Maisha Binafsi ya rais wa Irani: Wanasiasa wa Tanzania tujifunze

Majige

Member
Nov 11, 2006
33
54
The Life of Iranian President Ahmedinejad

I am sending this exclusively to you with a personal request to forward this to all/any of the politicians however their ranks be at the Centre or States, either individually or Organization wise at the respective Govt.levels, as I do not have even a single id of any. Thank you.

hpsarathy
The Life of Iranian President Ahmedinejad

The FoxNewsTV (USA) asked the Iranian President Ahmedinejad,

'When you look into the mirror in the morning, what do you say to yourself?'

He answered: 'I see the person in the mirror and tell him 'Remember' you are
no more than a small servant, ahead of you today is the heavy responsibility,
and that is to serve the Iranian nation.'

Ahmedinejad, the Iranian President, who astonished many when he first reached the
office of the Presidency by donating all the high valued Iranian carpets to one of the
mosques in Tehran by replacing them with the low cost ordinary carpets. He observed
that there was a huge extravagant lounge for receiving and welcoming the VIPs and
he ordered it to be closed and asked the protocol office to arrange for an ordinary
room only with wooden chairs.

On many instances he joins the cleaning staff of the municipality for cleaning the streets
in the area where his home and the Presidency are located.

Under his authority whenever he appoints any minister to his post he gets a signed
document from him with many points particularly highlighting that he shall remain poor
and that his personal and his relatives accounts will be watched and the day he leaves
the ministry shall be with dignity, and therefore it is not lawful for him or his relatives to
take any advantage of his office. First of all he declared himself for all the 'Big' wealth
and the property he owned was a Peugeot 504 car, Model 1977, an old small house
inherited from his father 40-years ago in one of the poorest zones in Tehran . His
accounts with a zero balance and the only money comes in to his a/c was from his
salary from the university as a lecturer with an amount of US$ 250 only.

For your information, the President still lives in that same house. This is all what he
owns; the president of one of the world's important countries; strategically, economically,
politically and with regard to its oil and defence. He even doesn't take his personal
salary with the argument that all the wealth belongs to the nation and he is to safeguard over it.

One of the things that impressed the staff at the presidency is the bag the President
brings with him every day, which contains his breakfast; some sandwiches or bread
with olive oil and cheese prepared by his wife and eats and enjoys it with all happiness.

One of the other things he changed was his personal carrier 'The President's Aircraft'
to a cargo aircraft in order to save the spending from the public treasury and he ordered
that he would be flying with the ordinary airline in the economy class.. He organizes
meetings every now and then with all the ministers to know their activities and efficiency.
He closed down the office of the Manager of the President and any Minister can enter
his office without any permission. He also stopped the welcome ceremonies like the red
carpet, the photo session or any personal advertisement or respect of any kind while
visiting any place in the country.

Whenever he has to stay in any of the hotels he asks them to make sure not to give him a
room with any big bed because he doesn't like to sleep on beds but rather likes to sleep
on the floor on a simple mattress with a blanket.

Refer to some of the photographs which also confirm the above. The Iranian president is
sleeping in the guest room of his house after getting away from his special guards, who
follow him wherever he goes and photo is taken by his small brother according to the
Wifaq Newspaper which published this photo and the next day the photo was published
in most of the world's newspapers and magazines and particularly the Americans. During
the prayer you can see that he is not sitting in the first row. And the final photo is of his
dining room where the president is busy eating his simple meal.

ahmadi-nejad-sleeping.jpg
ahmadi-nejad-praying-2.jpg

ahmadi-nejad-eating.jpg

Try comparing this with the emoluments and privileges our Ministers and Politicians
and Top Bureaucracy get ..... plus the amount of National, Public Property and Resources
they spend and waste to unimaginable proportions as a right, unmindful of any Public
and National Interest !

We wish all those, especially in Public Service see message and
get inspired to right Ways

hakuna hata mwanasiasa mmoja ataefanya kma hivyo...mna akifanya ataambiwa amefulia........chezea vijisenti wewe..
 
Tanzania! nani kasema hakuna magamba wala wavua magamba haitakuja tokea! angalia pesa za michango zinavyofanyiwa kazi
 
Huyu jamaa amenigusa sana, hatofautiani sana na Mahatma Gandhi. Kwa dakika ambazo huu uzi umekaa jamvini na sioni maoni inamaanisha wanajamii wameshikwa na butwaa, hawajui hata cha kusema. Kwa kuongezea ni kiongozi asiyeyumba wala kuyumbishwa na mwenye msimamo. Gadafi alianza hivi, kwa mfano kuishi kwenye hema lakini mwisho wa siku ikawa vinginevyo.
 
Dr. slaa akiingia magogoni ninaamini anaweza kuishi maisha haya kwani nilimshudia lindi akila ugali na moro pia siku ya idd.

This is the way of winning people, kwa hili usidanganyike....hata kama yy hapendi wanaomzunguka je?
 
