Ilikuwa ni baina ya Daktari na kijana wa kitaa
Baina ya msomi wa shahada na asiyekuwa msomi masikini wa watu
Baina ya mgawaji wa hongo na msemaji wa ukweli
Baina ya mnunuaji wa shahada za kupigia...
Hadi dakika hii matokeo yanaonyesha kwamba katika Kata 29, CHADEMA wameshinda katika kata 5 and TLP (1) na CCM kushinda katika kata zilizobaki.
Kwa muono wa karibu unaweza ukadhani kwamba...
JUMATATU, OCTOBA 29, 2012 05:23 NA GABRIEL MUSHI, DAR ES SALAAM
Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa
MBUNGE wa Iringa Mjini, (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, ameeleza namna...
Katika uchaguzi wa udiwani kata 29 ulifanyika hivi karibuni CHADEMA imeambulia viti 5 kati ya 29. Pamoja na kwamba chama hiki kimepata kata mpya 3, bado kazi ya ziada inahitajika ili kiweze kupata...
.... It was about 12.00 noon, which is supposed to be lunch hour, when about five, charming armed robbers, visited one of the banks in Arusha town. The smiling thugs greeted every customer with...
Binafsi sio kama hiki chama kinaweza ongoza nchi hii..kwanza ni chama ambacho kinaonekana ni kijikundi tu cha watu wawili watatu na sio taasisi ya kichama cha siasa.... Tumewapa jiji la mwanza...
Wana JF.
Rais Jakaya Kikwete, kesho atazindua rasmi Manispaa ya Arusha kupanda hadhi kuwa Jiji, eneo la Mnara wa Azimio la Arusha na kuhitimisha kwa kuhutubia wananchi kwenye viwanja vya Sheikh...
1. Kitendo cha kusimamisha wagombea katika Kata zote 29 katika Uchaguzi Mdogo wa Madiwani ni suala jipya.Nyuma kidogo,wagombea wengi wa CCM walikuwa wanpita bila kupingwa.
2. Kutetea Kata 2 na...
Wizara ya Nishati na Madini imelizuia Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) kupandisha bei ya umeme kama lilivyokuwa limepanga kufanya hivyo Januari, mwakani.
Waziri wa Wizara hiyo, Profesa Sospeter...
Ni majira ya saa 12 asubuhi ya leo, naamka tayari kwa kujiandaa kama mtanzania mwingine yeyote mwenye kujituma, tayari kwa majukumu yangu ya leo, bila kusahau kuwa masuala ya kijamii nayo ni...
Matokeo ya uchaguzi wa madiwani katika kata 29 zilizofanya chaguzi ndogo hivi karibuni yanaonekana kukosa mjadala mpana kutoka kwa wadau wa siasa hapa nchini, lakini mimi naona kama yana haja ya...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amesema vikosi vya ulinzi vya Tanzania na vile vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar vinahitaji kupatiwa mafunzo ya ziada juu ya...
Hii habari imetokea National Public Radio ya Marekani leo asubuhi saa za marekani. Niko ziara ya kikazi nchini Marekani na mwenyeji wangu akafungulia NPR kweney gari hii habari ikanishitua sana...
Kwa wale wanaofahamu umihumu wa chanjo kwa watoto watanielewa kwanini nasikitika chanjo hiyo kukosekana takriban miezi miwili leo.Ni masikitiko yangu kuwa serikali yetu haiko makini hasa maswala...
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ametoa siku 14 kwa magazeti mawili yatolewalo kila siku nchini kumsafisha kwa uzito waliotolea habari ya kumhusisha kufyatua risasi kwenye kata ya...
If you want to kill a dog, give it a bad name.
Workmen are raising the walls around the Assemblies of God Church on the outskirts of Zanzibar's Stone Town. Sweating in the heat and humidity...
Ndugu zangu ninajua kichwa cha habari hapo juu kina tisha ama kushangaza ila lengo langu nikuona mbele tunapoelekea,niliwa kuandika hapa jamvini habari yenye kichwa Mhe Raisi wangu,nikibashiri...
Katika hali ya kushtusha kambi ya mwanasiasa mkongwe, mashuhuri na maarufu sana mh Edward Lowassa imezidi kuzorota ndani ya chama hicho kikongwe kilichojaa mizengwe na makundi makubwa ya kuwania...
VIONGOZI wa dini waliotembelea maeneo ya migodi ya dhahabu ya North Mara na Geita mkoani Mwanza, wameikosoa sheria mpya ya madini wakieleza kuwa licha ya kutamka wazi kuwa wananchi wanaohamishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.