Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana walitoa taarifa Kuwa Major General John Msonthi ni deputy MDF na amefanya kazi kama Muambata wa Jeshi nchin Kenya na USA. Lakini Leo Mtandao huo huo umetoa taarifa ile ile na kuonyesha...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
"Safari hii rushwa ilitumika vibaya sana kiasi cha kukitia aibu chama chetu. Namna bora ya kurejesha imani hiyo ni kufuta baadhi ya matokeo ya jumuiya, mikoa na wilaya, vinginevyo tutakuwa na...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Wanabodi, Wimbi la CCM kuendelea kudhoofika na kukataliwa na jamii limeendelea kuthihirika si tu ktk chaguzi bali hata ktk maeneo mengine ya jamii. Kwa taarifa za uhakika nilizonazo mbali na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni kwa mujibu wa ndugu Magori (DO – DIRECTOR OF OPERATIONS) katika kipindi cha kipimajoto wakati anamalizia kuzungumza. Amesema kuwa fao la kujitoa, serikali haina tatizo. Inaweza kutoa wakati...
4 Reactions
121 Replies
11K Views
Huu ni mjadala mwingine katika jamii, unaotawaliwa na hoja nyepesi nyepesi; Vinginevyo kilicho kizito ni kwamba kama mtu ni muumini wa nadharia za machafuko (theories of conflicts and violence)...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Hongera Mheshimiwa Joseph Selasin, Mbunge wa Rombo kwa kuwa muwazi kuhusiana na utendaji murua wa Rais JK kwa kuwezesha ujenzi wa barabara jimboni mwake. Amediriki kutamka mbele ya Rais JK kuwa...
4 Reactions
83 Replies
8K Views
Imekuwa sasa ni kawaida Watanzania kulalamika lakini kwa hili la daftari la kupigia kura serikali ina jidanganya na kama si kujidanganya basi inajikaanga yenyewe kwa mafuta yake.Daftari hili ni...
0 Reactions
5 Replies
991 Views
Nauliza kwa sababu ndogo tu. TANESCO, kupitia Bodi ya Wakurugenzi wake, leo hii wametangaza kumtimua kazi aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu Eng. William Mhando. Tuhuma zake ni nyingi na...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
By Salma Said, Kovu za majeraha yaliyowapata na adhari za bakora zilizoachwa katika miili ya Wazanzibari bado zipo bada ya miaka arobaini na nane ya mapinduzi. Kovu za majaraha hayo yaliyoachwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimetoa mwaliko kwa Rais wetu kuzungumza na Watanzania ambao hawajapata nafasi ya kumsikia na kusikia maoni yake juu ya mambo mbalimbali. Hususan: a. Msiba wa Walter na Vonettha b. Mahusiano kati...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia CCM Mhe Peter Serukamba amesema suala la baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupinga posho lilikuwa ni unafiki. Serukamba aliyasema hayo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SERIKALI INAUKUZA MGOGORO ULIOPO BADALA YA KUUDHIBITI Ndugu Waandishi wa Habari, Kwanza napenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kwenu kwa kukubali wito wa kuja kutusikiliza...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi wewe nape unaakili kweli kweli????????? Cdm imewanyang'anya ccm kata 3 na cuf imewanyang'anya ccm kata 1...........hapa nani ana hasara????????wewe ni katibu mwenezi unayepoteza kila siku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Polisi wadaiwa kufanya unyama Posted on October 31, 2012 Salum Bakari Muya anayedaiwa kuteswa kwa kukatwa ngozi kwa kisu kichwani na kisha kunyonyolewa nywele na baadhi ya...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Mkutano mkuu wa CCM utatoa picha halisi baada ya kuchagua viongozi wa kitaifa siku chache zijazo.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana bodi, Naomba tujadili suala hili maana limekuwa ni janga la kitaifa. Kuanzia kwa raisi hadi mwananchi wa kawaida ndani yaJF tulijadili kwa kina. Mods naomba usihamishe mada hii sababu ni...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kama kuna sehemu Tanzania hii ambapo nguvu ya pesa hutumika kuibeba CCM, ni katika tarafa ya Tarakea, ilimo kata ya Nanjara - Reha. Msemo "Mchanga ni mwingi kuliko mawe" ni msemo maarufu katika...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
SIKU moja baada ya Jeshi la Polisi Tanzania kuyasambaratisha maandamano ya kutaka kushinikiza kuachiliwa huru kwa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda na...
3 Reactions
115 Replies
10K Views
Pichani ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda (wa Kwanza Kushoto) akiwa pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Bwana Christopher Ole Sendeka (Wa pili...
5 Reactions
44 Replies
7K Views
Wazee wanaoishi pembezoni mwa Ziwa Nyasa, Wilaya ya Kyela, mkoani Mbeya, wameunga mkono hoja ya serikali kwamba, mpaka wa Tanganyika na Malawi, upo katikati ya ziwa hilo, wakisema ndivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom