Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,710
- 40,777
Nimetoa mwaliko kwa Rais wetu kuzungumza na Watanzania ambao hawajapata nafasi ya kumsikia na kusikia maoni yake juu ya mambo mbalimbali. Hususan:
a. Msiba wa Walter na Vonettha
b. Mahusiano kati ya Ubalozi wetu DC na watanzania hapa
c. Mafanikio ya ziara yake hapa
d. Msimamo wa TZ kuhusu mambo mbalimbali ya Kimataifa, hususan kuhusu habari ya kuwa Tanzania imekubali kupeleka majeshi Darfur
e. Masuala ya Kiuchumi ya Tanzania
Mahojiano yalikuwa ni maswali ya moja kwa moja hakuna kuzungukana, lakini jibu nililopatiwa na mmoja wa waandishi wa Rais ni kuwa "Rais hana muda"! Sijui hata kama wamemuuliza? Nimeomba dakika 15-20 za muda wake... Au hadi arudi nyumbani?
Watanzania wanaosikiliza KLH News zadi ya 600! na wanazidi kuongezeka wangependa kumsikia Rais wao badala ya kuambiwa na vyombo vya habari vya BBC, VOA, Boston Globe, n.k Zungumza nasi, Mr. President kabla hujaondoka. Let your people talk to my people and we'll make this happen
Please!!!
M. M. Mwanakijiji