Jamani natamani sana haya maisha yake. Anaishi naturally life, safi sana,unajua hapa duniani tunapita tu,majitu mengine yanaishi kama yatakaa milele.
 
Cha muhimu ni kujua matatizo ya watu unaowaongoza, kujumuika nao ili uweze kujionea mwenyewe hali halisi! kama kiongozi, ni furaha ilioje unapokutana na maelfu ya watu wakisema "Ahsante mhe rais kwa kazi nzuri". Ni changamoto kwa viongozi wetu kuamua kuchagua hayo maisha au kutumikia nchi zingine!!
 
Dr. slaa akiingia magogoni ninaamini anaweza kuishi maisha haya kwani nilimshudia lindi akila ugali na moro pia siku ya idd.

alitaka na analipwa mshahara equivalent na emoluments ambazo angepata kama mbunge ikiwa ni opportunity cost ya kuacha ubunge ili agombee urais,kwa kigezo hicho tu..,nahisi hawezi kuishi hayo maisha...lakini cha msingi hapa sio kuishi hayo maisha ,msingi ni kwa jinsi gani taasisi ya urais itapunguza matatizo ya wananchi...
 
he is unique
Tuweke hii kwenye katiba kabla ya rais na mawaziri kuapishwa, pia mafao ya wabunge na ma vx, v8, etc. yakatiliwe mbali.
Under his authority whenever he appoints any minister to his post he gets a signed
document from him with many points particularly highlighting that he shall remain poor
and that his personal and his relatives accounts will be watched and the day he leaves
the ministry shall be with dignity, and therefore it is not lawful for him or his relatives to
take any advantage of his office. First of all he declared himself for all the 'Big' wealth
and the property he owned was a Peugeot 504 car, Model 1977, an old small house
inherited from his father 40-years ago in one of the poorest zones in Tehran . His
accounts with a zero balance and the only money comes in to his a/c was from his
salary from the university as a lecturer with an amount of US$ 250 only.
 
Tuweke hii kwenye katiba kabla ya rais na mawaziri kuapishwa, pia mafao ya wabunge na ma vx, v8, etc. yakatiliwe mbali.
Under his authority whenever he appoints any minister to his post he gets a signed
document from him with many points particularly highlighting that he shall remain poor
and that his personal and his relatives accounts will be watched and the day he leaves
the ministry shall be with dignity, and therefore it is not lawful for him or his relatives to
take any advantage of his office. First of all he declared himself for all the 'Big' wealth
and the property he owned was a Peugeot 504 car, Model 1977, an old small house
inherited from his father 40-years ago in one of the poorest zones in Tehran . His
accounts with a zero balance and the only money comes in to his a/c was from his
salary from the university as a lecturer with an amount of US$ 250 only.

Hamna atakayekubali hiyo hali hamtapata viongozi maana sisi wabongo tunapenda sana mambo ya fedha na anasa!

Kuwa kiongozi ni synonymous na kuwa na maisha mazuri,jumba zuri, posh cars, bata nk
 
Yaani usiende hata mbali,angalia maisha ya watendaji wa serikali za mitaa wanavyojiachia na pesa za kuandikia watu barua za utambulisho etc,pita mchana uone wanavyojiachia toka vibanda vya karibu vya chips kuku na bia!utakoma!!!!panda hizo ngazi kwenda juu utajuaa!!!!!
 
maisha haya tz yalienda na mwalimu....tangu tulipoanza kutambua thamani ya utu kwa fedha alizonazo mtu ndipo tulipoanza kujiua wenyewe......kwa pengo kubwa kati masikini(mwananchi) na tajiri(mwasiasa) haya ni magumu kuwezekana tena.....
 
Habari hii imenifanya nimkumbuke former president wa Burkina Faso, THOMAS SANKARA, alikuwa na mambo kama hayo!
 
Jamani natamani sana haya maisha yake. Anaishi naturally life, safi sana,unajua hapa duniani tunapita tu,majitu mengine yanaishi kama yatakaa milele.
sasa mkuu hapa duniani tunapita tunaelekea wapi?? au jehunum ya moto??
 
Dr. slaa akiingia magogoni ninaamini anaweza kuishi maisha haya kwani nilimshudia lindi akila ugali na moro pia siku ya idd.

Hajaingia kaikopa chadema kujenga jumba la nanihii.

Kufikiri kuwa Slaa anaweza ishi au Ikulu kuwa Ofisi yake kama Rais ni ndoto za mchana.
 
Kumbe 'Rais Paul Kagame' hata nje ya bara la Afrika wapo??????????? Nampenda sana Rais Kagame kwa staili yake ya uongozi uliotukuka na uadilifu usio na mawaa!!!!!!!!!!!
 
Dr.Slaa alitaka kupiga picha tu watu wamuone.Hayo maisha ya Rais wa Iran alianza kuyaishi kabla ya urais.Slaa anaishi maisha ya kifahari nyumbani mtaani anatuongopea ndo maana analipwa posho kuuubwa.Usilinganishe kichuguu na mlima bwana
 
Back
Top Bottom