Nyasa Time Kigeugeu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyasa Time Kigeugeu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwamakula, Oct 31, 2012.

 1. M

  Mwamakula JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 1,893
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jana walitoa taarifa Kuwa Major General John Msonthi ni deputy MDF na amefanya kazi kama Muambata wa Jeshi nchin Kenya na USA. Lakini Leo Mtandao huo huo umetoa taarifa ile ile na kuonyesha kuwa Major John Msonthi amefanya kazi kama muambata wa Jeshi katika nchi za Tanzania na USA!!

  Mabadiliko haya yamefanywa bila hata kuelezea kuwa walikosea jana pengine wanafanya hivyo kwa maslahi wanayojua!!
  Hata hivyo Wanajeshi Malawi wanashangaa kwa Mara ya kwanza MDF ina kuwa na Deputy Wawili Jambo ambalo lina Contradict Chain of Command za Jeshi.

  Taarifa za Jeshi zina onyesha Rais Banda amewafukuza na kuwashusha vyeo Askali ktk Jeshi la Polisi ambao ni wa Upande wa Upinzani kwa maslahi ya kupata timu ya kusaidia kulinda maslahi ya siasa na Wizi wa Kura ili aendelee Kukaa Madarakani!!

  Juzi amepokea ripoti ya Kifo cha Robert Chasowa ambaye alikuwa mufuasi wake na sasa anatumia ripoti hiyo kuwafukuza baadhi ya Wakuu wa Polisi ambao hawamtii.

  Pia ameanza kushambulia Maaskofu na Wachungaji ambao wanahasisha kupinga Ushoga ili kuepuka hoja hiyo kumuondoa kisiasa.


  Featured » National

  Malawi army has two deputy commanders


  [TABLE]
  [TR]
  [TD] By Nyasa Times Reporter
  [/TD]
  [TD] October 30, 2012 · 38 Comments [/TD]
  [TD] [​IMG] Email This Post
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  The Malawi Defence Force (MDF) Commander General Henry Odilo has now two deputies, Nyasa Times understands.
  This comes after government appointed Major General John Msonthi as deputy army commander.
  According to inside sources Msonthi will work hand in hand with Lieutenant General Clement Kafuwa who was appointed deputy army commander when General Odillo was made army chief.
  The military sources also says Msonthi has been promoted to the rank of Lieutenant General .
  "Msonthi will be responsible for operations while Kafuwa will head the administration. It's just a way of sharing the workload which the deputy has," said the source.
  [​IMG]Major General John Msonthi

  Msonthi has worked in embassies in Kenya and USA as defence attachee. He was MDF's Director of Personnel before appointed deputy Army General.

  This is the first time MDF to have two deputies. It comes after several appointments in the MDF.
  According to our source there are now about five Major Generals in the army including Clement Namangale, McBeath Mkandawire and Spoon Phiri.

  Odilo took over from General Mark Chiziko whose term of office expired. Chiziko is now heading Malawi's State Intelligence Agency.
  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [TD][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,956
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Hizo ni propaganda za kuitisha Tz. Kwa taarifa yao, hata kama Mdf watamteua Donald ramsfeld au colonel powel, bado Tz tunataka shea yetu ya ziwa nyasa.
   
 3. L

  LIpili Member

  #3
  Oct 31, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata kama kakaa Tanzania tutawapiga tu. Mbona sie tunae Major General(rtd) Makame Rashid kakaa miaka kibao Malawi kama balozi, atakuwa na taarifa muhimu za jeshi la Malawi
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Oct 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,242
  Likes Received: 3,784
  Trophy Points: 280
  Malawi imeanza kupigana vita na Tz,na imeanza na vita ya kisaikolojia,imeuhadaa ulimwengu kuwa Major John Msonthi aliwahi kufanya kazi Tanzania na USA mara aliwahi kufanya kazi Kenya na USA,

  Hii ni vita rasmi ya kisaikolojia tunatakiwa tuanze kupigana nayo kisaikolojia vilevile!
   
 5. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Walianza watz, katikati ya mwezi wa 10 JWTZ Airforce ilirusha ndege sita za kivita (nadhani ni Jet figter 7 na Bomber 8) juu ya Z.Nyasa kwa masaa matatu. Wananchi wa Kyela walichanganyikiwa.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Waache Wa-Malawi hawa wasiopenda amani waendelee kurukuruka kwa kadiri miguu yao itakavyoweza kuwashafirisha hewani; kwani tatizo liko wapi???????
   
Loading...