WATANZANIA INATUBIDI TUWE MACHO NA KITENDO cha serikali, eti kimeunda timu ya nguvu kushirikiana na polisi wa kimataifa kuchunguza scando ya pesa za uswiss. kumbuka ni serikali hii hii kupitia...
MBUNGE wa Ubungo (CHADEMA), John Mnyika ametoboa siri kuhusu kesi ya Dowans akisema kuwa serikali imetumia dola za Kimarekani milioni 29, sawa na zaidi ya sh bilioni 40 (sh bil. 45.7) kwa...
SHIRIKA la Umoja Umoja wa Wafanyabiashara Ndogondogo jijini Mwanza (SHIUMA), limetoa siku 14 kwa Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje (CHADEMA), aombe radhi baada ya kubainika kwamba, alighushi...
Hii kitu ya wanasiasa wa CCM kuwasalimia wananchi kwenye mikutano eti 'Salaam Aleikum: Bwaba asifiwe' ni unafiki mkubwa wa viongozi wa CCM.
Kwanza haipendezi na zaidi ni kinyume cha katiba...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama cha mapainduzi(CCM),Majura Bulembo akionyesha moja za mikataba kati ya jumuiya hiyo na Mmiliki wa Shule za Green Acres iliyokiukwa jijini Dar es Salaam...
Mhe ANGELLA Kairuki ( naibu waziri katiba na sheria) wiki iliyopita aliwadanganya watanzania ktk ishu ya Mahakimu Wakazi wanaolipwa bure bila kufanya kazi yoyote kwa kusema kuwa " MAHAKIMU HAO...
Mwanasheria mkuu wa Serikali Fredrick Werema amesema serikali imeunda kikosi kazi kwa ajili ya kufuatilia sakata la mabilioni yaliyofichwa Uswiss.
Werema aliwataja wanaounda kikosi hicho kuwa ni...
UTANGULIZI
Nimeisoma makala nyingine ya Kibanda yenye kichwa kisemacho; KINANA NI KIMBUNGA baada ya ile ya kwanza iliyojinadi kwa kichwa kisemacho; NAMWOGOPA KINANA. Mwandishi huyu ni hodari...
Jumamosi, Agosti 25, 2012 06:43 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Seif Sharif Hamad, amesema kazi kubwa...
Mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi, Mbunge Peter Msigwa, Mbunge Rose Kamili na Mbunge Suzan Kiwanga leo wataunguruma Mjini Morogoro katika Kongamano la...
Inasikitisha sana kuona Secretariat ya CCM kuendelea kutumia fedha za walala hoi kuzunguka nchi nzima kutangaza propaganda/mikakati na mipango ya chama isiyotekelezwa miaka nenda rudi. Kwa sasa...
Sasa hivi Chama tawala kina siasa ya kujihami, deni la taifa limeongezeka..
Maisha ya watanzania yanazidi kuwa duni
Kipato cha mtanzania kinapungua na mfumuko wa bei umeongezeka
Afya inazidi...
CCM inafanya kila inalo wezekana kurudisha majimbo haya mawili Nyamagana na Arusha mjini, je CHADEMA wana mikakati gani sababu CCM imeshaanza mikakati yao.Sasa wanapita sehemu nyingi tu wanatoa...
The Malawi Defence Force (MDF) Commander General Henry Odilo has now two deputies, Nyasa Times understands.
This comes after government appointed Major General John Msonthi as deputy army...
TAARIFA KWA UMMA
Sekretarieti ya jimbo la Segerea inawataarifu viongozi wote wa kata,wanachama na wapenda mabadiliko kwamba,katika kufuatilia utekelezaji wa shughuli za kila siku za...
a
KITAIFA
SHARE
Na Diana Maningo
Posted Jumatano,Novemba28 2012 saa 10:11 AM
KWA UFUPI
Kama imefikia hatua mbunge ambaye ni mwakilishi wa wananchi tena wa chama tawala akitaka...
Ni kigezo gani kinatumika kumlipa mbunge ambae kimsingi sifa yake ya kwanza ni kujua kusoma na kuandika, lakini mshahara na stahiki nyingine ni m 11 kwa mwezi, na wakati huo huo wanalipa...
EU yaongeza masharti ya misaada kwa Tanzania
JUMUIYA ya Ulaya (EU), imeongeza masharti kwa Serikali ya Tanzania ili iweze kupatiwa msaada wa Bajeti kwa mwaka ujao wa fedha 2013/14.
Kwa mujibu...