Nape, hivi unajua kua ulifeli tangu kujivua gamba hadi chaguzi za udiwani na kesi za ubunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape, hivi unajua kua ulifeli tangu kujivua gamba hadi chaguzi za udiwani na kesi za ubunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Man 4 M4C, Oct 31, 2012.

 1. Man 4 M4C

  Man 4 M4C JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 737
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hivi wewe nape unaakili kweli kweli?????????
  1. Cdm imewanyang'anya ccm kata 3 na cuf imewanyang'anya ccm kata 1...........hapa nani ana hasara????????wewe ni katibu mwenezi unayepoteza kila siku, umepoteza Arumeru mashariki, umepoteza Igunga, umepoteza Sumbawanga na sasa umepoteza kata 4. Je unafaa kuendelea kuwa mwenezi?????????? Tena umepoteza majimbo na kata muhimu. Hivi unjua mgombea wako wa kata ya mtibwa ndiyo aliyepitwa kwa kura nyingi kuliko mgombea mwingine yeyote yule kwa kata zote 29? je umejaribu kuangalia tofauti ya kura kati ya shishiem na cdm????????? je umeangalia mmeonga magodoro, pesa na ununuzi wa vitambulisho kwa sh ngapi????
  2. Mdomo ulimponza makamba sasa na wewe chezea cdm...............itaendelea kukulaulua.
  3. Umepiga kelele za gamba zimekutokea puani hatimaye Igunga hiyoooooooooooooo, umepiga kelele za gamba hatimaye Sumbawanga hiyooooooooooooooooooo,umepiga kelele za gamba hatimaye Aden Rage akaumiwa jela baati yake akalipa faini,umepiga kelele za gamba daraja 2 hiyoooooooooooooooooooo, umepiga kelele za gamba kata 3 mikononi mwa peoplessssssssssssssss. Hivi aliyenyang'anywa na alinyang'anya mjanja nani?

  NB. pIA MgOmBeA WaKo kAtA Ya mTibWA NdIyO Wa mNyUlO KwA Kuzidiwa kura nyingi na mapipoooooooooooooooz:bange::flock:yani wewe ndiye katibu mwenezi uliyefeli kabla ya muda wako
   
 2. H

  Honey K JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 14, 2008
  Messages: 629
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  MBONA UNATOA POVU? NANI KAKATAA HOJA YAKO?Una akili sana......kama usingekua akili usingeweza kujua haya uliyoeleza... Hongera sana!Hongera kwa mzazi wako kuzaa mtoto mwenye akili sana! Hongera sana!!!  QUOTE=Man 4 M4C;4939731]Hivi wewe nape unaakili kweli kweli?????????
  1. Cdm imewanyang'anya ccm kata 3 na cuf imewanyang'anya ccm kata 1...........hapa nani ana hasara????????wewe ni katibu mwenezi unayepoteza kila siku, umepoteza Arumeru mashariki, umepoteza Igunga, umepoteza Sumbawanga na sasa umepoteza kata 4. Je unafaa kuendelea kuwa mwenezi?????????? Tena umepoteza majimbo na kata muhimu. Hivi unjua mgombea wako wa kata ya mtibwa ndiyo aliyepitwa kwa kura nyingi kuliko mgombea mwingine yeyote yule kwa kata zote 29? je umejaribu kuangalia tofauti ya kura kati ya shishiem na cdm????????? je umeangalia mmeonga magodoro, pesa na ununuzi wa vitambulisho kwa sh ngapi????
  2. Mdomo ulimponza makamba sasa na wewe chezea cdm...............itaendelea kukulaulua.
  3. Umepiga kelele za gamba zimekutokea puani hatimaye Igunga hiyoooooooooooooo, umepiga kelele za gamba hatimaye Sumbawanga hiyooooooooooooooooooo,umepiga kelele za gamba hatimaye Aden Rage akaumiwa jela baati yake akalipa faini,umepiga kelele za gamba daraja 2 hiyoooooooooooooooooooo, umepiga kelele za gamba kata 3 mikononi mwa peoplessssssssssssssss. Hivi aliyenyang'anywa na alinyang'anya mjanja nani?

  NB. pIA MgOmBeA WaKo kAtA Ya mTibWA NdIyO Wa mNyUlO KwA Kuzidiwa kura nyingi na mapipoooooooooooooooz:bange::flock:yani wewe ndiye katibu mwenezi uliyefeli kabla ya muda wako[/QUOTE]
   
 3. chezo

  chezo Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 15
  hahahah aise mnavituko siasa ni uvumilivu na ujasili take easy
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sijawahi ona chama mwenyekiti wake na katibu mwenezi wanaongea lugha mbili tofauti
   
Loading...