Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Blubrry PowerPress Player Ujumbe kutoka kwa vijana sikiliza hapo ujumbe wa ukweli.
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Visiwani Zanzibar operesheni ya kuwasaka wale wanaovuruga amani bado linaendelea. Mji Mkongwe wa Zanzibar Wakati jeshi la Polisi visiwani Zanzibar likiendelea kuwasaka wahalifu, baadhi ya...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Nimekuwa nikipitia post mbalimbali nikagundua kuwa kuna kundi la vijana wengi linapenda kujiingiza kwenye siasa wengi wao wanapenda siku moja kushika ofisi za umma kama wabunge au madiwani au hata...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nini mana ya kupiga kura kwa sisi wafrika?.....kaa tafakari utagundua mana ya kupiga kura kwa mwafrika ni kumpa ulaji ambao hajawahi kuufikira katika maisha yake kabla hajachaguliwa kua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge, hasa wa upinzani, nawaomba kesho ktk kipindi cha maswali ya papo kwa papo kwa waziri mkuu muulize swali hili. Je serikali ya ccm imeshindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
THE TANZANIA NATURAL GAS POLICY DRAFT - 1 The Shadow Minister for Finance and Economic Affairs and deputy leader of Opposition Camp, Mr Zitto Kabwe. THE TANZANIA NATURAL GAS POLICY...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
CCM WANAENDA HATUA KUMI MBELE WANARUDI ISHIRINI NYUMA NA KUJIPONGEZA. 1 kwa mara ya kwanza katika historia ya vyamavingi nchini chadema ilisimamisha wagombea katika kata zote 29 bila kuacha hata...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Leo Rais Kikwete alikuwa na kazi ya kuzindua chuo cha Nelson Mandela na uzinduzi wa jiji la Arusha lakini cha kushangaza naona msafara wake unaingia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro...
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Msajili wa vyama vya siasa nchini Mheshimiwa John Tendwa amekuwa mstari wa mbele kutoa kauli kali dhidi ya vyama mabalimbali vya siasa kwa kile anachokiita "kwenda kinyume na taratibu za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau tupeane update za kinachoendelea kwenye uchaguzi wa jumuiya ya wazazi kwa mwenye taarifa.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakika katika bunge lililopita wabunge wengi walichangia kuhusu umuhimu wa idara hii ya ukaguzi wa shule cha kushangaza hadi leo hakuna chochote kinachoendelea katika idara hiyo haku fedha za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Matokeo jumuhiya ya wazazi haya hapa Mhe Abdala Bulembo 673 Martha mlata 107 Captain Barongo 51
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Sasa CCM rushwa kama mawingu na mvua. Musa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa Bunge la JMT ndani ya Hati hati ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Namhurumia JK sijui atafuta chaguzi ngapi za taasisi za CCM?
1 Reactions
72 Replies
12K Views
Habari JF GT, Baada ya kuzisoma comments na posts nyingi mbalimbali humu na kwenye baadhi ya newspapers nikalazimika kuanza kutafiti kidogo ili nipate picha halisi ya mgawanyo wa kura katika kata...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Chadema inatarajia kushinda viti vyote tisa vya wenyeviti wa vitongoji kata ya Usa-River katika uchaguzi wa Jumapili tarehe 04 Novemba 2012
0 Reactions
4 Replies
3K Views
"JUMAZA inaiomba Serikali kuunda Tume Huru ya kuchunguza kadhia ya kutekwa Sheikh Farid Hadi na ripoti yake iwasilishwe kwa uwazi kabisa kwa Wazanzibari na Jumuiya ya Kimataifa. JUMAZA kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Supporters of rival factions within CCM's youth wing, UVCCM, clash outside the organisation's headquarters in Dar es Salaam yesterday. The UVCCM elections held recently in Dodoma were marred by...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Uchaguzi mdogo wa madiwani ulikamilishwa na wapiga kura nchini Jumapili October 28, Chadema kimepata funzo kubwa lenye kutoa tafsiri kadhaa zenye kuleta matumaini kwa wenye moyo mkuu au kufifisha...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Wana CCM tunamuunga mkono Mwenyekiti Taifa katika uchaguzi wa Mwenyekiti mwezi ujao. Sababu za kumuunga mkono Mwenyekiti Dkt. Kikwete ni pamoja na umahiri wake katika uongozi, busara na hekima...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Rais Jakaya Kikwete amemuagiza Waziri wa Kazi naAjira kutoa kauli bungeni ya kubatilisha tangazo la fao la kujitoa ili wafanyakazi kuendelea kuruhusiwa kupokea fao la kujitoa. Rais Kikwete...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Back
Top Bottom