Nimeangalia CD iliyorikodiwa sijui na nani wakati wawakilishi wa baraza kama watu binafsi wakitowa maoni juu ya katiba mpya waitakayo kama sehemu ya wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Hapo waseme anatafutwa na polisi. Sijawahi kuona mtu anatafutwa na polisi halafu anahutubia jukwaani tena kwa kibali cha polisi, mbele ya polisi.
Polis wetu waache kutumika kisiasa.
Kadi...
POLISI nchini wamepanga kusambaratisha mtandao unaodhamini na kuchapisha vipeperushi vinavyohamasisha kufanyika kwa maandamano, kutaka kutolewa kwa Katibu wa Taasisi za Kiislamu, Sheikh Ponda...
Taarifa ya kuwepo maafisa watatu wastaafu wa JWTZ katika orodha ya vigogo walioficha fedha uswisi ni pigo kubwa sana kwa nchi kwani hii taasisi ni moja ya taasisi ambazo Watanzania tulikuwa na...
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, juzi alitoa kauli inayoonyesha kukerwa na vurugu zinazofanywa na wafuasi wa Uamsho, pale aliposema uvumilivu sasa basi na kwamba serikali yake haiko tayari...
EL amekua akipiga kelele mpaka sauti kumkauka kwamba vijana wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka.
Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM. Vurugu zote...
Wanachama na viongozi ndani ya CCM wanaojiona ni safi inawezekana ni kweli. Lakini kwangu mimi nawaona watu hao ni kama ifuatavyo:
Mtu unaenda bafuni, unaoga na kurudi ndani, unavaa nguo yako...
Wakati wa Utawala wa Mkapa suala la kuandika katiba mpya lilikuwa ni chungu kuliko hata uchungu wa mwarobaini. Nilimsikiliza Mkapa akijibu matokeo ya Tume yake Mwenyewe juu ya katiba. Ali-fume...
Jeshi la polisi mkoani Arusha linamsaka aliyekuwa mmbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema kwa tuhuma za kushambulia mwili pamoja na upotevu wa simu pamoja na fedha.
Akiongea na waandishi...
mimi ni mwanachama wa chadema,ninatoa maoni yangu,chama lazima tue makini katika uteuzi wetu wa wagombea mbalimbali tunao wasimamisha kama kweli wana sifa stahiki? je wananchi wanawapenda au tuna...
Salaam,
Arusha Mambo itarusha moja kwa moja Kikao cha Bunge kinachoanza leo jijini Dodoma.
Ili kusikiliza bonyeza hapa Arusha Mambo FM - Arusha - Listen Online&
Kinachonishangaza kura za maoni marumbano ni Uislamu na Ukristo, Waislamu wanataka kadhi kana kwamba kuna aliyewazuia kuwa nao, Madai Mpaka iingie kwenye katiba, wakristo nao wana hofu ya madai...
The Democratic Progressive Party (DPP) has attacked Joyce Banda's administration, seven months after being in power,
arguing it has failed to run the country properly.
On the dispute with...
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha, limemsafisha Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (CHADEMA), kuwa hakuhusika katika tukio la kufyatua risasi hewani kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya...
Zitto umeyaona matokeo ya udiwani. Unadhani urais huo unaokuhangaisha utaupata kwa mtaji huu? Matokeo ya udiwani ni kioo cha kujiangalia CHADEMA mnakubalika/mmeenea vipi vijijini.
Jana wakati napitia threads mbalimbali humu JF nilikutana na kipande cha elimu kikieleza kuwa kuna kituo kimoja kati ya sehemu zilizohusika na uchaguzi kuwa kilikuwa na wapiga kura 280 lakini kati...
CHADEMA sasa inabidi tuamke na tuache kulewa sifa mijini wakati maeneo mengi ya vijiji hatujafanya chochote na tunasubiria mpaka uchaguzi mkuu au uchaguzi mdogo. Haipendezi hata kidogo.
Kumekuwa...
Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ziba Igunga jana.Dr slaa amesema ccm wamepeleka kusudio la kukata rufaa lakini hawajakata rufaa.hii ni
kuwafanya wanaigunga wakose mwakilishi maana wanajua...
Napenda kuwauliza ccm na msemaji wao wa chama bwana Nape katika uchaguzi. Wa madiwani uliofanyika Jumapili kuna zaidi ya shahada 100 zilikamatwa na wanachama wenu mliowatuma kukupigia kura chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.