Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Jakaya Kikwete akiangalia chupa ya tangawizi iliyotayari kuuzwa mara baada ya Rais Kikwete kufungua rasmi kiwanda cha kuzalisha Tangawizi kimnachomilikiwa na Umoja wa Walima Tangawizi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Leo prof. Lipumba ametembelea kituo cha channel 10,na kuwazuia waislamu wasiandamane Ijumaa hii. Vipi chama cha siasa kinajihusisha na mambo ya dini,maana kasema masuala yao watayashughulikia wao...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Mh Leticia Nyerere kutamka kuwa watanzania hawaajiriwi kwa sababu hawana mvuto wa kuajiriwa,ni matusi kwa watanzania na anastahili awaombe radhi wananchi kwani ni uzalilishaji,analipwa kuwatukana...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ndugu watanzania wote..tatizo la rushwa tanzania limeshakuwa sugu..na kama alivyosema mkurugenzi wa taasisi nyeti ya takukuru kwamba kesi nyingi za rushwa hazifanikiwi kutokana na maelekezo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ZANZIBAR NI KWETU: ZANZIBAR COMPENSATED BY THE CANADIAN FEDERAL GOVERNEMENT!
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Majeruhi wa Kinuni mwaka 2005. Miaka saba baadaye, bado Zanzibar inaamwaga damu ya yatu wake. Ukweli ni kwamba kuna viongozi wa juu kwenye serikali ya Zanzibar ambao kwa kushirikiana na Idara ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"Malawi’s renowned crime buster Bob Mtekama who has just been demoted from being Malawi’s Head of CID to a mere station officer for Phalombe Police Station is heading for Zanzibar to finish his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa kati ya Watanzania wanaoamini tatizo la utendaji na maendeleo ya Tanzania sio pesa pekee bali ni ubunifu. Tumeona sasa kumekuwa na ubunifu wa kutumia Treni kama daladala. Hata kama...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni adai kuna baadhi ya wafanyabiashara na viongozi walioficha mamilioni ya dora katika baadhi ya visiwa ambavyo havitozi kodi kama Dubai
0 Reactions
24 Replies
3K Views
WanaJF, historia ya uchaguzi katika nchi yetu ambayo haijaandikwa ni kuwa rais anayekuwa madarakani hajawahi kufanikiwa kurithiwa na mtu ambaye ni chaguo lake. Je kikwete ataweza? Inasemakana kuwa...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
By Mboneko Munyaga, 1 November 2012 ELDERS in Kyela have turned the heat on Malawi saying it is Tanzania that historically owns a big chunk of that country's territory, rather than for the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo Jk yupo Arusha kwa shughuli mbalimbali mojawapo ni kuzindua chuo kikuu cha Mandela,cha kushangaza barabara ya kwenda Mandela ilikua mbovu,juzi na jana viongozi wa mkoa wamekua busy kumwaga...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika hali inayoonesha kuwa hata bungeni nao hawajui kiswahili ingawa wapo katika mchakato wa kuunda tume ya Kiswahili ya Afrika Mashariki. Akichangia katika mswada huo Mh. Machali ameanza kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Posted by Pamela Mollel on October 24, 2012 Aliyekuwa mwenyekiti mtendaji mkoa wa Arusha kupitia chama cha demokrasia na ma endeleo chadema James Ndarvoi amekiama rasmi chama chake na kujiunga...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Suala la rushwa miongoni mwa maafisa wa chama Tawala nchini Tanzania, CCM limetawala vichwa vya habari nchini humo, baada ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, TAKUKURU, kukamata kada...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba nitumie nafasi hii kumpongeza Dr. Harison Mwakyembe pamoja na washika dau wenzake kwa jitihada kubwa walizozifanya hadi ahadi yake ya kutuletea usafiri wa tren hapa jijini kukamilika tangu...
10 Reactions
218 Replies
18K Views
Nimemuona Freeman Mbowe mwenyekiti wa Chadema taifa akitumia gari la serkali (KUB) kwenye kampeni za udiwani maeneo mengi nchini, nikajiuliza sheria inasemaje wadau.......
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Washindi NEC 1. Rweikiza 2. Mhe Hassan zungu 3. Mhe Adam Malima Baraza Wiliam Malecela SIJUI BARAZA ndio sehemu GANI
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kesi imetajwa leo katika mahakama ya Mwanakwerekwe na kisha ikahamishiwa katika mahakama ya Vuga. Mawakili wametishia kujitoa katika kesi hyo kwa madai ya usumbufu wanaoupata wateja wao. Mawakili...
21 Reactions
291 Replies
30K Views
Kilichonipa hamasa kuja na mjadala huu ni kauli ya hivi karibuni ya Katibu Mkuu wa Chadema Dr. W.P. Slaa aliyoitoa kama sehemu ya majibu yake kwa Mzee Samuel Sitta aliyetoa kauli kwamba...
14 Reactions
71 Replies
7K Views
Back
Top Bottom