Ponda aachiwe mara moja - Lipumba

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba ameitaka serikali kumuachilia kwa dhamana Sheikh Ponda Issa Ponda kwani amewekwa ndani kinyume na utaratibu.
Prof Lipumba amedai kusema kwamba Sheikh Ponda alihusika na uchomaji wa makanisa ni uongo na kitendo cha kumkamata ndicho kilichochochea vurugu zilizofanyika wiki iliyopita.Amesema ili kurejesha amani na kunusuru nchi kuingia katika mfarakano ni lazima kwanza kiongozi huyo wa waislam aachiliwe huru.

Source:Mwananchi.
 
Chadema hawakutoa judgement kuwa ponda anahusika ama hawakuhusika ktk uchomaji,iweje lipumba na kauli yake...anataka kudumisha udini as usual,poor Mtemi Pumba
 
moja ya wanachama hai wa uamusho ni maalim seif na mlinzi wake hivyo uamsho ni ccm b
 
Hili jamaa na chama chake si ndio wafadhili wa Radio na imaan na gazeti Al-nuur.

Poor you na ama hawezi kuwa Rais wa Tz may be hii nchi iwe inaongozwa na sharia.
 
Hajawa nkuu wa nchi anaingilia uhuru wa mahakama, akichukuwa nchi je? Bora amejianika mapema nndini huyo. Sasa kumetulia ndo anakoroga upya hali itibuke? Alikuwa wapi tangia mwanzo? Ponda aendelee kunyea ndoo mpaka ashike adabu tu, sie tumetulia Tanzania yeye anatuchakachua apate umaarufu, ebho!
 
Nasikia ni mgombea wao wa 2015 jimbo la Ubungo. ha ha ha ha ha ha ha ha...kweli CUF ni genge la wahuni.
 
Wakati anagombea Urais kwa nini hakuwa muwazi kuomba kwa Waislamu wenzake tu.

Wanasema Nyerere alikuwa mdini lakini na wao wanapita kwenye nyazo zilezile. Ni nani sasa atasahihisha makosa ya Nyerere.

Kama lipumba hakutoa kauli wakati wa kuchoma makanisa hakutakiwa kulitolea kauli suala la ponda kwani ni mwanasiasa tunategemea lengo lake ni kutuongoza kwa usawa.
 
Hajawa nkuu wa nchi anaingilia uhuru wa mahakama, akichukuwa nchi je? Bora amejianika mapema nndini huyo. Sasa kumetulia ndo anakoroga upya hali itibuke? Alikuwa wapi tangia mwanzo? Ponda aendelee kunyea ndoo mpaka ashike adabu tu, sie tumetulia Tanzania yeye anatuchakachua apate umaarufu, ebho!

mkuu yakitokea machafuko mengine inabidi na Lipumba naye awekwe ndani anyee ndoo.
 
Chadema hawakutoa judgement kuwa ponda anahusika ama hawakuhusika ktk uchomaji,iweje lipumba na kauli yake...anataka kudumisha udini as usual,poor Mtemi Pumba

chadema kwa ni kanisa wasingeweza kuwatetea waislam ndio mana tamko lao lilikaa kinafki nafki
 
Wewe ni Profesa wa uchumi, hayo ya ponda ni fani nyingine ambayo unadandia bila kuijua
 
Hivi huyu Bwana si ndio alihusika na kuhamasisha watu wagomee sensa.., na fujo zilitokea kutokana na maandamano / mkusanyiko ambao na yeye alihusika ? au hayo sio makosa kwa mujibu wa sheria zetu ?

I might be wrong lakini nadhani Tanzania is a safer place bila huyu ndugu yetu kuwa uraiani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom