Ushahidi Mwingine wa Kudhoofika kwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi Mwingine wa Kudhoofika kwa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ronal Reagan, Oct 31, 2012.

 1. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Wimbi la CCM kuendelea kudhoofika na kukataliwa na jamii limeendelea kuthihirika si tu ktk chaguzi bali hata ktk maeneo mengine ya jamii.

  Kwa taarifa za uhakika nilizonazo mbali na fedha za walipa kodi kufujwa ktk, kutisha watu kwa kesi za ajabu ajabu ....CCM na serikali yake wasivyo na aibu wamekwenda mbali hata kuwashinikiza walimu wa shule binafsi (English Medium) 'kuonesha utii na mshikamo' kwa ujio wa Kikwete mjini Arusha, kwa kufunga shule zao kesho Alhamisi 1/11/12 na pia kwenda kwenye maandamano na baadaye Sheikh Amri Abeid.


  Ni jambo 'dogo' lenye kielelezo kipana cha jinsi ambavyo JK na CCM hawako serious na mambo ya maana kama elimu, afya, uchumi nk ila wako makini kwenye mambo ya upuuzi. Sasa kwa kukatiza vipindi vya masomo siku ya kesho:-

  1) Je serikali itafidia vipi wazazi, wanafunzi na walimu?

  2) Kwa vile CCM wamepoteza mvuto, utashi na uhalali wa kutawala je kuna sababu za msingi za kusubiri mpaka 2015?

  3) Hivi kuna haja gani ya kufuja mamia ya mamiliioni kuandaa sherehe ambazo hazina tija kwa Mtanzania? Mbona viongozi hao wamekosa huruma, weledi na maono kiasi hiki; badala ya kuwekeza ktk kutatua kero za msingi za maji, afya, barabara ambazo zina umri wa utawala wa CCM, wao ni kutumbua bata mbele ya walala hoi.

  Mwisho,
  Nawomba wabunge wa upinzani akina Mnyika, Lissu, Zitto na wengine muangalie namna ya Bunge kuiwajibisha serikali sikivu ya CCM kwa kuendelea kuididimiza nchi hii. Asasi za kiraia nazo ziishinikize serikali hii tusirudi enzi zile za chama kushika hatamu.
   
 2. m

  masalapa Senior Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 29, 2012
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huo ni wivu wa kike tu!
   
 3. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Wewe ni wale mliojiunga JF kwa shughuli rasmi toka Lumumba. Vipi hujasombwa na wewe kwenda kumsaidia JK kule Arusha?
   
 4. Anthony Lawrence

  Anthony Lawrence JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,544
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 180
  Kila lenye mwanzo lina mwisho wake
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
   
 6. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 25,590
  Likes Received: 16,542
  Trophy Points: 280
  Kama ni kitu cha kweli basi CCM wanachokifanya kimepitwa na wakati.Nazikumbukia enzi hizo msafara wa Rais ukipita usipoenda kupiga makofi basi usichungulie dirishani maana yake kipondo chake utakielezea.Na shuleni ilibidi masomo yafupishwe ili wanafunzi wakapange foleni kwenye kingo za barabara.
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kufungua miradi mingi ya maendeleo jijini Arusha ni wajibu wa serikali kwakuwa wananchi wanatimiza wajibu wao wa msingi kwa kulipa kodi, na hivyo serikali inawajibika
  kuwaletea wananchi maendeleo kitu ambacho ni haki yao wala sio hisani kama unavyotaka kupotosha watu.
   
 8. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Same alisotesha vijana was hule njaa wakimsubiri kuna hutubia.Jana aliweka foleni ya magari km 35 tokea alipo.magari yalisimamishwa Njia panda wakati akiwa hajatoka hata mwanga kama si kuwa alikuwa hata kuvaa bado.Watu walikaa kama saa nzima ,na kwa ujinga wa matrafiki hata magari yaliyokuwa yakielekea himo nayo yalizuiwa.Magari yanayoelekea Tanga na Dar,Dom yalikaa sana.
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Oct 31, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pumba.
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Point kuu. Lakini lazima tukatae hii trend sasa na sio lazima kusubiri 2015.

  Nguvu na rasilimali kubwa inatumiwa ndivyo sivyo. Pro-magamba wanapinga bila hoja. Hawajajifunza hata kuuliza ushahidi wa kilichoandikwa. Kama kuna mwenye mtoto St. Jude, St. Patrick, St. Monica, Arusha School mbali ya shule za kata aulize ataambiwa kesho NO SCHOOL. Reasons? JK anahitaji kuona umati ukimpokea na pia uwanja wa michezo Amri Abedi umejaa.

  Ukweli hauhitaji nguvu kubwa kuufikisha kama ambavyo inahitajika kuutetea udhaifu wa CCM, mafisadi na wanafiki.
   
 11. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #11
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Sawa sawa. Lakini kuna role tunatakiwa ku-play ili huo mwisho wa madudu haya ufike
   
 12. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #12
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  SI NDIO MAAANA HATA MAWASIRI WANASEMAGA TANZANIA NI PEMBA NA SIMBABWEEEE!!!!!!!!!!!!!! ANAYETEUA NA ANAYETEULIWA WOTE ....................ACHA WATOTO WAKAIMBAGA SHISHIEM NAMBARI ONE................:israel:
  :israel:
   
 13. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  Asante Mwita.

  Elimu ya urai kwa sasa ni somo mtambuka Tanzania. Pro-magamba wanaamini na hupenda iaminike kwamba miradi ya maendeleo ni favor na sio wajibu wa serikali. Hasa muhula huu wa JK, Tanzania imekuwa ni kama monarch state.... lazima umlambe mkulu miguu ndipo upate haki yako au cheo au nafasi ambayo kikatiba yako wazi.

  "Haki haiombwi... inapiganiwa...."
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Haya mambo yamengezea sana chuki ya watu juu ya Kikwete na CCM kwa ujumla.
   
 15. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Craaaaaaaaaaaaaaaaaaaap ! hakuna kitu hapa zaidi ya wivu wa kike , kuona arusha sasa linakuwa jiji na miradi kibao inafunguliwa kwa maendeleo ya wananchi. Nenda kajipange upya, huna cha maana ulicho andika , msalimie padri slaa
  [/QUOTE]

  Mirad ya barabara za mkopo toka bank ya dunia?thts craaaaaaaaaap
  Mrad gan unafunguliwa kwa fedha za Tanzanite au mbuga?
  Kodi zote zinafanyiwa sherehe na kulipa wasanii thts wht I call craaaaaaaaap.
  Unaposema wivu wakike nani anaonewa wivu hapa na nan?tatizo mnachukulia serikali kua mali ya familia na si mali ya raia so yoyote anaepinga upuuz wenu anawaonea wivu. Craaaaaaap.
   
 16. mzalendokweli

  mzalendokweli JF-Expert Member

  #16
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pro magamba kesho watatujazia pics humu za umati wa wanafunzi waliolazimishwa kumshangilia ..........
   
 17. O

  Optatus Barnabas Member

  #17
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uwezo tunao, nguvu tunazo na nia pia tunayo....je, ni kwanini tunasubiri mpaka 2015?
   
Loading...