Hivi Ufisadi Tanzania sasa ni Taaluma?

Ronal Reagan

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,299
3,055
Nauliza kwa sababu ndogo tu.

TANESCO, kupitia Bodi ya Wakurugenzi wake, leo hii wametangaza kumtimua kazi aliyekuwa Mtendaji wake Mkuu Eng. William Mhando. Tuhuma zake ni nyingi na zimethibitishwa na CAG hivyo kumtia hatiani.

Mi naona mbali na sifa za elimu na vigezo vya uzoefu (work experience); sifa isiyotamkwa lakini ni muhimu ni kuwa mteule lazima awe na skills za kifsadi/ufisadi.....

Kila mahali na kila wakati wateule hawa iwe ni TANAPA, TANROADS, TPA/ TRL, ATCL na kwingineko ni ufisadi kwa kwenda Pyongyang.

Why? & How?
 
Back
Top Bottom