linalomikiwa na askari mmoja wa polisi likiwa na shehena ya pembe za ndovu. :flypig:[/h]

Huyo polisi mwenye gari atakuwa mshenzi sana. Inakuwaje gari ya kamanda inakamatwa?
 
Kova the Great aunde Kamati ya kuchunguza hili. Isije ikawa Noah ilikuwa ya Jambazi la Kenya, na hizo Pembe za Ndovu zilikuwa zinapelekwa kwa Gwajima kutubu au kuombewa.

Uwanja wa Kova unaishia Dar peke yake, labda awasaidie namna ya kutengeneza sinema
 
acha tu wachukue kwani zinasaidia nn wananchi wamezungukwa na matembo wao maskini!
 
Mtamsikia Engineer Stella Manyanya anasema yule polisi aliyelikamata Gari la polisi mwinzie atakuwa ametumwa na CHADEMA, we subiri tu.
 
Kwanza tujiulize, hiyo NOAH huyo askari alikuwa anaifanyia nini? alikuwa anaifanyia biashara? je ni yeye mwenyewe alikuwa anaendesha ? au ameajiri dereva ? je meno hayo yamehifadhiwa namna gani? yamepakiwa kwenye gari saa ngapi? na sehemu gani? ya kificho au ya wazi ndipo tujenge hoja za haki.askari kumiliki gari si uhalifu.
 
Back
Top Bottom