Rais Usibadilishe Sheria Majukwaani

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.

Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini utaratibu wa kutengua/kubadilisha sheria unapaswa kuzingatiwa.

Source: Jambo Leo
 
huyu ni wa kumsamehe tu...ushiriikiano wa kichwa na ulimi haupo....Watakaomfuatisha wajuwe miaka ijAyo watavunjiwa nyumba zao
 
He is the head of State.
 
huyu ni wa kumsamehe tu...ushiriikiano wa kichwa na ulimi haupo....Watakaomfuatisha wajuwe miaka ijAyo watavunjiwa nyumba zao
Kama kweli sheria za nchi zinavunjwa majukwaani, basi SLAA ni bingwa wa kufanya hivyo. Mara akaidi kutii amri vyombo vya dola, juzi nimesikia tena anabwatuka kuwa hakuna sheria inayowaruhusu CCM kwenda mahakamani kuhusiana na ubunge wa Igunga, Yeye ndiye mahakama?
 
Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.

Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini utaratibu wa kutengua/kubadilisha sheria unapaswa kuzingatiwa.

Source: Jambo Leo

Mr. President kumbuka: Rule of law . Kesho utaamrisha lingine. Madikteta wanaanza hivyo!
 
Kama kweli sheria za nchi zinavunjwa majukwaani, basi SLAA ni bingwa wa kufanya hivyo. Mara akaidi kutii amri vyombo vya dola, juzi nimesikia tena anabwatuka kuwa hakuna sheria inayowaruhusu CCM kwenda mahakamani kuhusiana na ubunge wa Igunga, Yeye ndiye mahakama?

Hii yako ungeianzishia uzi wake, au we mtoto wa jamaa nini!! sheria ni sheria na imetungwa na bunge ye hawezi itengua kihuni.
 
Kilichosemwa mleta mada hujakielewa au unakileta nje ya "context".
 
Bado tunaishi katika dunia ya kuoneana haya na kutofuata misingi ya sheriaambazo tumeziweka wenyewe na kuleta matabaka baina ya watu na jamii kwa ujumla.

Rais ongoza nchi kwa misingi ya sheria uliyoapa kuitekeleza na acha siasa zizsizoisaidia nchi.
 
Ndo mana Nyerere alimtosa huyu jamaa na BOY 2 MEN mwenzake.

Kuna caption moja ya mwalimu inatangazwa mara kwa mara na Radio One na ITV inayohusu kiongozi kuzingatia utawala wa sheria.
 
Rais mwenye maajabu mengi!

Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.

Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini utaratibu wa kutengua/kubadilisha sheria unapaswa kuzingatiwa.

Source: Jambo Leo
 
Sijui kwa kauli hiyo ya uchakachuaji wa sheria, Mh. John Pombe Magufuli amejisikiaje! Jambo hilo lingepelekwa bungeni ili kufanya marekebisho ya sheria.

Hivi kweli hapo hajavunja Katiba?
 
RAIS wako huwa ni mtu wa majukwaani sana kwa hiyo usishanga kitu kama hiki....watu wataendelea kujenga milimani na hakuna sheria itakayochukuliw dhidi yao
 
Ni wakti gani tutasema eneo fulani ni mlima?
when do we say such area is a hill/moutain?

Rais Jakaya KIkwete amesema kuanzia sasa sheria ya ujenzi isifuatwe kwa wale wanaojenga nyumba maeneo ya milimani kwa kuwa maeneo hayo ni finyu.

Maoni yangu: Yawezekana Rais akawa na hoja lakini utaratibu wa kutengua/kubadilisha sheria unapaswa kuzingatiwa.

Source: Jambo Leo
 
Kama kweli sheria za nchi zinavunjwa majukwaani, basi SLAA ni bingwa wa kufanya hivyo. Mara akaidi kutii amri vyombo vya dola, juzi nimesikia tena anabwatuka kuwa hakuna sheria inayowaruhusu CCM kwenda mahakamani kuhusiana na ubunge wa Igunga, Yeye ndiye mahakama?

Inaelekea Slaa anakutesa sana,hoja yeye kama Raisi kubadilisha sheria jukwaani,jadili hoja labda hujaisoma vizuri Rais Usibadilishe sheria ,Majukwaani,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom