Kuelekea 2015 CHADEMA ipangue upya BAVICHA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuelekea 2015 CHADEMA ipangue upya BAVICHA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by promi demana, Oct 30, 2012.

 1. p

  promi demana JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habar wanaJF!
  Napenda kutoa maoni yangu haya kwa faida ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),
  ni ukweli kwamba baraza la vijana (BAVICHA) limeshindwa kufanya vizuri kuwainfluence vijana wengi wa nchini hasa wa kijijni na badala yake limekuwa ni jiko lenye moto hafifu lenye kuwapika na kuwajenga watu wachache kisiasa hasa John Heche tu, pia ni kama vile vijana hawa wameshindwa kujua obligations zao ambapo lengo haswa ni kwa vijana wote nchini kuanzia sekondari, boda boda, vyuoni etc, na mara nyingi kazi za BAVICHA zimekuwa sawa na zile za wakina Mnyika na Slaa (mahubiri ya ufisadi tu).
  Leo hii Heche na Juliana Shonza ni kama mbingu na ardhi kimahusiano yani ni vigumu kutofautisha BAVICHA na UVCCM.

  My outlook:
  mwakani vijana wote wenye uwezo jitokezeni kugombea nafasi ili tupate BAVICHA mpya itakayokuwa decentralized na sio centralized kama ilivyo sasa.

  VIVA CHADEMA.
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  John Heche Suguta ndio M/kiti wa Bavicha hadi uchaguzi ujao. Kamanda anapambana kukijenga chama
  Nyie wengine ukiwamo mleta thread ungana nae kujenga CDM km una mapenzi mema na Tanzania.Acha kukaa nyuma ya keyboard na kuanzisha porojo
   
 3. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Haya, tunakupa uwe mwenyekiti!
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Acha uchochezi ktk chama,huyo mwanamke ni zandiki ila hana madhara.
   
 5. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  bdala ya panga pangua naona ni bora tuakatafuta watu kama heche watakao specialize vijijini tu.....
   
 6. K

  Kishili JF-Expert Member

  #6
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 293
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hivi kwanini nyie hamtaki kwenda vijijni utafikiri mmeumbwa na Mungu kwa kazi ya kuhimiza wenzenu kwenda vijijni nyie na JF tu.
   
 7. p

  promi demana JF-Expert Member

  #7
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu uchochezi upo wapi hapo? Hebu tutoe maoni yetu kwa hoja ili tujenge chama.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Tuntemeke bana.Huchoki tu.
   
 9. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mi nafikiri tukitoka na ukweli bila kuteteana hapa mimi sioni sababu ya mtu kusema heche amepwaya saana labda wale vijana mliozoea siasa za DARUSO na wale mlioshindwa na heche hao hata akifika kwenu mtamsema vibaya tu lakini ushauri wangu kwa ujumla ni kwamba tangu nimtazame huyu kijana anaanza harakati za chadema amejitahidi saana kuipambanua BAVICHA kama taasisi muhimu na yenye nguvu ndani ya chama na ni kijana asiyehongeka kwa ujumla kama inawezekana sioni sababu ya panga pangua ndani ya chama ni bora mumpe nguvu aendeleze mapambano zaidi kama kweli mnapenda mafanikio ya vijana kamakuna malengo hayajatekelezwa bado muda wa BAVICHA hawa walipewa nafasi mwaka mmoja tu uliopita
  swala la boda boda haikuwa agenda yao ila washauri kama ni muhimu
  swala la huyu shonza mshaurini pia aache kucheza nje ya laini ya mpango wa chama shibuda si bavicha
  ushauri wangu vijana tusiwe wepesi wa kupotoshana tushiriki inapobidi HECHE ANAONEKANA KUWA FIT KABISA TUMUUNGE MKONO
   
 10. USTAADHI

  USTAADHI JF-Expert Member

  #10
  Oct 30, 2012
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 1,518
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  View attachment 69810 View attachment 69811 hapa hii mikutano kumbe ni ya mjini? hebu acheni ghiliba za kushindwa uchaguzi rudini mjenge chama jamani
   
 11. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #11
  Oct 30, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Tatizo heche ana pupa!Anaweza kumtuhumu hata KADA mpambanaji kuwa ni Gamba!Anajiona ana haki ndani ya CDM kuliko vijana wengine wasio viongozi ndani ya chama!Haiwezekani vjana wote wakawa viongozi ndani ya cdm lkn huko walipo jaribu kuwa karibu nao na ukubali mawazo na ushauri wao!Huo ndio uongozi mdogo wangu Heche!
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Oct 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mbona husomeki mkuu!?
   
 13. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #13
  Oct 30, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Heche amefanya kazi kubwa sana mpaka sasa, wasiwasi wangu ni nafasi ya ukatibu. Binafsi naona katibu bado hajavaa viatu vyake sawasawa, tuwape moyo na ushirikiano watimize malengo yao.
   
 14. p

  promi demana JF-Expert Member

  #14
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu ahsante kwa kuelewa hoja yangu!
  Ni kweli Heche anafaa na anaweza but ktk nafasi ya makamu wake( Shonza) bado hatuelewi, pia katibu wake ndo kabisa......
   
 15. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #15
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Ni muda wa ku- focus katika ujenzi wa chama bila kufikiria uenyekiti ama Urais

  Process za election zipo ndani ya chama

  -kama kuna mtu mwenye mapendekezo bora zaidi kuishauri BAVICHA kuna thread ipo na watu walichangia.
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Chadema washajiishia hawana singo mpya zote wanazokopi na kupesti zimeshtukiwa.
   
 17. p

  promi demana JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni vyema wanaCDM msitoe hoja nyepesi kuzima maoni ya sisi wapiga kura wenu so ni vyema mjitahidi kukiimarisha chama hasa kwa kutumia maoni yetu haya.
   
 18. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  You couldn't have said it better. Hata hivyo nadhan twende mbali zaidi ili BAVICHA iwe na program ya maendeleo ya vijana, isiwe siasa za jukwaan tu
   
 19. p

  promi demana JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2012
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nadhani umekosea kidogo, hizo sifa ni za CUF.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kafu wanaongiza dola kwa ubia, wewe unasema nini? wana mawaziri wa nchi.
   
Loading...